Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Tunayapoza unayaamsha tena? Vipi ndugu? Hamuwezi kutumia kauli za kiungwana? Tulio anza kumshambulia ni sisi wenyewe toka alipotia mguu. Em tuacheni hizo tukikereka na mtu kuna Ignoring List hapo...Jitulize mzee uheshimike
Wawekeni hapo watulie. Huku kufakamamiana ipo siku tutafakamia majini. Tukaeni tuli tujadili tu. We pro Russia mwenzangu najua hauna kichwa kigumu kuelewa. Hatuezi jadiliana nae basi tuachane nae kiroho safi tu.