Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,434
Ni kweli kabisa mkuuKuna vita za aina nyingi [emoji41][emoji41][emoji41]
Nalog off Z
Ni kweli kabisa mkuuKuna vita za aina nyingi [emoji41][emoji41][emoji41]
Hawa wanahusiana na wale walioteka bomba la wese kule us???Ni kweli kabisa mkuu
Nalog off Z
Russia said ....
In fact Ukraine haiwezi ota kuichukua Snake Island. Hakuna kamanda mjinga ataiteka Snake island ambayo haina lolote la maana kwenye ulinzi ukiwa nayo na ni njia ya kuharibu silaha na zana za Russia zikiwa hapo. Ndio maana mara zote Bayraktars na rockets kama HIMARS zinashambulia silaha za Urusi hapo. Snake island haina maana kuwa chini ya Ukraine kiulinzi, waichukue then what. Russia ndio wanaweza itumia kufanya amphibious landing kwa Ukraine lakini mara zote Raptor boats pale, landing crafts na silaha nyingine huwa zinapigwa na Ukraine. Snake island iko within range ya rockets na artillery. Kama walilipua Moskva iliyokuwa mbali washindwe pale karibu.
Nenda YouTube zipo video nyingi sana za nyakati tofauti Ukraine wakishambulia Snake island. Sasa walitaka kuitwaa kwa kutumia nini kama hawajaenda na troops
Kijana wa Zelensky naona umeamua kuamuka na BBC[emoji23][emoji23][emoji23]Putin kadata... sasa anashambulia hata shopping center - vita gani hii ? atakipata anachokitafuta huyu BiNGWA.
![]()
Ukraine war: Russian strike on shopping centre a war crime - G7 leaders
Some 1,000 civilians were inside the building at the time of the strike, Ukraine's president said.www.bbc.com
Bravo!Umeongea in detail sana, nikupongeze kwa hilo, sidhan kama kuna sehemu ya kujaza nyama wala kupunguza mnofu kwa kile ulichokiandika ila naweza ongeza viungo tu kunogesha mchuzi.
Natamani sana kila taifa au jumuiya za kimataifa zingekuwa na sarafu yake inayotumika kama foreign exchange currency, mfano AU tuwe sarafu yetu, Ulaya wanakuwa na sarafu yao, Southern America wanakuwa na sarafu yao, North America wanakuwa na sarafu yao, Asia, Australia nao kila bara linakuwa na sarafu yake. Hiyo itasaidia kuondoa ufalme wa sarafu moja na kuondoa upuuzi wa kutumia pesa kama silaha ya uchumi.
Au kama nchi nyingi duniani zikiamuka kutoka kwenye ukoloni mamboleo na kuamua kujitegemea, yani kila nchi itumie pesa yake inapofanya exportation, mfano Tanzania tuanze kuuza tanzanite yetu kwa Tsh, kenya nao wanavyo export waviuze kwa Ksh. Inshort kila unapofanya importation ya bidhaa kutoka nchi flani basi uwe tayari kutumia sarafu ya hiyo nchi inayokuuzia kama Russia anavyo wafanyia EU. Hiyo itasaidia sana most of currencies kuwa katika high demand, stable and value.
Sema hilo linawezekana endapo tu nchi ikiwa na maamuzi magumu na viongozi wenye akili kama putin, maana nchi nyingi zimeshageuzwa watumwa na USA kwa kuweka reserves zake in USD. Binafsi natamani sana ukija kununua dhahabu ya Geita-Tanzania au Almasi ya Mwadui-Shinyanga basi uje na mzigo wa Tsh na siyo USD, pengine USD1 itakuwa sawa Tsh200.
Grand Master Yuko vizur sana,T Armata sijui kaweje, kauvaa U-pro west kizombi sana... Anaandika mashudu hayo so poa!
[emoji23][emoji23][emoji23] Grand Master hun haa alikuwa kaleta mapinduzi huo upande, ila nae ukute yupo anachungulia kwa ID yake ya Zaman...
Hizi njemba hazitaki kukubali kama zinafanya madudu!
Naaam[emoji4][emoji599][emoji599][emoji1151][emoji635] The largest attack in history:Russian KillNet paralyzed Lithuania[emoji599][emoji599][emoji599]
Earlier, the hacker group KillNet issued an ultimatum ,giving the Lithuanian authorities 48 hours to unblock the transport corridor to Kaliningrad.
Now there is a failure on more than 1000 sites.
[emoji777] "The paralyzed protected state network of Lithuania has not yet been restored. A bunch of useless Baltic specialists promised their Supervisor from the Cybersecurity Agency to restore everything by morning."
[emoji777]The Central State Archive of Lithuania and all adjacent online services went to Bandera.
[emoji777]The Supreme Administrative Court of Lithuania has fallen together with all the electronic services of the judicial system.
[emoji777] The websites of Lithuanian airports, together with the Internet resource of their directorate, continue to be in "isolation" and barely plow!
[emoji777] Minus the State Tax Inspectorate under the Ministry of Finance of Lithuania.
