Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
#[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Za Russia mkuu ndo zinapiga jarambaMarine za taifa gan MKUU zinazopiga jaramba !!?
Au za TAIFA TEULE
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutalipa kwa rubleNani wamekataa kulipwa? Russia inabidi ilipe kwa USD sio kwa hela zake na mara zote huwa inalipa kwa USD. Sasa nani kakataa kulipwa
Ha ha ndio naona hapa kumbe ulitia muhuri, Mie nilikausha niendelee kumsoma kimya kimya muelekeo wake [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukraine wanapata loss kubwa sana hapo Snake island.Huwa sisomi taarifa za EurAsia Times hasa ziwe dhidi ya China au ziwe kuhusu India. Hao jamaa wanatia chumvi sana na kuikuza India huku China wanaiponda. Baadae nikajua ni Wahindi na hawajawahi kuwa waandishi wazuri wa habari.
BTW mbona ndege kibao za Urusi na helikopta kama Ka-52 zinadondoshwa uko Ukraine? Unadharau drone zinazowachakaza pale Snake Island. Na hizo air defence system bado zinapigwa vilevile na hizo Bayraktars View attachment 2274585View attachment 2274586
Heheee nlimwaga wino MKUUHa ha ndio naona hapa kumbe ulitia muhuri, Mie nilikausha niendelee kumsoma kimya kimya muelekeo wake [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2274796
Inaleta mshangao sana“I wonder how the whites successfully convinced Africans that polygamy is a sin but gay is a human right” – Kim Jong-un
Aisee mambo yamebadilika haraka sana tulizoea kuona picha za madai eti ni vifaru vya urusi na helicopter vikiwa vimelipuliwa sasa tunaona hawa jamaa wakiwa waanapata tabu namna hiiRussia sio watu wazuri: Wanajeshi wa Ukraine baada ya kuzidiwa mapambano na majeshi ya Urusi huko Sievierodonetsk wameumwaya (wametoka nduki), majeshi ya Russia yawaagizia mvua za makombora ya cluster bombs huko walipokimbilia
Wanajeshi wa Ukraine (wakiwemo wanajeshi toka nchi za NATO) baada ya kuzidiwa mapambano na majeshi ya Urusi huko Sievierodonetsk waliona isiwe tabu, "ngoja tuwakabidhi ushindi Urusi sambamba na jiji hilo la kimkakati la Sievierodonetsk ili tuondoke salama salimina".
Lakini hali imekuwa tofauti sana. Mrusi aliwaachia watoke kwenye front line na misafara yao...lakini walipokuwa nje kabisa ya jiji wakiendelea kukimbia, majeshi ya Urusi yakawatumia drones ilikuchukua taarifa za locations zao kisha wakashtukia tu mvua kali mno za mabomu ambayo ni afadhali yale waliyokutana nayo kule front lines. Urusi imewatandika kwa kutumia cluster bombs...Wanajeshi hao wanasema damu zilitapakaa huku na kulee, majeruhi kibao. Wakajitahidi kukimbilia misituni na kujifunika kwa majani ya miti ili kuziepuka drones za Urusi zilizokuwa zikichukua taarifa zao kisha kumiminiwa cluster bombs.
Aisee wanajeshi wa Urusi noma sana, yaani ukikimbia vitani wanakufata huko huko ulipo wanakutumia moto mkali.
=========
View attachment 2274003View attachment 2274004View attachment 2274005View attachment 2274006
Habar murua kabisa Hizi[emoji28][emoji106]Gavana wa Zelensky alalamika kuwa majeshi ya Urusi 'yameumiminia' moto mkali mji wa Lysychansk kutokea aridhini na angani.
View attachment 2274520View attachment 2274521
Katika pro NATO waliobakiza akili kidogo kichwani,wengine wote chenga tupu.Kuzuia kutumia USD ni sawa na kuzuia malipo mkuu. Hapo tumeboronga hilo halina utetezi, tunamfumba mdomo then tunamwambia ameshindwa kula? Ni upumbavu tunaofanya.
Pro NATO ikiwa na Watu Kama weweMkuu siko upande wa Urusi ila siwachukii kushindwa kuona wanayoyafanya. Mkuu Davos ni level ya World, ndani ya WEF, Urusi yumo sisi tumo, Mataifa yote yapo WEF sio matajiri tu. Ukisema mataifa matajiri je Makamo wa Raisi wetu Philip alienda kufanya nini mkutano wa mwaka huu? Ulivyolinganisha ni kama unalinganisha wizara ya Afya ya Tanzania with WHO. Its WRONG. Ngazi ya Taifa na Ngazi ya Dunia. Majina tu huoni mkuu? World EF vs St Petersburg IEF?
Halaf hao akina rambo na komando john ndio waliowadanganya pro nato kuamini kuwa russia ni wabovuWaliitumia Rambo , Anord Shuzilakiniga na komando kipensi.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni funzo pia kwa raia,Zelensky anasema kuwa Urusi imemimina makombora kwenye shopping centre iliyokuwa na watu zaidi ya 1000 ndani.
Mwambieni Zelensky aache kuficha silaha kwenye maeneo ya shughuli za kijamii.
View attachment 2274594
Hatari Sana[emoji28]Hawa ndo Russia Kuingia vita na Russia ni sawa na kutumbukia kwenye karai la kukaangia chips
Nani katukana mkuu tumripoti apigwe ban?Mh huu uzi unakoelekea sio, Ngojeni wengine tuchukue likizo... Ila hayo matusi mnayotukanana nina wahakikishia hayawasaidii chochote [emoji124][emoji124][emoji124]
Ni akina Nani hao mapro-NATO waliokula ban humu???Kuna ile ya asubuh kama una kumbuka, hadi nikamuuliza Jomba ulidhamiria kupost hiki ulichoweka hapa? Alivyo jibu ndio ikanibidi nikasakue text zake. Sasa Kuna moja ipo kule kwenye uzi wa Champagnee subiri niifate. Niikiipata nita edit hii reply.
Watulie dawa iingie vizur,Ujerumani yaonya kuwa Urusi ipo inatengeneza kokoro (mtego) jingine la kuwanasa mataifa ya magharibi yawe yanaitegemea Urusi kwenye malighafi ya lithium.
Urusi inaunda ubia na Bolivia ambayo ina hifadhi kubwa zaidi ya madini ya lithium duniani (tani milioni 21) ambapo Urusi itakuwa ikiyachimba na kuyachakata madini hayo. Ujerumani I ahofia Urusi itatumia karata hiyo kama namna itumiavyo mafuta na gesi katika kuwaadhibu mataifa ya Ulaya na Marekani.
Madini ya lithium yanatumika kwenye utengenezaji wa betri kuchaji za simu za mkononi, laptop, digital camera na magari ya umeme. Pia kwenye betrii za pacemakers etc
View attachment 2274675View attachment 2274676