Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Katika habari zote hii ndiyo ya maana:

Russia's blockade of millions of tonnes of Ukrainian grain is a "real war crime", says EU foreign policy chief Josep Borrell.

"It is inconceivable - one cannot imagine that millions of tonnes of wheat remain blocked in Ukraine while in the rest of the world people are suffering hunger," Mr Borrell said.

Mwanaume gani anazuia msosi usisafirishwe na kusambazwa Duniani msosi - 🙂 kweli, kweli !!!
Sasa c kama wale wanawake wanaozuia mafuta yasinunuliwe DUNIANI
Kaeni kwakutulia wakati KIDUME anfanya yake
Kama mnaweza kachukueni huo msosi c nguvu mko nazo
RUSSIA TAIFA TEULE
 
sasa lengo la Urusi ni lipi? kama ni kuyashikilia Donetsk, Luhansk na Mariupol basi sawa !! Lakini kama lengo ni hilo basi Urusi kafeli tena vibaya mno.

ila mimi na wengine wanaamini lengo la urusi si hilo la kwako, yaonekana hata wewe hujui main objective ya Russia kuivamia Ukraine. Soma kama acha uvivu.
Lengo la urusi ni kucheza ndomboro.
 
Rubble

inazidi kuchanja mbuga tu na US aombee tu China wasije wakaungana na Urusi kuitaifisha dollar na kuipandisha Ruble maana atasaga meno USA!

China amekamatia % kubwa ya soko la exports duniani hivyo kupindua meza ni simple tu kama urusi alivyolazimisha hela iingie kama ruble[emoji23]
Wanachojionea western sasaivi ni tofauti sana na walivyotarajia kuhusu Russia, tuliwaambia humu hizi sanctions Mrusi alizijua tokea kitambo sana, hii ndio faida ya taifa likiwa na watu vichwa wasomi na matajiri
 
Comments za Aina hi ndizo ambazo huwa zinaonesha utupu na uelewa wa chini kabisa wa issues kwa baadhi ya watu....mtu ameingia kwenye himaya yako amevunja gate na kuingia sebuleni na hata kwenye vyumba vya watoto halafu mtu anasikika kutoka kwenye baadhi vya vyumba akisema lengo laki lilikuwa ni kuvunja vyumba hivyo tu?!?!
Huyo kijana ana maarifa madogo. Kumpa muda wako kubishana nae ni kujishushia heshima.
 
Kwa Mtazamo wako sawa,lakini kwa sisi wajuzi wa mambo hayo huo ni udhaifu mkubwa mno wa USA dhidi ya Urusi katika sekta ya jeshi.
Unajua sababu ya USA kisambaza silaha Dunia nzima?
Sababu usa ana silaha ambazo haziwezi kupiga masafa Marefu ukilinganisha na za Urusi.

Urusi ndio nchi pekee duniani Ina makombora ya kupiga mbali zaidi kuliko kombola lolote lile la USA.
Kwa muktadha huo Urusi Hana sababu ya kuwa na ma base mengi sana duniani wakati anaweza akaifikia nchi yoyote akiwa kwake.
Urusi ana ndege vita inayopaa juu zaidi kuliko ndege yoyote na hakuna kombora lolote la Adui linaloweza kuifikia.ndege hiyo pia inaweza kwenda umabli mrefu zaidi bila kuongeza mafuta ikashusha mabomu ya nyukilia na kurudi.

Kwa hiyo kuwa na makambi mengi ni matumizi yasiyo na lazima ya fedha za walipakodi.
Hutaki acha.
Walipakodi gani mkuu, USA ana print tu pesa halafu mataifa mengine tunaendesha hizo base kupitia mikopo aliyotupa baada ya kuprint,

Bila kuprint pesa USA hana uwezo wa kuendesha base zote hizo duniani Kwa uchumi wake wenye deficit
 
Wanachojionea western sasaivi ni tofauti sana na walivyotarajia kuhusu Russia, tuliwaambia humu hizi sanctions Mrusi alizijua tokea kitambo sana, hii ndio faida ya taifa likiwa na watu vichwa wasomi na matajiri
🇷🇺👏👏👏👏👏🇷🇺🤝🤝🤝🤝🤝🇷🇺👍💪💪💪💪
 
Walipakodi gani mkuu, USA ana print tu pesa halafu mataifa mengine tunaendesha hizo base kupitia mikopo aliyotupa baada ya kuprint,

Bila kuprint pesa USA hana uwezo wa kuendesha base zote hizo duniani Kwa uchumi wake wenye deficit
😯😯😯😯😯😯😯😨
 
