Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

@Mathanzua na MR MAJANGA
Nime uelewa huu mjadala wenu watu mnapanguana kwahoja
Hongereni sana WAKUU
Mathanzua na MR MAJANGA Hawa ni mabeki Bora kabisa katika mada hii,Hawa ni mabingwa wa kuondoa magoli yaliyooelekezwa golini.
Hawa mmoja akikaa beki 5 na mwenzie beki mbili hapaitibadui
Wakati huohuo GalipVrl na ASK-Q wakishambulia.heee hee
NATO wanapoteana mazee.
Hapa sijataja viungo akina Bwana Utamu na wenzake.
Ha ha ha aa
 
Akaongeza hu mkataba ni US inatakiwa aje kuomba uongezewe muda hata kwa kutambaa inabidi aje tu, vinginevyo Russia haitapaja joto uhusiano na US! (Ni kwa tafsiri isiyo rasmi ya maelezo ya Dmitry M.)
====
kwa hiyo unataka kutuambia Russia ndiyo inashikilia usalama wa Dunia hii? ufafanuzi tafadhali.
 
Katika habari zote hii ndiyo ya maana:

Russia's blockade of millions of tonnes of Ukrainian grain is a "real war crime", says EU foreign policy chief Josep Borrell.

"It is inconceivable - one cannot imagine that millions of tonnes of wheat remain blocked in Ukraine while in the rest of the world people are suffering hunger," Mr Borrell said.

Mwanaume gani anazuia msosi usisafirishwe na kusambazwa Duniani msosi - 🙂 kweli, kweli !!!
 
Gharama ya meli moja inaweza kufidia maisha ya wanajeshi wa Ukraine takriban 1000 wanaokufa na mizinga ya Mrusi kila siku. Jana Mecenaries kadhaa na majenerali wa Ukraine wapatao 50 wamechezea Iskander kwenye stoo waliokuwa wanapeana mafunzo.
G-Funk Sasa hivi unashambulia sana,punguza kidogo.
Wapige kidogo halafu wape matibabu wasije wakahama jukwaa.
 
KAMANDA MPYA WA JESHI LA UINGELEZA ATOA SALAAM KWA URUSI.

The new head of the British Army has issued a rallying cry to troops - telling them they need to be ready to face Russia on the battlefield.

Gen Sir Patrick Sanders, who started the job last week, addressed all ranks and civil servants in an internal message on 16 June, seen by the BBC.
Russia's invasion of Ukraine shows the need "to protect the UK and be ready to fight and win wars on land", he says.
He adds the Army and allies must now be "capable of...defeating Russia".
 
Russian officials have stated that Lithuanian’s move is an egregious breach of international law and akin to a full blown economic blockade and an attempt to “place the region in an economic chokehold.”

Russia has warned that unless the ‘blockade’ of Kaliningrad is lifted immediately, Moscow may have no choice but to “untie its hands” and rectify the situation by any means necessary.

Many countries, including EU member states, imposed sweeping sanctions on Russia in response to the military campaign in Ukraine launched by Moscow in late February. The European bloc closed its airspace to Russian aircraft on February 27, and Moscow responded in kind, banning many European airlines.
====
RED: Kwa ajili ya msisitizo.
Nimevutiwa zaidi na tamko hili.


Moscow may have no choice but to “untie its hands” and rectify the situation by any means necessary.
 
Russian officials have stated that Lithuanian’s move is an egregious breach of international law and akin to a full blown economic blockade and an attempt to “place the region in an economic chokehold.”

Russia has warned that unless the ‘blockade’ of Kaliningrad is lifted immediately, Moscow may have no choice but to “untie its hands” and rectify the situation by any means necessary.

Many countries, including EU member states, imposed sweeping sanctions on Russia in response to the military campaign in Ukraine launched by Moscow in late February. The European bloc closed its airspace to Russian aircraft on February 27, and Moscow responded in kind, banning many European airlines.
====
RED: Kwa ajili ya msisitizo.
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🇷🇺🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝
 
Back
Top Bottom