Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

🔥 Medvedev (ex Russian president) - “Some regular idiot— who is a former minister from Latvia, sent a signal that NATO and the European Union are gonna take Kaliningrad from us. Looks like he drank or ate something bad. Proposes to start a third world war. He will come to his senses- he will be afraid of every rattle at the door. And rightly so. We have a good memory.”
 
KGB
-337199819.jpg
 
🔥 Medvedev (ex Russian president) - “Some regular idiot— who is a former minister from Latvia, sent a signal that NATO and the European Union are gonna take Kaliningrad from us. Looks like he drank or ate something bad. Proposes to start a third world war. He will come to his senses- he will be afraid of every rattle at the door. And rightly so. We have a good memory.”
Duh....
 
Urusi imesogeza vichinjio vyake vya nyuklia vya Iskandar maili 50 tu (kilomita 80; yaani hata Dar to Chalinze ni mbali zaidi ) toka mpaka wa Poland
Msisahau kuwa vichinjio vya Iskandar havidunguliki; ndio vile ukijifanya kuvitageti na air defense systems za Marekani/NATO, vichinjio hivyo vinakunyea makopokopo, unaishia kudungua makopokopo, kisha vichinjio vinakula vichwa vya majeshi yako!

View attachment 2274744
View attachment 2274743
Siku si nyingi watakaa chini wayajenge presha imekua kubwa mno
 
Marekani kununua mfumo wa ulinzi wa anga toka Norway na kuipatia Ukraine
Mwambieni Biden tunataka apeleke yale mavyuma yake chakavu ya THAAD au Patriot PAC-3 Ukraine tukashuhudie ule 'ubora' wa mavyuma hayo ambao tumekuwa tukiimbiwa humu kwa miaka nenda rudi.

Kwani Biden anakwama wapi?! Hadi ajipe taabu ya kununua mifumo ya nchi nyinginezo?! Badala ya kusevu hiyo pesa na kutuma mifumo yake ya kimarekani?
=====

View attachment 2274374
Na huu ni muda mzuri kupeleka hizo THAAD na PAC-3 kiev maana kumeanza kuwaka moto ndo tuzione

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Aisee! Kweli USA ni Super power na inaitesa sana Russia kwenye hii operation, Asingekuwa USA Ukraine isingeshinda haya mapigano hapa chini;

☆Aliipatia Ukraine Javelin ikakomboa mji wa kharson
☆Aliipatia Ukraine Switch blade drones ikakomboa mji wa mariupol na black sea yote.
☆Aliipatia Ukraine $40b ikakomboa jimbo la luhansiky

☆Mwezi uliopita aliipatia Ukraine makombora ya masafa marefu ikateketeza maghara ya silaha za warusi kwenye kambi za jeshi za Urusi.

☆Wiki iliyopita aliipatia Ukraine silaha zilizo saidia kukomboa mji wa Severodonetsk ambao kwasasa upo chini ya jeshi la Ukraine baada ya majeshi ya urusi kuamuriwa na putin ya withdraw vikosi vyake kwenye mji huo.

☆Jana USA kafanya kikao cha G7 kilichopelekea Moscow kumiminiwa mvua ya makombora na jeshi la Ukraine mpaka meya wa Moscow akakubali uwezo wa Ukraine kwa silaha nyingi zisizo isha.

Yani hii USA ni hatari sana naamini kabisa hii wiki wakishapeleka hizo, missiles and Air defense systems Jiji la Moscow na Petersburg litakiwa chini ya jeshi la Ukraine na vikosi vya Urusi vitageuzwa panya wa shimoni hapo Ukraine.

Note; Huu ni mfumo mpya wa kuwajibu Pro-NATO ili wasikimbie uzi na kuanzisha ID mpya maana wanayo yaandika hapa hata mtoto wa kidato cha pili mkondo F, hawezi umiza kichwa kujua huo ni ugoro.
#Slava Ukraine [emoji1255][emoji23][emoji23][emoji23].
Awape Na THAAD

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Uingereza yaripoti kuwa Ramzan Kadyrov amesema anamimina vikosi vinne zaidi vya Wachechen nchini Ukraine kila kimoja kina wanajeshi 950 (jumla yao itakuwa 3800)

Ramzan Kadyrov ambaye ana cheo cha lieutenant-general ktk jeshi la Russia, wamagharibi wakimwita shujaa na mbabe wa kivita, amesema kuna ongezeko kubwa mno la vijana wa Chechnya wana ari ya kwenda kuipigania nchi yao ya Russia kutokana na uzalendo wao. Anasema jukumu lake ni kuwapa mafunzo stahiki, na pia kuhakikisha wanapatiwa "vichinjio" vya kisasa vya kwenda navyo Ukraine

View attachment 2274834View attachment 2274836View attachment 2274837
Mkuu unaupiga mwingi mno humu kwenye huu Uzi. Big up sana[emoji106]
 
Ukraine wanapata loss kubwa sana hapo Snake island.

Hii ni mara nyingine Ukraine wanaenda kujaribu ila wanafeliView attachment 2274804View attachment 2274805
Russia said ....

In fact Ukraine haiwezi ota kuichukua Snake Island. Hakuna kamanda mjinga ataiteka Snake island ambayo haina lolote la maana kwenye ulinzi ukiwa nayo na ni njia ya kuharibu silaha na zana za Russia zikiwa hapo. Ndio maana mara zote Bayraktars na rockets kama HIMARS zinashambulia silaha za Urusi hapo. Snake island haina maana kuwa chini ya Ukraine kiulinzi, waichukue then what. Russia ndio wanaweza itumia kufanya amphibious landing kwa Ukraine lakini mara zote Raptor boats pale, landing crafts na silaha nyingine huwa zinapigwa na Ukraine. Snake island iko within range ya rockets na artillery. Kama walilipua Moskva iliyokuwa mbali washindwe pale karibu.

Nenda YouTube zipo video nyingi sana za nyakati tofauti Ukraine wakishambulia Snake island. Sasa walitaka kuitwaa kwa kutumia nini kama hawajaenda na troops
 
Back
Top Bottom