Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia sio watu wazuri: Wanajeshi wa Ukraine baada ya kuzidiwa mapambano na majeshi ya Urusi huko Sievierodonetsk wameumwaya (wametoka nduki), majeshi ya Russia yawaagizia mvua za makombora ya cluster bombs huko walipokimbilia

Wanajeshi wa Ukraine (wakiwemo wanajeshi toka nchi za NATO) baada ya kuzidiwa mapambano na majeshi ya Urusi huko Sievierodonetsk waliona isiwe tabu, "ngoja tuwakabidhi ushindi Urusi sambamba na jiji hilo la kimkakati la Sievierodonetsk ili tuondoke salama salimina".

Lakini hali imekuwa tofauti sana. Mrusi aliwaachia watoke kwenye front line na misafara yao...lakini walipokuwa nje kabisa ya jiji wakiendelea kukimbia, majeshi ya Urusi yakawatumia drones ilikuchukua taarifa za locations zao kisha wakashtukia tu mvua kali mno za mabomu ambayo ni afadhali yale waliyokutana nayo kule front lines. Urusi imewatandika kwa kutumia cluster bombs...Wanajeshi hao wanasema damu zilitapakaa huku na kulee, majeruhi kibao. Wakajitahidi kukimbilia misituni na kujifunika kwa majani ya miti ili kuziepuka drones za Urusi zilizokuwa zikichukua taarifa zao kisha kumiminiwa cluster bombs.

Aisee wanajeshi wa Urusi noma sana, yaani ukikimbia vitani wanakufata huko huko ulipo wanakutumia moto mkali.
=========

SmartSelect_20220626-220900_Chrome.jpg
SmartSelect_20220626-221447_Chrome.jpg
SmartSelect_20220626-221521_Chrome.jpg
SmartSelect_20220626-221544_Chrome.jpg
 
Madai yako ni batili, Ndani ya nchi hamuwezi kukubaliana asilimia 100. Kutofautiana kupo, Si viongozi wote wanakubaliana na Zelensky au viongozi wote wanakubaliana na Dikteta Putin. Hao subotage wanaofanya matukio urusi wanaweza wasiwe spies wa Ukraine, wakawa ni wale ambao hawakubaliani na maamuzi ya Putin. Pia hawa wanaoenda kinyume dhidi ya Zelensky, inawezekana wasiwe ma-spies, wakawa wale wasiokubaliana maamuzi ya Zelensky.
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
 
Uyo jamaa kwenye satellite kazi yake ni nini
Tuendeleee kula matobolwa , michembe, numbu na matoke ..hayo mambo ni magumu hata ukiyaloweka hayalainiki Kwa elimu yetu ya hiiii ndio aaaaaaa aaaaa aaaaaaa IPO kamaaaaa ......hii ndio eeeeee eeeee eeeeee .....hii ndiooo iiiiii iiiiii iiiiii inakofia juuuuu iiiiii iiiiii iiiiii.....🤣🤣🤣🤣
 
Shikamoo Putin...kumbe Urusi ina ma-spies ('ma TISS') kibao ndani ya serikali ya Zelensky hadi miongoni mwa wabunge wa Zelensky.

Ukraine imeshtukia huyu mmoja baada ya kufanikisha majukumu yake kibao ya michakato ya kuteka mikoa/miji ya Ukraine, lakini bado kuna mamia nyuma yake wanaendelea kukamilisha kazi wanazoagizwa. Usikute hata wale Pro-NATO wanaojitia kutokwa povu humu jukwaani wapo kwenye payroll ya Putin (ma spies wake)

View attachment 2273976View attachment 2273977
Hili nililijua mapema,
Mipango ya Putin Lazima angekua na chawa ndani ya serikali ya zelensky.

Putin anamjua Zelensky nje ndani Ndo maana kila siku anampiga
 
Ukraine inalalamika kuwa Belarus imetuma silaha kwenda Russia kwa ajili ya kuichakaza Ukraine.

Mwambieni Zelensky atulie tulii, Russia haihitaji msaada wa silaha toka kwa Belarus wala China (Xi wa China alishalitolea ufafanuzi hili jambo huko nyuma), Russia inajitosheleza kwa vichinjio vyake vya sampuli anuai.
========

SmartSelect_20220627-092125_Chrome.jpg
SmartSelect_20220627-092159_Chrome.jpg
 
Mrekebishe nini kwenye systems. Hakuna cha kurekebisha bali mnunue counter drone mechanism, air defence system hazikutengenezwa kuzuia hizo small and cheap drones.

