Ok sawa, kama inawezekana nitakubali tu. lakini kwanini mmekua waoga namna hiyo? msiwe wanyonge sana. Kwani wewe unaamini kwenye kukaza fuvu peke yake?, Jifunze sawa😜Bibie baba ako
Ok sawa, kama inawezekana nitakubali tu. lakini kwanini mmekua waoga namna hiyo? msiwe wanyonge sana. Kwani wewe unaamini kwenye kukaza fuvu peke yake?, Jifunze sawa😜Bibie baba ako
Ni kawaida yako kutokuwa na akili na kujibu reply hii hii siku zote. Huna akili, huwezi jenga hoja ila unataka uonekane umecomment. Huoni aibu mtoto wa nzi?Tunza hata heshima yako iliyobaki we mzeee unazidi kujiaibisha tu .... ukkasirika kunya nanasi.
Hsbari njema sana hiiiBelarus na Urusi kuanza kutumia Sarafu ya Aina moja.
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
@T14 Armata ndio maana OP tunaona kama inachelewa kumbe inacheleweshwa hiiiDuh
[emoji298][emoji298][emoji298]Due to the decrease in Russian gas supplies and rising energy prices, gas bills could triple. Companies are preparing to cut or even stop production, which will hurt the economy and reduce the number of jobs, writes Bloomberg.
Russia's decision to limit gas supplies indicates that the era of cheap energy is over for Germany
William Wilkes, Vanessa Dezem, Alexander Weber. In Germany, some industrial furnaces have operated without interruption for several decades. If for some reason they suddenly cool down, the molten rocks solidify and the system breaks down.
This circumstance is of great concern to the largest economy in Europe now, when it faces an unprecedented energy crisis.
What started as just a vague bad feeling about Russian gas supplies has now become a reality. After President Vladimir Putin cut supplies on the main pipeline to Europe by 60%, experts in Chancellor Olaf Scholz's administration began to analyze various scenarios. And it turned out that none of the scenarios allows them to accumulate enough gas to survive the coming winter.
“It was a sobering moment,” Klaus Mueller, head of German regulator BNetzA, told radio station Deutschlandfunk on Friday, June 25. “If the winter is very cold, if we are careless or over-generous in the use of gas, it will be very hard."
The risks are not just limited to a recession, cold homes in the coming winter, and factory shutdowns. Germany prospered for decades thanks to cheap gas from Russia. The answer to the needs of a growing economy was most often a new pipeline to Russia.
This era is over, and companies from BASF to Volkswagen are forced to come to terms with the new reality.
Kuna kitu moja sijajua sababu ni nini ila hizi several attempts za Ukraine kwenye hii snake island, kuna kitu gani pale hawa jamaa kila baada ya mda wanajaribu kurudi kutaka kupakomboa japo wanaishia kuangukia pua kila wakienda?Pro-Russia niwaombe kitu, achaneni na ID ya huyo mteseka nyuma ya keyboard. Tieni Spana kwenye anayozungumza kama hayana maana. Hapo mtaanza kurushiana maneno ya kijinga halafu haipendezi.
Ongeza nyama MKUU ili sisi wa HKL tuelewe[emoji23][emoji3][emoji16]This is called Force Majeure, not a default.
Wanashambulia mtu hawana hoja hawa, hoja zao ni kuita watu shoga au hauna akili. Watu wa hovyo hawaNi kawaida yako kutokuwa na akili na kujibu reply hii hii siku zote. Huna akili, huwezi jenga hoja ila unataka uonekane umecomment. Huoni aibu mtoto wa nzi?
Nimeshangaa pia[emoji23][emoji23][emoji23]Ulidhamiria kweli kulisema hili mjomba?
Cheki hili, speed ya 30 times unaijua? Warusi weusi hovyo nyie
Biden!! mbona umepanic, kwa taarifa tu USA ndo Kwanza Yuko kwenye majaribio ya hypersonic missiles, four trials zote za USA zime fail, ...... Hypersonic missiles za Russia ziko na mach number 9-10 which is approximately equal to 29-32 times speed of sound ....Cheki hili, speed ya 30 times unaijua? Warusi weusi hovyo nyie
Itakuwa kuna siri zao nyingi hapo, hii inafanana na zile attempts walizokua wanafanya Mariupol kiwandani pale na bado wakashindwa.Kuna kitu moja sijajua sababu ni nini ila hizi several attempts za Ukraine kwenye hii snake island, kuna kitu gani pale hawa jamaa kila baada ya mda wanajaribu kurudi kutaka kupakomboa japo wanaishia kuangukia pua kila wakienda?
