Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kuzuia kutumia USD ni sawa na kuzuia malipo mkuu. Hapo tumeboronga hilo halina utetezi, tunamfumba mdomo then tunamwambia ameshindwa kula? Ni upumbavu tunaofanya.
Hapa umetumia sentensi chache sana kuongea fact, naamini tukiendelea hivi huu uzi utakuwa sehemu nzuri sana ya kujifunza mambo mbalimbali kutokana na hoja za wadau mbalimbali.
 
.
Screenshot_20220627-232851.jpg
 
Hapa umetumia sentensi chache sana kuongea fact, naamini tukiendelea hivi huu uzi utakuwa sehemu nzuri sana ya kujifunza mambo mbalimbali kutokana na hoja za wadau mbalimbali.

Ivi sio kua Russia ndio kaaribu biashara ya Us maana mpaka kuzipata izo dollar ni kupitia biashara za kimataifa ambazo kwa ulimwengu wa tatu kama sisi tunakua tunapunjwa as tunatoa chenye thamani kubwa alafu tunapokea maratasi ambayo hayana uwiano na thamani ya bidhaa.

Labda kupotea kwa sarafu ya dollar ulimwenguni kutapelekea unafuu kwa mataifa maskini kama sisi kunufaika kwa rasilimali zetu mfano kutumika kwa gold kama means of exchange.
 
Warusi weusi mnasusiwa page hii msijione mna akili saaana. Katika nyinyi kuna wapumbavu wengi, hawajui kitu. Mnachojua ni kushambulia watu kwa majina ya fedheha. Mmeanza ID, mmehamia ushoga? Huo ni ustaarabu? Hamjadili mada mnashambulia mtu matusi, waondoke mjisifu mnapiga spana? Wengi katika nyie ni watu wa hovyo, wepesi mno. Nikupongeze Mkuu DeepPond, 1954 na Bwana Utam for your friendly. In JF we Discuss, argue with respect so as we can learn na tuburudike. Mnaleta mambo ya KIPUMBAFU SANA KWA UMRI WENU.
Unajua huwa nawashangaa sana mnaopata ujasiri wa kutukana hapa Jf, mtandao ambao unatumiwa na asilimia kubwa ya watu wazima wengine ni waheshimiwa, wazazi, Viongozi wa dini, wazee wetu na n.k

Binafsi huwa napata kigugumizi sana kuporomosha matusi kwa id nisiyofahamu mhusika wake, huwa nahofia unaweza ukajikuta unamtukana mtu ambae kiumri anaweza hata akakuzaa.

Nadhani binafsi tusi kubwa sana nalopenda kutumia ni neno "Ujinga" ambalo kimaana halisi siyo tusi bali ni ile hali ya kutokuwa na uelewa juu ya jambo flani. Ila hayo mengine yaliyobaki sijui tu wakuu huwa mnatoa wapi ujasiri wa kuyaandika kwa watu msio wafahamu.
 
Kauli kama hizi ndio zinafanya biden awe anaangalia tv amejificha nyuma ya kochi. Maana mara anasikia jamaa wa urusi anasema atalipua satellite zote za nato, huku mwingine anasema atakata oxygen ya baltic national, mara tena polish mercenaries denazified by russian force, sijui 5 russian special forces imeua na kujeruhi wanajeshi 20 wa ukraine achilia mvua za iskander zinaendelea kishuka kiev

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Ivi sio kua Russia ndio kaaribu biashara ya Us maana mpaka kuzipata izo dollar ni kupitia biashara za kimataifa ambazo kwa ulimwengu wa tatu kama sisi tunakua tunapunjwa as tunatoa chenye thamani kubwa alafu tunapokea maratasi ambayo hayana uwiano na thamani ya bidhaa.

Labda kupotea kwa sarafu ya dollar ulimwenguni kutapelekea unafuu kwa mataifa maskini kama sisi kunufaika kwa rasilimali zetu mfano kutumika kwa gold kama means of exchange.
Nchi zetu za ulimwengu wa tatu zinategemea sana sarafu za kimataifa zilizo kwenye uhitaji mkubwa ili kuendesha uchumi wetu na hiyo inatokana na importating rate kuwa kubwa zaidi kuliko exporting rate, na kwenye kuimport sarafu zinazotumika zaidi ni international currencies ambazo mostly ni USD na Euro.

Kutumia Gold kama njia mbadala ya foreign exchange inawezekana sema ni changamoto kutokana na upatikanaji mgumu wa dhahabu ulivyo ukilinganisha na pesa. maana siyo kila nchi ina reserves ya dhahabu.

Kuhusu USD kufa, haitakiwi ife maana italeta changamoto kwenye foreign exchange market hasa sisi nchi masikini ambapo pesa zetu hazipo kwenye demand ya Uchumi wa dunia ukilinganisha na USD, Ruble, Pound, Euro na n.k.

Sema tunahitaji kuwepo na sarafu zaidi hata ya tatu zinazouwiana kwenye demand ya foreign exchange market na ndo maana tunatamani Ruble iendelee kuwa sarafu imara na inayohitajika kwenye uchumi wa dunia ili iendelee kushusha ufalme wa USD ambapo USA anatumia sarafu yake kama silaha ya uchumi.
 
Sikiliza Russia na China walivyo mwacha kilanja wa dunia kweye hypersonic tech... Na amefail Mara ngapi...........

