Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ahahaha

Mkuu unaweza ukanirikomendia vitabu vya Geopolitics,ili nivisome

Nahitaji kuwa nondo kama pro russians wengine wa humu
Jaribu hivi mdau...
1. Prisoners of Geography cha Tim Marshall
2. The Revenge of Geography cha Robert Kaplan
3. The World cha Richard Haass
4. The Culture Map cha Erin Meyer
5. The Accidental Super Power cha Peter Zeihan
6. The Quest cha Daniel Yierg, hiki ndani anazungumzia Energy, Security and the remaking of the Modern World
7. Who rule the World cha Noam Chomsky
8. The Tragedy of Great Power Politics cha John Meaesheimer
9. The Shock Doctrine cha Naomi Klein, huyu kuna kitabu kingine kaandika kinaitwa "No Logo" ukipenda nacho kitafute

N.k
 
Nyie mnajiona mnajua kuchanganua vitu kwa story zenu za vijiweni,

Marekani anakuonesha kile anachotaka wewe uone, ndio maana una details nyingi za Russia kuliko za marekani..

Nchi ambayo Ina spend over 800bil us dollars, ufananishe na ambayo inatumia 60bil kwa mwaka 2021.

We umekaa tu huko mmeshiba viazi mna ichukulia poa US! [emoji16]
Uliwahi ugua ugonjwa wa akili ?
 
Dogo bado mweupe sana kichwani hio bajeti ya Urusi inaenda sawa kabisa na US, kwakua ubongo wako umejaa kamasi acha tukuache. Unajua US nusu ya hio bajeti anatumia kwenye kununua malighafi za kutengenezea silaha? Ana import.

Unajua Russia malighafi zote anazo za kutengenezea silaha unafikir bajeti zitakua sawa? Ulishakaa ukajiuliza kama Russia akiamua kudouble bajeti yake unafikiri nini kitatokea??.

Nakupa mfano rahisi kabisa, wewe unazalisha chuma mimi sina chuma nategemea kununua ili nitengeneze bidhaa. Wote sisi ni watengenezaji wa bidhaa unafikiri bajeti yangu na yako zitakua sawa???.

Unafikiri kwanini bidhaa nyingi kutoka Russia ni cheap na zina quality??
Kumbuka siraha zote unazotaja baba yao ni nyuklia ambazo USA alianza kuzitumia karne ya 19 sasa wewe unazungumzia nini....kwamba mtoto anaweza mzidi babaake busara ....kweli wewe ni id..ot yaani unamlingishia USA siraha.....duuuh
 
Russia possesses an estimated 5,977 nuclear warheads as of 2022, the largest stockpile of nuclear warheads in the world; the second-largest stockpile is the United States' 5,428 warheads. Russia's deployed missiles (those actually ready to be launched) number about 1,588, second to the United States' 1,644.
 
Urusi alisema nchi itakayoingilia kuisaidia Ukraine.
Ishu ya kutoa silaha sio kitisho kwa Urusi wewe mwenyewe ni shahidi si unaona lakini anavyozichoma?

Urusi alikua anamaanisha nchi yoyote ikiwa na nchi moja au kikundi kama NATO.
Maana anajua USA au NATO wanaweza fanya kama walivyofanya Yugoslavia/Kosovo,Kuwait/Iraq,Libya, Afghanistan.
Kwamba wakiingiaza majeshi TU watarajie kupigwa vita ambayo haijawahi pigwa happ kabla.
Je Kuna nchi imeingiza majeshi kama huko Iraq, Afhanistan au Libya?
Mwonee huruma hatambui kilicho mponyoka mdomoni, jamaa inaonyesha kazoea mipasho 😂😂😂
 
Jaribu hivi mdau...
1. Prisoners of Geography cha Tim Marshall
2. The Revenge of Geography cha Robert Kaplan
3. The World cha Richard Haass
4. The Culture Map cha Erin Meyer
5. The Accidental Super Power cha Peter Zeihan
6. The Quest cha Daniel Yierg, hiki ndani anazungumzia Energy, Security and the remaking of the Modern World
7. Who rule the World cha Noam Chomsky
8. The Tragedy of Great Power Politics cha John Meaesheimer
9. The Shock Doctrine cha Naomi Klein, huyu kuna kitabu kingine kaandika kinaitwa "No Logo" ukipenda nacho kitafute

N.k
Nashukuru mkuu
 
Back
Top Bottom