Ni kweli kabisa, kwanza nimestushwa na kauli ya Naibu wa baraza la Usalama la Russia. Anasema, kwa sasa uhusiano na US upo nyuzi joto sifuri, kwa hiyo ni US inatakiwa kupasha joto uhusiano huu. Na akaongeza kusema kuwa, kuna mkataba wa mambo ya Nyuklia baina ya Russia na US. Akaongeza hu mkataba ni US inatakiwa aje kuomba uongezewe muda hata kwa kutambaa inabidi aje tu, vinginevyo Russia haitapaja joto uhusiano na US! (Ni kwa tafsiri isiyo rasmi ya maelezo ya Dmitry M.)
====
The US would perceive Russian attempts to negotiate a prolongation of the New START nuclear treaty as a sign of weakness, so no talks should take place unless Washington changes its behavior, former Russian President Dmitry Medvedev argued on Monday.

“We don’t have any relationship with the US at the moment. They are at zero degrees Kelvin. And we should not unfreeze them for now,” the official wrote on social media.

“Let them come or crawl and beg for it. And they should value it as an act of utmost generosity,” he added. “Otherwise, this is how it looks: they toss only sleaze our way, and we go, there, have this nuclear deal, please.”

New START is the last remaining bilateral nuclear arms reduction treaty between the US and Russia. It limits the two nations’ stockpiles of nuclear warheads and delivery vehicles for them. While president, Medvedev signed the deal with US President Barack Obama in April 2010.

Dah aisee,safari hii naona wamemuamlia USA ,naona wamemuondolea uvivu.
Naona kabisa safari hii msatari mwekundu umeshachorwa wanasubiri avuke TU.
Hapa siongei kishabiki,lakini matamko yanayotoka Moscow ni kama wanasubiri TU mtu arushe kokoto TU Moscow.naona kabisa Russia Wana jambo lao wanataka kulifanya.
Sijawahi kuona matamko makali kama haya kutoka Urusi kwenda USA katika maisha yangu.ukiondoa Cuban missile crisis ambapo sukuwepo duniani.
 
Dah !
 
Mpaka Leo malengo ya "Coward Putin"hayajatimia.Zenensky Bado ni raisi wa UKRAINE, Kyiv bado ni mji mkuu wa UKRAINE."Coward Putin" amebaki kutishia kutumia nukes huku amejificha kwenye mashimo kama panya,na waoga wengine kama kina Hassan Nasrallah.Ni maombi yangu atakapofwetua button ya nukes ianze kumuangamiza yeye mwenyewe Hapo Kremlin 🤔
Unaongeza idadi ya wajinga tu ..... Wewe ni mjinga kabisa... Taburarasa ....
 
Dah aisee,safari hii naona wamemuamlia USA ,naona wamemuondolea uvivu.
Naona kabisa safari hii msatari mwekundu umeshachorwa wanasubiri avuke TU.
Hapa siongei kishabiki,lakini matamko yanayotoka Moscow ni kama wanasubiri TU mtu arushe kokoto TU Moscow.naona kabisa Russia Wana jambo lao wanataka kulifanya.
Sijawahi kuona matamko makali kama haya kutoka Urusi kwenda USA katika maisha yangu.ukiondoa Cuban missile crisis ambapo sukuwepo duniani.
MKUU bado hajazaliwa KICHÁA narejelea tena KICHAA
wakujaribu au kuthubutu kuhatarisha usalama wa RUSSIA direct kama hvyo usemavyo akaiguse MOSCOW!!?
Maana anajua akijaribu atajutia majaribio yake nahatapata hata sekunde yakusahihisha makosa yake
No Action Talk Only (NATO) Hawa madada wako vyema kwenye kuimba nakucheza pia wako vyema kwa LIBYA YUGOSLAVIA AFGHANISTAN nk
Bado halijazaliwa taifa lakuihatarisha amani ya MOSCOW kwakuishambulia MOSCOW direct
Labda kwa Proxy War kama hapo UKRAINE nahayo yakawaida sana
RUSSIA TAIFA TEULE
 
Hizi ndizo story za kwenye kahawa ambazo huwa tunasema[emoji16]

Wewe unahisi US ni dhaifu, Ila Putin hawezi kufikiria hivyo.

Labda tukumbushane si urus ilisema atakae toa misaada atapokea kichapo cha moja kwa moja? Vipi Kuna bomu lishatua US!
Na je unaiona marekani ikiacha kutoa misaada Ukraine? Unafikiri ni kwanini mpaka sasa hajachapwa?