Unasema halijurudii wakati ni mara ya pili Ukraine inashambulia ndani ya Urusi. Mara nyingine ilituma helikopta mbili kabisa zikaingia deep in Russia na kushambulia kituo cha kuhifadhi mafuta. Air defence hapo ndio tuulize zilikuwa wapi.
Meanwhile, kule Sauti Arabia mara nyingi tu inazuia hizo attacks baada ya kuwa na counter drone mechanism View attachment 2273826
Tunza hata heshima yako iliyobaki we mzeee unazidi kujiaibisha tu .... ukkasirika kunya nanasi.
 
Duh

⚡⚡⚡Due to the decrease in Russian gas supplies and rising energy prices, gas bills could triple. Companies are preparing to cut or even stop production, which will hurt the economy and reduce the number of jobs, writes Bloomberg.

Russia's decision to limit gas supplies indicates that the era of cheap energy is over for Germany
William Wilkes, Vanessa Dezem, Alexander Weber. In Germany, some industrial furnaces have operated without interruption for several decades. If for some reason they suddenly cool down, the molten rocks solidify and the system breaks down.

This circumstance is of great concern to the largest economy in Europe now, when it faces an unprecedented energy crisis.

What started as just a vague bad feeling about Russian gas supplies has now become a reality. After President Vladimir Putin cut supplies on the main pipeline to Europe by 60%, experts in Chancellor Olaf Scholz's administration began to analyze various scenarios. And it turned out that none of the scenarios allows them to accumulate enough gas to survive the coming winter.

“It was a sobering moment,” Klaus Mueller, head of German regulator BNetzA, told radio station Deutschlandfunk on Friday, June 25. “If the winter is very cold, if we are careless or over-generous in the use of gas, it will be very hard."

The risks are not just limited to a recession, cold homes in the coming winter, and factory shutdowns. Germany prospered for decades thanks to cheap gas from Russia. The answer to the needs of a growing economy was most often a new pipeline to Russia.

This era is over, and companies from BASF to Volkswagen are forced to come to terms with the new reality.
 
Aise, Ukisoma kwa utulivu speach ya huyu Lut-general utagundua kuwa kumbe Putin kwa vichwa vya Urusi ni pastor wa jimbo kuu kabisa[emoji23][emoji23],

Just imagine vita hata haijaanza wala kunukia lakini mwamba huko bungeni kashuka phase zote za vita itakavyoanza na itakavyoisha, kasema hivi;

Phase I: “We’ll destroy the entire group of enemy’s space satellites during the first air operation,”

Phase II: "Second, we’ll mitigate the entire system of anti-missile defense, everywhere and 100 per cent"

Phase III: "We certainly won’t start from Warsaw, Paris or Berlin.The first to be hit will be London. As part of the operation to destroy critically important sites, Western Europe will be cut off from power supplies and immobilized. “All power supply sites will be destroyed"

Finally: "I shall see what the USA will tell Western Europe on continuing their fight in the cold, without food and electricity". Lut.General/MP.

Yani warusi huwa wananifurahisha sana, kabla hawajakupiga wanakupatia kwanza plan ya kipigo, sehemu watakapo piga, bomu watalo tumia na siku ya kipigo na hakuna kitu hata kimoja utaweza zuia. Kwangu mimi huyo ndo ana deserve kuitwa SUPER POWER siyo Super power wa kuvizia watu wametulia ndo anawapiga nukes (USA kwa Hiroshima na Nagasaki)
Mkuu hii imekaa poa sana, ulipaswa pia uifungulie uzi wake unaojitegemea...Pro-NATO wawe wanapitia comments kimya kimya wakiugulia maumivu
 
🤭🤭🤭🤭

Nakuelewa sana Faisal, Halafu ha ha ha nikutonye kitu mdau wangu... Hilo jina la Mkuu mnalitumia sana hapa ila binafs siko comfortable nalo kabisa 😌😌😌

Kama hutojali tuitane kama brothers nitafurah zaidi. Lel say kaka Faisal, o Kaka Qibsyl/Ask-Q fresh au sio mdau?
Wengine duuh kaka hata hauko comfortable ila Kuna wengine huwa wako comfortable kumuheshimu mtu aliyemzid maarifa flani. Usikatae cheo bro kwa mchango unaotoa binafsi likubali jina tu
 
Kitendo cha wanajeshi wa ukiraine (2000)kuokotwa kama kumbikumbi hii ni technique ya hatari sana, mtu anakuzingira na hana haraka yakukupiga nyie hii ni confidence ya ajabu mno, Hivi kuna nchi yoyote ishawahi tumia hii technique?????
#Pro Russia
Uraaaaaaaa
 
Back
Top Bottom