Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ni Jews hao watu ila ndo walewale wa kupandikizwa
Kuna jina moja hivi analitumia sana Mathanzua ndio linawafaa hawa watu waliojivika ngozi ya wayahudi. Wanaitwa Khazarians.

Hizi mambo kila kona utakakozikuta zimepigwa chapa ya Conspiracy ili zionekane kama ni just story hivi au hadithi. But kama wapo wanaofatilia kauli za Medvedev au Putin deeply wataelewa wana maana gani.
 
Wow!
Leo umefunguka kimapana zaidi ya nilivyokuzoea, I know kuna some people wataondoka nayo ka story za kubumba but since hatufanani na hatujawahi kufanana we vunga tu.

Binafs nimekuelewa sana tena sana, wish we could exchange nukta zaidi katika unazofaham na ninazofaham pia.

Any way Congrats kwa hili bandiko.
Mkuu shukrani 👏 sana,lakin namie bado najifunza kidogo kidogo nakuongeza ka upeo kutoka kwa watu wengine wenye uelewa kama wew mkuu wangu.
 
Kuna jina moja hivi analitumia sana Mathanzua ndio linawafaa hawa watu waliojivika ngozi ya wayahudi. Wanaitwa Khazarians.

Hizi mambo kila kona utakakozikuta zimepigwa chapa ya Conspiracy ili zionekane kama ni just story hivi au hadithi. But kama wapo wanaofatilia kauli za Medvedev au Putin deeply wataelewa wana maana gani.
Umeongea point kubwa mkuu,japokua nilipata shida kutambua ndio mkuu Ask Q.
 
Nilitoa angalizo humu kuhusu GAME THEORY ... Ni applicable katika waliosoma Law na Economics ...na Putin kasoma vyote hivyo .... Game theories ni akili kubwa sana... Ni zile INPUT -OUTPUT MODELS ...unaingiza Nini na unazalisha Nini ama unatoa Nini inategemea na machaguo yako .... Ni ngumu sana mwegine Kuelewa ....
PUTIN akili mingi, Russia miwatu ina akili za vita imeiva
 
Mkuu shukrani 👏 sana,lakin namie bado najifunza kidogo kidogo nakuongeza ka upeo kutoka kwa watu wengine wenye uelewa kama wew mkuu wangu.
Nakuelewa sana Faisal, Halafu ha ha ha nikutonye kitu mdau wangu... Hilo jina la Mkuu mnalitumia sana hapa ila binafs siko comfortable nalo kabisa 😌😌😌

Kama hutojali tuitane kama brothers nitafurah zaidi. Lel say kaka Faisal, o Kaka Qibsyl/Ask-Q fresh au sio mdau?
 
Kwa mtazamo wangu nikwamba lengo la urusi kuishambulia london si kwa bahati mbaya,sababu nikwendana na ile kauli ya kuua ndege wa wawili kwa jiwe moja. Hapa nazungumzia ukoo wa familia kubwa ya kifalme iliyo chini ya malkia Elizabeth wa sasa iliyopo london, pamoja na familia yenye nguvu kabisa ya kishetani ya Rothchilds iliyondani ya familia kumi na tatu(13), zinazotawala dunia katika nyanja mbalimbali mfano hawa Rothschild wameshikiria mabenki na biashara ya madini kwa asilimia kubwa duniani kote. Hii familia makao yao makuu pia ni london na wanamji wao unaitwa city of London,unawakilishwa na meya ambae wamemchagua wao hivyo malkia Elizabeth akitembelea hapo.huwa yupo chini ya huyo meya wa Rothchild family, hivyo familia ya kifalme ya malkia Elizabeth na familia ya hao Rothschild.

Asili yao haitokani na binadamu wa kawaida kabisa, hivyo huwa wanalinda kizazi chao hasa hao Rothschild huoana ndugu kwa ndugu pia wana mahusiana sana kati ya familia ya kifalme ya malkia na familia ya rothchild ambapo za juu juu huitwa reptilian family. Sasa nafikili uwepo wa hizi familia kubwa na zenye nguvu duniani hasa(Rothschild) kuwa na makazi london uingereza, na ikizingatiwa wao ndio wanaitaka urusi iwe kwenye imaya yao kwa njia yoyote ile. Napia hawa ndio wameishikilia ulaya pamoja na marekani wakisaidiana na wenzao wa rockfeller family.

