Bonds za Russia hazilipwi kwa Ruble. Hiyo sarafu tunaikuza tu humu ila mtu yeyote anayejua biashara na anayefanya biashara za kimataifa hata awe Mrusi mwenyewe anajua hizo ndoto hazipo. Kwani Ruble si ipo miaka yote mbona Russia huwa hawalipi kwa kuitumia.Tutalipa kwa ruble
Ha ha ndio naona hapa kumbe ulitia muhuri, Mie nilikausha niendelee kumsoma kimya kimya muelekeo wake [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2274796
Wakiwa makini Majeshi ya Ukraine yanatakiwa yarudi nyuma mpaka Mji wa Dnipro angalau ili kuweka base hapo na kupambana na Urusi.There were gossip that Lisichansk would be surrendered quickly. The General Staff decided to prepare defense in Bakhmut, Kramatorsk and Slavyansk.
The Office of the President tried to convince the military to go on a counteroffensive, showing success before the G7 and the NATO summit, but Zaluzhny refused to play politics, and so in Severodonetsk they lost a lot of heavy weapons and well-trained manpower.
Mbona unazunguka. Kina nani wamekataa kulipwa ndilo swali. Maana comment ilisema walikataa kulipwa, kina nani?Sehem kama hizi ndio hua nakushangaa kwamba kwakutokujua ama makusudi tuuu
Kwamba hujui kinachoendelea kuhusiana na RUSSIA na hizo DOLA YURO PAUND nk au!!!??
Eti !!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Leta update acha mboyoyoRussia said ....
In fact Ukraine haiwezi ota kuichukua Snake Island. Hakuna kamanda mjinga ataiteka Snake island ambayo haina lolote la maana kwenye ulinzi ukiwa nayo na ni njia ya kuharibu silaha na zana za Russia zikiwa hapo. Ndio maana mara zote Bayraktars na rockets kama HIMARS zinashambulia silaha za Urusi hapo. Snake island haina maana kuwa chini ya Ukraine kiulinzi, waichukue then what. Russia ndio wanaweza itumia kufanya amphibious landing kwa Ukraine lakini mara zote Raptor boats pale, landing crafts na silaha nyingine huwa zinapigwa na Ukraine. Snake island iko within range ya rockets na artillery. Kama walilipua Moskva iliyokuwa mbali washindwe pale karibu.
Nenda YouTube zipo video nyingi sana za nyakati tofauti Ukraine wakishambulia Snake island. Sasa walitaka kuitwaa kwa kutumia nini kama hawajaenda na troops
Siku zote huwa ni wapumbavu ndio maana huwa wanatoa hela tujenge vyoo. Ila Russia ni mjanja yuko ligi sawa na kina South Korea kwenye uchumiKwasasa hakuna ila leo huko GERMAN rais wa france EMANUEL kaomba mafuta ya IRAN na VENEZUELA yakubaliwe kuingia kwenye soko la DUNIA ili iwe nafuu kwao
EU wanataka kutudhihirishia UPUMBAVU wao
Sent using Jamii Forums mobile app
MEDVEDEV: “The Russian response to the ban on transit of products to Kaliningrad will be very tough, we are able to cut off the oxygen to our Baltic neighbours.”
Sijawahi toa updates humuLeta update acha mboyoyo
St. Petersburg Economic Forum ni alternative ya WEF. Sasa why tusifanye comparison. Wapo delegation ya nchi 69. Na wapi nilisema walienda nchi tajiri tu? Nimeonyesha wanaoenda Davos mataifa makubwa Heads wao wanakuwepo wengi ila huko kwingine sivyoMkuu siko upande wa Urusi ila siwachukii kushindwa kuona wanayoyafanya. Mkuu Davos ni level ya World, ndani ya WEF, Urusi yumo sisi tumo, Mataifa yote yapo WEF sio matajiri tu. Ukisema mataifa matajiri je Makamo wa Raisi wetu Philip alienda kufanya nini mkutano wa mwaka huu? Ulivyolinganisha ni kama unalinganisha wizara ya Afya ya Tanzania with WHO. Its WRONG. Ngazi ya Taifa na Ngazi ya Dunia. Majina tu huoni mkuu? World EF vs St Petersburg IEF?
Kaanza kupata akili 😄😄😄😄 maana kipindi cha baridi hao marcenary watapigika Sana, Kati ya vitu vilivyochangia jeshi la Hitler kupigwa ni pamoja na baridi, sasa wajiandae ulaya yote kipindi cha baridi hakuna rangi wataacha onaAtulie Kwanza Ndio Watu wanaanzia Walipo Ishia Jana na Juzi
🤡Zelensky wants the war to end before winter, he told the G7 leaders during his online address — Reuters
Uyu jamaa siku akipewa tena nchi, mabeberu watakoma![]()
Milango ya uani ile. Sijajua G20 inafanyika wapiHapana, hiyo unayozungumzia anaenda Tajikistan na Turkmenistan
Labda anataka awanyunyuzie sumuAta control jua na mwezi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kabakisha nini sasa kama oksijeni tunayojua ni zawadi ya maskini hailipiwi yy kashaimiliki.
Aiseeeee alooooo mambo n moto
[emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa amefanya nini wamemla ban?
Labda anataka awanyunyuzie sumu
Unaandika mashudu, ilisemwa wapi St Petersburg ni alternative ya WEF...? Jomba tunakuzoom tu ujue? Kueni na Step basi nyie pro NATO. Ndio maana mnashambuliwa mnalalamika. Mwenzio amekuhoji huko kwa mfano wa Wizara ya Afya hapa bongo na WHO. Hio comparison kwa akili yako ipo sawa?St. Petersburg Economic Forum ni alternative ya WEF. Sasa why tusifanye comparison. Wapo delegation ya nchi 69. Na wapi nilisema walienda nchi tajiri tu? Nimeonyesha wanaoenda Davos mataifa makubwa Heads wao wanakuwepo wengi ila huko kwingine sivyo
Putin ni mpole Sana aiseeMEDVEDEV: “The Russian response to the ban on transit of products to Kaliningrad will be very tough, we are able to cut off the oxygen to our Baltic neighbours.”