View attachment 2274068
Itaathirikaje na EU isiathirikaje!!!??Mkuu EU haiwezi firisika kwa matukio kama haya, watateteleka na kubaki kwenye mstari, alafu watafute alternative ya hiyo gesi ya Russia. Vita ya kwanza ya dunia na ya pili zilipita hawakufirisika. USSR nayo iliathirika kiuchumi kwa vita ya Afghanistan, na hapa tukubaliane Russia itaathirika na hii vita. Ukraine hakuna ubishi wana kazi kubwa kujenga upya nchi
Kawadanganye watoto wenzio, Warusi weusi mnajiona mnajua sana vitu. FICHA UJINGA USIZUNGUMZE USICHOKIJUABiden!! mbona umepanic, kwa taarifa tu USA ndo Kwanza Yuko kwenye majaribio ya hypersonic missiles, four trials zote za USA zime fail, ...... Hypersonic missiles za Russia ziko na mach number 9-10 which is approximately equal to 29-32 times speed of sound ....
nadhani taarifa umeipokea Mr biden.....
Nimeshtuka [emoji23]
Mmekariri maisha, pole sanaNimeshtuka [emoji23]
Nikasema kaa! Hii ikoje, au aliipost kabla ya kuisoma.
Hapana Mjomba si kweli, Mach ndio Speed ya Sauti 1,235KM kwa saa au Meter 343 kwa sekunde... So unaposikia Speed ya Mach 9, jua ni Speed mara 9 ya sauti.Biden!! mbona umepanic, kwa taarifa tu USA ndo Kwanza Yuko kwenye majaribio ya hypersonic missiles, four trials zote za USA zime fail, ...... Hypersonic missiles za Russia ziko na mach number 9-10 which is approximately equal to 29-32 times speed of sound ....
nadhani taarifa umeipokea Mr biden.....
AhsanteMmekariri maisha, pole sana
Kwa nini unamuita Rais Putin kuwa Dictator?Madai yako ni batili, Ndani ya nchi hamuwezi kukubaliana asilimia 100. Kutofautiana kupo, Si viongozi wote wanakubaliana na Zelensky au viongozi wote wanakubaliana na Dikteta Putin. Hao subotage wanaofanya matukio urusi wanaweza wasiwe spies wa Ukraine, wakawa ni wale ambao hawakubaliani na maamuzi ya Putin. Pia hawa wanaoenda kinyume dhidi ya Zelensky, inawezekana wasiwe ma-spies, wakawa wale wasiokubaliana maamuzi ya Zelensky.
Wachapwe tu.Russia sio watu wazuri: Wanajeshi wa Ukraine baada ya kuzidiwa mapambano na majeshi ya Urusi huko Sievierodonetsk wameumwaya (wametoka nduki), majeshi ya Russia yawaagizia mvua za makombora ya cluster bombs huko walipokimbilia
Wanajeshi wa Ukraine (wakiwemo wanajeshi toka nchi za NATO) baada ya kuzidiwa mapambano na majeshi ya Urusi huko Sievierodonetsk waliona isiwe tabu, "ngoja tuwakabidhi ushindi Urusi sambamba na jiji hilo la kimkakati la Sievierodonetsk ili tuondoke salama salimina".
Lakini hali imekuwa tofauti sana. Mrusi aliwaachia watoke kwenye front line na misafara yao...lakini walipokuwa nje kabisa ya jiji wakiendelea kukimbia, majeshi ya Urusi yakawatumia drones ilikuchukua taarifa za locations zao kisha wakashtukia tu mvua kali mno za mabomu ambayo ni afadhali yale waliyokutana nayo kule front lines. Urusi imewatandika kwa kutumia cluster bombs...Wanajeshi hao wanasema damu zilitapakaa huku na kulee, majeruhi kibao. Wakajitahidi kukimbilia misituni na kujifunika kwa majani ya miti ili kuziepuka drones za Urusi zilizokuwa zikichukua taarifa zao kisha kumiminiwa cluster bombs.
Aisee wanajeshi wa Urusi noma sana, yaani ukikimbia vitani wanakufata huko huko ulipo wanakutumia moto mkali.
=========
View attachment 2274003View attachment 2274004View attachment 2274005View attachment 2274006
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kwa nini unamuita Rais Putin kuwa Dictator?
Hata NATO hawafanyi hivyo inakuwaje wewe?
Usije tusababishia kurushiwa sutan 2 mzee. [emoji16][emoji16][emoji16]