Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kyiv kunawaka moto, polisi wa dunia (Marekani/Biden) aishia kulialia tu hana cha kufanya!

Russia leo imetumia ile midege yake ya kunya mabomu (strategic bombers) iitwayo Tu-95 na Tu-160 kuinyeshelezea makombora Kyiv kutokea baharini (Caspian sea). Biden amelalamika kuwa Urusi inafanya uonevu tu na ubabe/ushenzi kuishambulia Kyiv.

Mwambieni Biden aache kulialia. Apeleke zile B-52 bombers zake Ukraine zikamsaidie Zelensky, mbona alizipeleka mbiombio kwenye vita vya Afghanistan na Iraq kuchukulia ujiko ktk kupigana na watu madhaifu wasiokuwa na silaha za kisasa?! Apeleke mzigo huo Ukraine tuthibitishe ubora wa hizo B-52 bombers za US.

=====
View attachment 2273019
View attachment 2273020
View attachment 2272961
View attachment 2272962
Naona USA Dawa imemuingia kisawa sawa[emoji28][emoji106]
 
Hii hatari wazee..[emoji848]

Russia has weapons that can turn the United States into a lifeless desert-The National Interest

A major American publication reports that Russia has a wide variety of weapons in stock that can erase the American continent from the pages of history. "For example, one submarine of the Borei project is capable of firing 72 nuclear warheads at settlements and military bases located at a distance of more than 9 thousand km, each of them is 10 times more destructive than the bomb dropped on Hiroshima," the article reports. At the moment, Russia has 5 such submarines, 5 more will be built by 2027.

Wameanza kukiri mziki taratibu
 
Kyiv kunawaka moto, polisi wa dunia (Marekani/Biden) aishia kulialia tu hana cha kufanya!

Russia leo imetumia ile midege yake ya kunya mabomu (strategic bombers) iitwayo Tu-95 na Tu-160 kuinyeshelezea makombora Kyiv kutokea baharini (Caspian sea). Biden amelalamika kuwa Urusi inafanya uonevu tu na ubabe/ushenzi kuishambulia Kyiv.

Mwambieni Biden aache kulialia. Apeleke zile B-52 bombers zake Ukraine zikamsaidie Zelensky, mbona alizipeleka mbiombio kwenye vita vya Afghanistan na Iraq kuchukulia ujiko ktk kupigana na watu madhaifu wasiokuwa na silaha za kisasa?! Apeleke mzigo huo Ukraine tuthibitishe ubora wa hizo B-52 bombers za US.

=====
View attachment 2273019
View attachment 2273020
View attachment 2272961
View attachment 2272962
When he(Biden) was boasting himself of ensuring the Belgrade bombing to eliminate the Serbs in a genocidal mode, he was dancing on Karioke melody, right? Anaudhi huyu Mzee!!!
 
Inakuane hawa NATO wanaishiwa silaha haraka hivi?


Lengo, nadhani la Military Industry ya US, ni kuhakikisha members wote wa NATO wenye kutumia silaha za Russia ama Soviet ya zamani wanaondoa silaha zote hizo kutoka kwenye Maghala, kisha Pentagon na washirika wake wauza silaha waweze kuwalazimisha kutumia 2% ya GDP ya nchi hizo kununua Silaha kutoka US. Nawaza tu!
 
senegal, ivory cost, libya & drc
Ni Congo Brazaville mkuu sio Congo Kinshasa
Meya wa kyiv: mashambulizi ya Russia ndani ya kyiv yanalenga kuidhoofisha ukraine, siku chache kuelekea mkutano wa NATO[emoji4]View attachment 2272704

Sent using Jamii Forums mobile app
Putin piga Gaykraine hao
Kyiv inatwangwa mabomu mda huu, nyepesi nyepesi zinasema haya ni mazoezi ya kuitwanga London na Washington View attachment 2272737
Nafikiri ndio maana jana mzee Putin alikuwa Kremlin usiku ili atoe maamuzi haya ya kuanza kuikaanga Kiev hahahahaha
Nalog off Z
 
Mkuu T14 Armata ungetoa maelezo tu ya kombora la Urusi tulilokuomba ulitolee maelezo...

Sasa wewe umekuja na stori nyingi za kujaribu kutaka kupotosha kuwa Urusi imetanguliwa kwa miongo kadhaa na Marekani kwenye teknolojia hiyo🤣🤣😂😂😁😁

Urusi ndio ilikuwa ya kwanza kufanikiwa kutengeneza makombora ya kuangamiza satellites miaka ya 1960s
.

Marekani ilijifunza kwenye mafanikio ya Urusi na ndio wakapata nguvu mpya baada ya kujaribu tena na tena na kufeli.
======

View attachment 2272727View attachment 2272728View attachment 2272729
Unampelekea moto huyo jamaa mpaka huruma, abakuja na vistori vya kutunga
 
❗️LUGANSK, June 26. /TASS/. Mercenaries from France, Poland, Germany and America fled Severodonetsk, abandoning their arms, LPR (Lugansk People’s Republic) Assistant Interior Minister Vitaly Kiselyov told TASS on Sunday.

"The mercenaries fled from there. They ran away so fast that they abandoned all their basic weapons and carried only what they could take with them. They fled at night, in groups of two to three men. This is the information of one of the prisoners-of-war who showed them the road," he said.

As the LPR assistant interior minister pointed out, "these are mercenaries from France, Poland, Germany and America - all these facts are confirmed." "All of them fled into Lisichansk," he added.

❗️MOSCOW, June 26. /TASS/. About 70 Ukrainian militants who were holed up in the Azot chemical plant in Severodonetsk were taken prisoner, LPR (Lugansk People’s Republic) Ambassador to Russia Rodion Miroshnik announced on Sunday.

"First of all, a lot of forces were eliminated there. Quite active assault operations were conducted there and part of them [Ukrainian militants] tried to break through towards the Seversky Donets and some part could have escaped. Not quite many of them were captured, at least about 50-70 men whom local residents are talking about," Miroshnik said in a live broadcast on the Soloviev Live TV Channel.

❗️MOSCOW, June 26. /TASS/. Forces of the Lugansk People’s Republic (LPR) have liberated settlements on the left bank of the Seversky Donets River and mopped up the airport in Severodonetsk, LPR Ambassador to Russia Rodion Miroshnik said on Sunday.

"The left bank of the Seversky Donets has been liberated. To date, Severodonetsk, Borovskoye, Sirotino have been mopped up. The Severodonetsk airport has been mopped up. Lesnaya Dacha, all villages around Severodonetsk have been liberated," he said in an interview with the Solovyov Live television channel.
 
.
Screenshot_20220626-185225.jpg
 
Back
Top Bottom