Mkuu rudi ukasome, kukosea si dhambi ila ubaya ni kutetea makosa.
Speed of Sound ni 340M/s
Supersonic maana ake ni speed zaidi ya sauti. Any speed beyond 340M/s inaitwa Supersonic. Kuna level itafika Hyper n.k
Mach number zinatoka kwa kugawanya speed husika kwa speed ya sauti.
Lel say nina Obect inasafiri 1,360M kwa sekunde.
Hii ni sawa na Mach 4, yani Given speed(Super sonic speed) over Speed of sound
Mach = 1,360m/s ugawanye kwa 340m/s, You get 4...
Sasa we utagawanya vipi 10 kwa M upate 5 kisha useme hii 5 ni sawa na about 40 hivi ya M...
Kubali kuelekezwa kama kitu hujaelewa. Ulichoandika mwanzo umeyumba mjomba.