Unahisi wewe unaijua urusi zaidi ya marekani?

Timizeni kwanza mliosema, then ndio mseme marekani ni dhaifu.

US yeye alisema urusi ikipiga hata nzi kwenye eneo ama nchi yoyote ilio chini ya NATO basi atakiona, vipi urusi kashapiga?

Hivi huoni mpaka sasa marekani ni mbabe maana anasaidia hata mtu asie muhusu, vipi ikitokea yeye kaguswa, itakuwaje[emoji16]

Mwisho, acheni story za kahawa, watu hizo ndizo kazi zao, assignments zimefanyika miaka na miaka na wameona wanaweza kupambana na urus, huwezi kumtaka mtu usie muweza.

Kwani we ulitegemea urusi kutoka jasho hivi?
Asante kwa comment yako kuna wapenzi wa NATO wanasema Ukraine haisaidiwi. Na kuwa Russia hapigani na nchi za NATO ikiwemo USA. Lkn bado Ukraine inapigika tu

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Mimi nilianza nao kitambo kuwafutilia, lakini nilizidisha kasi kuwafutilia toka 2014! Nikaanza kufuatilia hata wa Movies zao na zile za Belarus. Movies zinatengenezwa kwa akili tupu! Siyo zile za jamaa zetu movie ukiaangalia 1/5 yake unajua itaishaje. Wale jamaa wako serious, hawana utani kabisa.
Ukweli Mimi nilikua nafuatilia sana mambo Yao,lakini ukweli sikujua kama hii nchi Ina. Nguvu namna hii..
Wenzetu watabisha hapa.
Lakini Kuna msemo mpya wa watoto.wa mjini wanasema,

"kusoma hujui hata kutazama picha TU huwezi".

Tumeshihudia vita nyingi lakini sikuwahi kishuhudia Dunia kuingia katika mtanziko kama huu.

Tazama Urusi alichomfanyia USA huko Syria,

Tazama alichomfanyia Venezuela,

Tazama anachomfanyia Sasa hivi huko Ukraine,

Tazama silaha zunazopelekwa Ukraine,
Tazama uwezo wa nchi zunazopeleka silaha,

Tazama kwa mara ya kwanza duniani askari mamluki wangapi wanaisaidia Ukraine,
Tazama nchi wanazotoka uwezo wao,
Tazama jeshi la Urusi linawafanyaje mamluki hao.
Tazama idadi ya nchi zunazopelekwa silaha Ukraine,
Tazama Urusi inasaidiwa na nani katika hii vita ambayo wao wanaiita operation.

Jamani Urusi sio nchi ndogo jamani.

Tazama idadi ya vikwazo alivyowekewa Urusi na idadi ya nchi zulizomuwekea vikwazo,
Tazama uwezo wa hizo nchi zulizomuwekea vikwazo,
Halafu angalia madhara yaliyotokea.
Sikatai lazima vikwazo vinamuathiri je walioweka wako salama?

Sasa linganisha na nchi kama zimbabwe.
Ndio utajua nguvu ya Urusi.
Jamani hatuwezi kusoma,je hatuwezi kutazama picha pia?
 
Mimi nilianza nao kitambo kuwafutilia, lakini nilizidisha kasi kuwafutilia toka 2014! Nikaanza kufuatilia hata wa Movies zao na zile za Belarus. Movies zinatengenezwa kwa akili tupu! Siyo zile za jamaa zetu movie ukiaangalia 1/5 yake unajua itaishaje. Wale jamaa wako serious, hawana utani kabisa.
Movie zao unazipaje Mkuu?
 
MKUU bado hajazaliwa KICHÁA narejelea tena KICHAA
wakujaribu au kuthubutu kuhatarisha usalama wa RUSSIA direct kama hvyo usemavyo akaiguse MOSCOW!!?
Maana anajua akijaribu atajutia majaribio yake nahatapata hata sekunde yakusahihisha makosa yake
No Action Talk Only (NATO) Hawa madada wako vyema kwenye kuimba nakucheza pia wako vyema kwa LIBYA YUGOSLAVIA AFGHANISTAN nk
Bado halijazaliwa taifa lakuihatarisha amani ya MOSCOW kwakuishambulia MOSCOW direct
Labda kwa Proxy War kama hapo UKRAINE nahayo yakawaida sana
RUSSIA TAIFA TEULE
Dah siombei yatokee hayo.
 
Back
Top Bottom