ndugu vita hii si ya kuisha leo wala kesho, ni vita endelevu na kama Dunia ni lazima tujifunze kuishi nayo kama ilivyoishi na Ukimwi na sasa Corona.Hii vita bado tu haitaki kuisha?
Kule Kyiv watu wameanza kuchoma nyama, kwenda Club na kujivinjari katika migahawa na mitaani kama kawaida.
Despite continued nighttime attacks from Russia, daily life in the Ukrainian capital Kyiv is slowly returning to normal,