Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wamarekani weusi wengine wapumbafu, anaanzisha thread title kwa herufi kubwa BADGET YA MAREKANI KUBWA KULIKO, spelling za Budget hazijui. Mubichwa mkubwa kama haliwezi linashindwa kuandika kwa kiswahili bajeti ijulikane kulazimisha English halijui.

BADGET ni nini? msew [emoji57]
 
Alafu ww ni Shoga kweli🤣🤣
 
Bloomberg: Sanctions push Russia to first foreign default since 1918. Russia has defaulted on its foreign-currency sovereign debt for the first time in a century due to punitive Western sanctions imposed for its full-scale invasion of Ukraine.
 
Hii vita haijulikani inaisha lini. Makadirio hayafanyi kazi
MKUU hii sio vita hii ni OP tuu
Kuhusiana namakadirio msikadirie mtajichosha sanaaa
Kaeni muone KREMLIN wanawaza nn maana hata sisi pro wao hatujui wanawaza nn
Ila OP inaendelea vyema maana EUROPE huko hali mbaya gharama zamaisha zinapanda mnooo
Nahisi OP itaenda miezi mingi hii mpaka pale wanaojiona wakubwa wa DUNIA wakae chini na mkubwa mwenzao RUSSIA wakubali kutokukubaliana ndio OP itamalizika
Ila mpaka sasa UKRAINE ishakua muflisi EU inazidi kus muflis nahapo wanaangalia namna yakula matapishi yao
EU hali mbaya MKUU sijui kuhusu RUSSO sina konekshen huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yaani id za pro nato Kama sio new member basi ni member. Wanafufua id zao walizotelekeza au kufungua mpya. Napenda kuwatumia wimbo wa anajikosha by harmonize uwaendee pro nato wote, asanteni.
Screenshot_20220627-074421.png

Mm Nikashaona Ugoro Napita Nae mojakwamoja
 
MKUU hii sio vita hii ni OP tuu
Kuhusiana namakadirio msikadirie mtajichosha sanaaa
Kaeni muone KREMLIN wanawaza nn maana hata sisi pro wao hatujui wanawaza nn
Ila OP inaendelea vyema maana EUROPE huko hali mbaya gharama zamaisha zinapanda mnooo
Nahisi OP itaenda miezi mingi hii mpaka pale wanaojiona wakubwa wa DUNIA wakae chini na mkubwa mwenzao RUSSIA wakubali kutokukubaliana ndio OP itamalizika
Ila mpaka sasa UKRAINE ishakua muflisi EU inazidi kus muflis nahapo wanaangalia namna yakula matapishi yao
EU hali mbaya MKUU sijui kuhusu RUSSO sina konekshen huko

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnajifariji, the Truth is Ulaya hali mbaya Urusi hali mbaya msitafute habari za kuwafurahisha mkipewa mbaya mnanuna
 
Hivi kuna mtu bado anawaona urussi ni burundi??
Ile kauli ya viongozi wa hizo nchi za NATO kwamba hawataki direct confrontation na Russia iko na maana kubwa sana wanajua uwezo wa kijeshi wa Russia achana na hawa wanaopiga kelele mitandaoni wanaichukulia Russia kimasihara.

Ingekua Russia ni nchi dhaifu basi NATO wangekua wameshaingilia ila kila kiongozi wa nchi akipimia zile hypersonic, iskanders na Satan II zitue kwenye nchi yake kisa kumsaidia kijeshi Rais aliyeshindwa kumaliza mgogoro mpaka nchi yake inashambuliwa wanaishia kukaa vikao vya kumfariji tu na kumpa silaha ambazo wenyewe wanajua haziwezi kufanya mageuzi yoyote kwenye hii operation ya Russia.
 
Shikamoo Putin...kumbe Urusi ina ma-spies ('ma TISS') kibao ndani ya serikali ya Zelensky hadi miongoni mwa wabunge wa Zelensky.

Ukraine imeshtukia huyu mmoja baada ya kufanikisha majukumu yake kibao ya michakato ya kuteka mikoa/miji ya Ukraine, lakini bado kuna mamia nyuma yake wanaendelea kukamilisha kazi wanazoagizwa. Usikute hata wale Pro-NATO wanaojitia kutokwa povu humu jukwaani wapo kwenye payroll ya Putin (ma spies wake)

SmartSelect_20220627-084053_Chrome.jpg
Screenshot_20220627-084305_Chrome.jpg
 
Shikamoo Putin...kumbe Urusi ina ma-spies ('ma TISS') kibao ndani ya serikali ya Zelensky hadi miongoni mwa wabunge wa Zelensky.

Ukraine imeshtukia huyu mmoja baada ya kufanikisha majukumu yake kibao ya michakato ya kuteka mikoa/miji ya Ukraine, lakini bado kuna mamia nyuma yake wanaendelea kukamilisha kazi wanazoagizwa. Usikute hata wale Pro-NATO wanaojitia kutokwa povu humu jukwaani wapo kwenye payroll ya Putin (ma spies wake)

View attachment 2273976View attachment 2273977
Madai yako ni batili, Ndani ya nchi hamuwezi kukubaliana asilimia 100. Kutofautiana kupo, Si viongozi wote wanakubaliana na Zelensky au viongozi wote wanakubaliana na Dikteta Putin. Hao subotage wanaofanya matukio urusi wanaweza wasiwe spies wa Ukraine, wakawa ni wale ambao hawakubaliani na maamuzi ya Putin. Pia hawa wanaoenda kinyume dhidi ya Zelensky, inawezekana wasiwe ma-spies, wakawa wale wasiokubaliana maamuzi ya Zelensky.
 
Back
Top Bottom