Putin anawaona kama adui zake wakubwa na ndio wanatishia sana usalama wa taifa la urusi, hawa wanamipango mirefu sana naya mda mrefu na wakipanga jambo fulani litimie baada ya mda fulani kama lina manufaa kwao lazima litimie kwa hali yoyote ile mfano vita vya dunia vya 1 na 2(ww1 and ww2), kuzama kwa titanic lengo ni kuwamaliza wale matajiri wa ireland ambao wangeleta figisu kwenye masuala nadhani ya kibenki na uchumi mpya wa dunia.

Pia ndio waliohusika kuung’oa ufalme wa mwisho wa urusi uliokuwa chini ya mfalme tsar, na kumfadhili Vladimir ilish lenin katika bolshevick revolution,hapa utaona pia walianza kujaribu kupanda mizizi ya urusi. Hivyo niseme tu kwa mtazamo wangu nikwamba putin(urusi)wanajua hawa watu sio wa mchezo inahitaji akili na nguvu ya ziada kabisa kupambana nao maana uwepo wao ni tishio kubwa sana kwa usalama wa urusi. Kwakua makazi yao ni london basi vita vikianza kati ya urusi na mataifa ya magharibi wakiongozwa na marekani,naona best option nikupeleka bomu la nyuklia kama satani ama bulava kwa hao meshetani kwanza hapo London. Ndio urusi iangalie usawa mwingine wa kupeleka moto. Samahanini kama kuna sehemu nimekosea au kupangilia vibaya maandishi.
Naona wapelekewe Satan 3 chap kwa ukali😂
 
❗️British Prime Minister Boris Johnson told Macron that any attempt to resolve the conflict in Ukraine "will lead to increased instability in the world".

Hopefully, after Microbritain loses Scotland, Wales, Northern Ireland, Malvinas etc. etc. it will take rightful place among European nations. Somewhere near the Netherlands and Belgium.

Scotland ameshaanza uwehu wa kujitoa U.K, Wales pia.... North Ireland inaelewaka .... Walianza kimbota....🤣🤣🤣 .... SI walivunja Yugoslavia to Serbia, Croatia ,Montenegro, Macedonia, Slovenia Bosnia... Sisi Urusi tunaanza na Luhansk na Donetsk People's Republic....na hao wengine watatengana wenyewe... Uraaaaa ikibidi oblasts za Kharkiv, Kherson, zaporizhzhia, mykolaiv, Dnipropetrovisk, Odessa n Poltava ...tunakata...na zitajitegemea ...mkibisha njoooni mtanikuta pale ....mniite mbwa....🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣yaani umezitaja kama upo eneo la tukio live.. big up
 
Kyiv kunawaka moto, polisi wa dunia (Marekani/Biden) aishia kulialia tu hana cha kufanya!

Russia leo imetumia ile midege yake ya kunya mabomu (strategic bombers) iitwayo Tu-95 na Tu-160 kuinyeshelezea makombora Kyiv kutokea baharini (Caspian sea). Biden amelalamika kuwa Urusi inafanya uonevu tu na ubabe/ushenzi kuishambulia Kyiv.

Mwambieni Biden aache kulialia. Apeleke zile B-52 bombers zake Ukraine zikamsaidie Zelensky, mbona alizipeleka mbiombio kwenye vita vya Afghanistan na Iraq kuchukulia ujiko ktk kupigana na watu madhaifu wasiokuwa na silaha za kisasa?! Apeleke mzigo huo Ukraine tuthibitishe ubora wa hizo B-52 bombers za US.

=====
View attachment 2273019
View attachment 2273020
View attachment 2272961
View attachment 2272962
Hivi javelin zimeisha au zilikuwa za mchongo..nauliza tu jaman

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635] Russia
-616647986.jpg
198323023.jpg
-2124786039.jpg
675527245.jpg
Screenshot_20220626-194715.jpg
 
Hivi javelin zimeisha au zilikuwa za mchongo..nauliza tu jaman

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
Mzigo wa jevelin na mazaga mengineyo ulipelekwa mpaka Ukraine na ukakabidhiwa kwa vijana waliotumwa na mamlaka lkn cha kushangaza Zele anasema mzigo haujafika na Putin hajaulipua[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Mwandishi wa kitabu cha "tha art of war" bwana sun tzu anakwambia "all war are based on deception" mfanye adui aamini unataka kupiga point A kumbe wewe unashida na point B..inavooenaka putini hakuwa na shida na kiev awali na aliacha waelekeze nguvu kubwa kuilinda kiev kumbe yeye anajua wapi anapoenda kuanza napo

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
putin hatabiriki hio ndio inamfanya joe biden apagawe sana hadi anasalimia hewa na kuanguka na baskeli
 
Back
Top Bottom