Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

IMG-20220619-WA0061.jpg
 
Nikushukuru pia Mkuu lee van cliff, nashikwa kigugumizi kuandika kujibu ulichokiandika. Lakini Ujue nini mwamba, tunajifunza wote Jomba. Nikushukuru kwa mara nyingine kwa kutambua mchango wangu. Shukran mucho!

Ima kuhusu Lumumba, niwe mkweli. Simfaham kiivo, huku JF sie wageni. Nilianza mie kisha nikamuita dogo Ask-Q mjadala ulivokolea. Ni issue ya Ukraine vs Russia ndio iliyopelekea mie kufungua account JF 😂.

So ile mara ya kwanza kunifananisha nae huyo Lumumba ikanibidi ni 'Search member mwenye jina hilo. Nikampata nikaangalia juu juu anachokipost haraka haraka. Mbali na hapo hapana.

Kingine hapa JF sipo kiiivyo mwamba, hata ukiangalia mijadala niliyoshiriki out of hizi text 1,500+ nilizoandika hapa JF zaidi ya asilimia 95 zipo kwenye huu uzi.

Huwa naingia hapa naangalia kilichojiri kisha natoka. Mara chache sana upande mwingine.

Mwisho nirudie kile kile, nishukuru kwa wote mliouona mchangu wangu. Kama mnavyojifunza kupitia kwetu ndivyo tunavyojifunza vile vile kupitia nyie.
👏👏👏👏👏👏
Tuko pamoja kiongozi katika kuelimishana.
Endelea kumwaga knowledge mazee.
 
Nakupa ndege inayoweza kufanya hayo nilivyokuambia inatwa black jack kwa jina la NATO.
Poa Kuna kombora la kupiga satellite za nchi yoyote ya NATO.
Kama ungekua unajua hayo machache tungeelewana.
Hakuna Cha kahawa wala tangawizi.
Mimi ni mvuvu wa kuandika.
Tafuta habari za black jack.
TU 190
Blackjack haiifikii hata B-1B lancer kiuwezo
 
Wale wanao post Generali mmojammoja wa Russia anapokufa, sasa wapost hili kundi zima la Ukraine lililo angamizwa kwa pamoja

Sahv wameukimbia nafikirii wameanza kuelewa hali halisi ukraine walijazwa sana propaganda ndugu zetu. Kuja tu kwenye huu uzi ni aibu ila utawakuta kwenye baadhi ya thread ambazo za kuiponda Russia ila huku washakimbia[emoji3][emoji3]
 
Nyie mnajiona mnajua kuchanganua vitu kwa story zenu za vijiweni,

Marekani anakuonesha kile anachotaka wewe uone, ndio maana una details nyingi za Russia kuliko za marekani..

Nchi ambayo Ina spend over 800bil us dollars, ufananishe na ambayo inatumia 60bil kwa mwaka 2021.

We umekaa tu huko mmeshiba viazi mna ichukulia poa US! [emoji16]
Hizo za kuprint!!?? Hata zimbabwe waliprint....
 
Rafiki nikuambie kitu?
Hawa Huwa wanakutana mara kwa mara kufanya vikao vyao na Urusi anawaona wakikaa vikao.namaanisha Intel ya Urusi inajua wapi wanakutania.
lakini kwa vile Urusi haikutaka kuwaua Hawa sehemu ya decision makers ikawa inawaacha TU kwa ajili ya mazungumzo hapo baadae.
nadhani Urusi uvumilivu umewashinda.
bado Zelensky.
maana juzi kati hapa Warusi walisema wanajua alipo ila hawataki kumla kichwa.
walisema hivi,west "mkiwapa hawa silaha itakayopiga ndani ya Urusi tutapiga target mpya."

wakasema pia kua Zelensky tunajua alipo.
Serikali ya Tanzania Ina mkono mrefu,
[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]
lakini Serikali ya Urusi Ina macho makubwa.
[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]
Serikali ya tanzania inatumbo kubwa siyo mkono mrefu
 
Nyie mnajiona mnajua kuchanganua vitu kwa story zenu za vijiweni,

Marekani anakuonesha kile anachotaka wewe uone, ndio maana una details nyingi za Russia kuliko za marekani..

Nchi ambayo Ina spend over 800bil us dollars, ufananishe na ambayo inatumia 60bil kwa mwaka 2021.

We umekaa tu huko mmeshiba viazi mna ichukulia poa US! [emoji16]

Dogo bado mweupe sana kichwani hio bajeti ya Urusi inaenda sawa kabisa na US, kwakua ubongo wako umejaa kamasi acha tukuache. Unajua US nusu ya hio bajeti anatumia kwenye kununua malighafi za kutengenezea silaha? Ana import.

Unajua Russia malighafi zote anazo za kutengenezea silaha unafikir bajeti zitakua sawa? Ulishakaa ukajiuliza kama Russia akiamua kudouble bajeti yake unafikiri nini kitatokea??.

Nakupa mfano rahisi kabisa, wewe unazalisha chuma mimi sina chuma nategemea kununua ili nitengeneze bidhaa. Wote sisi ni watengenezaji wa bidhaa unafikiri bajeti yangu na yako zitakua sawa???.

Unafikiri kwanini bidhaa nyingi kutoka Russia ni cheap na zina quality??
 
Hichi kizee si kitulie mbona kina mapepe sana
Dunia ya sasa hivi marais wanao jidai siyo madikteta ni kituko kwelikweli ...kizazi cha marais wapumbavu kabisa kinaibuka kwenye hiyo team ..hata hapa tz tunayaona sijui uchifu sijui Royal tour ...ujingaujinga na upuuzi tupu sasa huyo rais wa marekani siyo timamu kwenye akili yake hata pentagoni imeshatambua tatizo
 
Back
Top Bottom