Hamjiamini kbs Yani...hivi hofu ni nini hasa ya kuja na I'd mpya? Ukweli unasumbua nafsi zenu ama nini?, Na wewe bila shaka ni mk254.Usinipachike jinsia ambayo sina,
Hamjiamini kbs Yani...hivi hofu ni nini hasa ya kuja na I'd mpya? Ukweli unasumbua nafsi zenu ama nini?, Na wewe bila shaka ni mk254.Usinipachike jinsia ambayo sina,
ID yangu kua mpya haikuhusu, jadili mada ukishindwa kaa pembeni.Hamjiamini kbs Yani...hivi hofu ni nini hasa ya kuja na I'd mpya? Ukweli unasumbua nafsi zenu ama nini?, Na wewe bila shaka ni mk254.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwelii wameiva kama nchi zingekua zinaajiri wanajeshi wa mataifa mengine hawa wameiva mtu tano, alafu 20 chini na wengine wamekimbia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]walionusurika ukiwafanyia interview hawatakubali kwamba walikua wanapambana na binadamu wenzao watasema ni mizimu[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Warusi mnatisha.
Kuna watu wanajua usikatishe tamaa😂😂😂😂😂tukijua kutafsiri maandishi ya wazungu basii tunanelezea na location aliyopo ni nyuzi ngapii😂😂😂😂😂Tuendeleee kula matobolwa , michembe, numbu na matoke ..hayo mambo ni magumu hata ukiyaloweka hayalainiki Kwa elimu yetu ya hiiii ndio aaaaaaa aaaaa aaaaaaa IPO kamaaaaa ......hii ndio eeeeee eeeee eeeeee .....hii ndiooo iiiiii iiiiii iiiiii inakofia juuuuu iiiiii iiiiii iiiiii.....🤣🤣🤣🤣
Njoo na ID yako acha kubishana na vijana wa Putin fata order.ID yangu kua mpya haikuhusu, jadili mada ukishindwa kaa pembeni.
Waliitumia Rambo , Anord Shuzilakiniga na komando kipensi.....🤣🤣🤣Kitendo cha wanajeshi wa ukiraine (2000)kuokotwa kama kumbikumbi hii ni technique ya hatari sana, mtu anakuzingira na hana haraka yakukupiga nyie hii ni confidence ya ajabu mno, Hivi kuna nchi yoyote ishawahi tumia hii technique?????
#Pro Russia
Uraaaaaaaa
Ulidhamiria kweli kulisema hili mjomba?There were gossip that Lisichansk would be surrendered quickly. The General Staff decided to prepare defense in Bakhmut, Kramatorsk and Slavyansk.
The Office of the President tried to convince the military to go on a counteroffensive, showing success before the G7 and the NATO summit, but Zaluzhny refused to play politics, and so in Severodonetsk they lost a lot of heavy weapons and well-trained manpower.
Pole sana...mjitahidi tu kubaki na I'd zenu mnazotoa maboko msijifiche fiche, hakuna atayewafanya chochote humu..kuweni huru tu, mbona pro Russia ni viumbe waungwana sana...Msiogope sana, sawa bibie?🤩ID yangu kua mpya haikuhusu, jadili mada ukishindwa kaa pembeni.
Unanipa order kama nani? We kiazi nini, jadilini mada, ID yangu HAIWAHUSU.Njoo na ID yako acha kubishana na vijana wa Putin fata order.
Hahahaha mkuu haukunenepa kwasababu ya uchafu kurundikana mwiliniHii ya wajerumani kupiga passports size imenikumbusha Jamhuri High school Dodoma nilopokuwa advance,yaani msimu wa baridi nilikuwa na nawa macho na makwpa Tu[emoji16][emoji16],wiki nzima[emoji119]
Yap, kuna tatizo?Ulidhamiria kweli kulisema hili mjomba?
Bibie baba akoPole sana...mjitahidi tu kubaki na I'd zenu mnazotoa maboko msijifiche fiche, hakuna atayewafanya chochote humu..kuweni huru tu, mbona pro Russia ni viumbe waungwana sana...Msiogope sana, sawa bibie?[emoji2956]
Hapana nimeuliza tu!Yap, kuna tatizo?
Ok sawa, kama inawezekana nitakubali tu. lakini kwanini mmekua waoga namna hiyo? msiwe wanyonge sana. Kwani wewe unaamini kwenye kukaza fuvu peke yake?, Jifunze sawa😜Bibie baba ako
Wengine duuh kaka hata hauko comfortable ila Kuna wengine huwa wako comfortable kumuheshimu mtu aliyemzid maarifa flani. Usikatae cheo bro kwa mchango unaotoa binafsi likubali jina tu
Mkuu EU haiwezi firisika kwa matukio kama haya, watateteleka na kubaki kwenye mstari, alafu watafute alternative ya hiyo gesi ya Russia. Vita ya kwanza ya dunia na ya pili zilipita hawakufirisika. USSR nayo iliathirika kiuchumi kwa vita ya Afghanistan, na hapa tukubaliane Russia itaathirika na hii vita. Ukraine hakuna ubishi wana kazi kubwa kujenga upya nchiMKUU hii sio vita hii ni OP tuu
Kuhusiana namakadirio msikadirie mtajichosha sanaaa
Kaeni muone KREMLIN wanawaza nn maana hata sisi pro wao hatujui wanawaza nn
Ila OP inaendelea vyema maana EUROPE huko hali mbaya gharama zamaisha zinapanda mnooo
Nahisi OP itaenda miezi mingi hii mpaka pale wanaojiona wakubwa wa DUNIA wakae chini na mkubwa mwenzao RUSSIA wakubali kutokukubaliana ndio OP itamalizika
Ila mpaka sasa UKRAINE ishakua muflisi EU inazidi kus muflis nahapo wanaangalia namna yakula matapishi yao
EU hali mbaya MKUU sijui kuhusu RUSSO sina konekshen huko
Sent using Jamii Forums mobile app