Siku chache zijazo nitaleta hapa deep sea tech, ambayo kwa Sasa ni Russia pekee mwenye uwezo huo.
View attachment 2274588
Uchina kweli noma kila baada ya miezi sita wanafanya mambo
Nalog off Z
 
Unajua huwa nawashangaa sana mnaopata ujasiri wa kutukana hapa Jf, mtandao ambao unatumiwa na asilimia kubwa ya watu wazima wengine ni waheshimiwa, wazazi, Viongozi wa dini, wazee wetu na n.k

Binafsi huwa napata kigugumizi sana kuporomosha matusi kwa id nisiyofahamu mhusika wake, huwa nahofia unaweza ukajikuta unamtukana mtu ambae kiumri anaweza hata akakuzaa.

Nadhani binafsi tusi kubwa sana nalopenda kutumia ni neno "Ujinga" ambalo kimaana halisi siyo tusi bali ni ile hali ya kutokuwa na uelewa juu ya jambo flani. Ila hayo mengine yaliyobaki sijui tu wakuu huwa mnatoa wapi ujasiri wa kuyaandika kwa watu msio wafahamu.
Hao wote ulio wataja ndiyo wahuni wenyewe ufirauni wote mkubwa kwenye hii nchi ni wao wanafanya hivyo acha hofu
 
Mbona unazunguka. Kina nani wamekataa kulipwa ndilo swali. Maana comment ilisema walikataa kulipwa, kina nani?

Sanctions hazimhusu creditor, huwezi nunua hati fungani za BoT kisha muda wa kulipwa coupon wakaleta longolongo yeyote isiyokuwa kwenye mkataba. Haijalishi kuna vikwazo, uchumi mbovu, mnajenga miundombinu au what.
That's why zinaitwa risk free na zina return ndogo
Jamaa kazuiwa kutumia dola unadhani hao walipwaji wanataka kulipwa!!?
Au ushawahi sikia kama RUSSIA wapo na shortage ya foreign currencies kama SRI LANKA ambao sirikali yao wametangaza kufilisika!!?
Walipwaji waache uhuni wakubali kulipwa kwa RUBO maadam wamekataa asitumie DOLA
US wameondoa uwezekano wawao kulipwa kwa Dola kwakuyaondoa mabank ya RUSSIA kwa SWIFT
RUSSIA wanasema wanauwezo ila vikwazo vinawabana wapo na $600B nje huko mnasemaje wanashindwa kulipa deni lao!!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote waliofanya dhambi ya kivita dhidi ya mateka wa Askari wa Russia, wanaoondolewa Mmoja baada ya mwingine.
====
Russian forces have eliminated a group of Georgian mercenaries, fighting on the Ukrainian side, who were allegedly involved in the abuse and murder of prisoners, the spokesman for the Defense Ministry in Moscow, Lieutenant General Igor Konashenkov, said on Monday.

According to Konashenkov, on June 26, three kilometers from the Lisichansk oil refinery in the Lugansk People’s Republic, Russian units “destroyed two sabotage and reconnaissance groups of mercenaries with a total number of 14 militants.”

The first group, according to the spokesman, “consisted of citizens of various European countries,” while the second listed only mercenaries from the so-called Georgian Legion. According to Konashenkov, “Georgian militants were involved in the brutal torture and murder of Russian servicemen near Kiev in March this year.”

Since the launch of the Russian military offensive in Ukraine at the end of February, Moscow and Kiev have been accusing each other of abuse and torture, as well as of atrocities against civilians. In May, the Russian Investigative Committee said it was looking into a video published on social media, showing a Georgian mercenary beating a captured Russian soldier.

UAE offers to mediate Russia-Ukraine POW swap – RIA sourceREAD MORE: UAE offers to mediate Russia-Ukraine POW swap – RIA source
Tatyana Moskalkova, Russia’s top human rights official, voiced concerns this month over the treatment of Russian prisoners in Ukraine. The International Red Cross had not provided any information about visits to check on the conditions the Russian POWs have been kept in, she claimed.
Source:RT.com
 
Siku zote huwa ni wapumbavu ndio maana huwa wanatoa hela tujenge vyoo. Ila Russia ni mjanja yuko ligi sawa na kina South Korea kwenye uchumi
Acha kutoka nje ya mada MKUU kutupa pesa zamisaada hakuwaondoloi UPUMBAVU walio nao
EU ukitoa upumbavu wao walio nao pamoja na US hawakua nasababu zakimsingi zakuyakataa mafuta ya TEHRAN na VENEZUELA nasasa hawana sababu zakimsingi zakutaka kuyakubali zaidi ya UPUMBAVU wao
Au utupe sababu zao zakimsingi zitakazo watoa kwenye UPUMBAVU wao maana hakuna hata reform moja katika sera iliofanywa na CARACAS na TEHRAN kiasi chakuwafanya watake kuyarejesha mafu ya hayo mataifa mawili
Upumbavu wa US na EU wakumkataa MADURO sio RAIS wa VENEZUELA sasa wanataka kuukiuka kwamaslahi yao binafsi
Upumbavu wakuipiga vikwazo IRAN bila yasababu zakimsingi wanataka kuukiuka walivyo hawana akili
Kumbe nawewe niwale mnaopendelea misaada MKUU pole saaanaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku zote huwa ni wapumbavu ndio maana huwa wanatoa hela tujenge vyoo. Ila Russia ni mjanja yuko ligi sawa na kina South Korea kwenye uchumi
Na wewe unaona ni sawa kabisa kupewe msaada wa kujengewa choo kama kweli hao mabeberu wanawapenda inatakiwa wawape fomula waliopitia wakawa matajiri sio kutuletea msaada choo halafu tunashangilia
 
Back
Top Bottom