[emoji777]There is also Telia Lietuva, which provides telecommunications, information and television services.
[emoji777]BITĖ Lietuva is a mobile services company with more than 1.2 million
Nalog off Z
Kijana wa Zelensky naona umeamua kuamuka na BBC[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani amekataa taarifa au kasema umeamka na BBC![]()
More than a dozen killed in Russian attack on Ukraine mall
At least 16 killed in what Volodymyr Zelenskyy called 'one of the most daring terrorist attacks in European history'.www.aljazeera.com
Hii ni BBC kijana ?? soma acha uvivu.
Jamaa anashangaza sanaTofautisha Biashara na Msaada wewe, kueni na akili basi, mnajichetua hadi lini wajomba? Asingepiga kazi akapata fedha za kununua Smart anayotumia kumuezesha kuingilia JF, USAID ndio wangempa au? Wewe? Biashara unaita msaada? USAID ndio wamempa bundle sio? Dah kweli mahaba niue! Huu upopoma wako sio level za ubinadam. Ni usukule level 3581901.
Sasa ulitegemea nione wakat umeniziba macho!!!??Ukimfumba mtu macho ataendelea kuona au ukimziba mdomo atakula? Haijalishi umefungwa macho na vyuma, tutasema hujaona kisha tutoe sababu kwa nini hujaona ni kwa kuwa ulifungwa macho. Hatutasema umeona kwa kuwa ulilazimishwa kufunga macho. Fact hapo ni kuwa kilichotokea hujakiona.
Default ni nini kwa uelewa wako
Mnatia huruma eeh?Putin kadata... sasa anashambulia hata shopping center - vita gani hii ? atakipata anachokitafuta huyu BiNGWA.
![]()
Ukraine war: Russian strike on shopping centre a war crime - G7 leaders
Some 1,000 civilians were inside the building at the time of the strike, Ukraine's president said.www.bbc.com
Jamaa Yuko deep Sana Hadi Raha, ukimsoma unafurahia mwenyewe[emoji106][emoji4]Umeongea in detail sana, nikupongeze kwa hilo, sidhan kama kuna sehemu ya kujaza nyama wala kupunguza mnofu kwa kile ulichokiandika ila naweza ongeza viungo tu kunogesha mchuzi.
Natamani sana kila taifa au jumuiya za kimataifa zingekuwa na sarafu yake inayotumika kama foreign exchange currency, mfano AU tuwe na sarafu yetu, Ulaya wanakuwa na sarafu yao, Southern America wanakuwa na sarafu yao, North America wanakuwa na sarafu yao, Asia, Australia nao kila bara linakuwa na sarafu yake. Hiyo itasaidia kuondoa ufalme wa sarafu moja na kuondoa upuuzi wa kutumia pesa kama silaha ya uchumi.
Au kama nchi nyingi duniani zikiamuka kutoka kwenye ukoloni mamboleo na kuamua kujitegemea, yani kila nchi itumie pesa yake inapofanya exportation, mfano Tanzania tuanze kuuza tanzanite yetu kwa Tsh, kenya nao wanavyo export waviuze kwa Ksh. Inshort kila unapofanya importation ya bidhaa kutoka nchi flani basi uwe tayari kutumia sarafu ya hiyo nchi inayokuuzia kama Russia anavyo wafanyia EU. Hiyo itasaidia sana most of currencies kuwa katika high demand, stable and value.
Sema hilo linawezekana endapo tu nchi ikiwa na maamuzi magumu na viongozi wenye akili kama putin, maana nchi nyingi zimeshageuzwa watumwa na USA kwa kuweka reserves zake in USD. Binafsi natamani sana ukija kununua dhahabu ya Geita-Tanzania au Almasi ya Mwadui-Shinyanga basi uje na mzigo wa Tsh na siyo USD, pengine USD1 itakuwa sawa Tsh200.
usikariri kijana, watu tuna source nyingi za information kuhusu vita - acha tabia za kiPutin za kupiga hadi kwenye supermaket.Kwani amekataa taarifa au kasema umeamka na BBC
Mbona mnajishtukia sana wanetu [emoji38][emoji847]
Watu wengine sijui wakoje aise hawaoni kwamba hio misaada ni kama utumwa
Amekuwa kundi maalum linalo hitaji attention ya ziada kama watoto na wazee. Ukikawia unaweza kuta washa-shit kwenye pant zao! Ndugu kuna ID hapa kabla na sasa unaweza fikiri kuna watu wengine sio wale wapo nyuma ya hizo ID zao.Jamaa anashangaza sana
Yaani bando langu natafta kwa nguvu zangu analiita msaada
Pengne hata wali nnaonunua na kula atasema napewa msaada
Jamaa kawajw cjui aseee
Sent using Jamii Forums mobile app
Weuwe watu na source zenu, hatare! Enhe vipi jomba, alikataa taarifa au alikwambia umedamka na BBC... Langu hilo tu sijakuuliza habari za Putin.usikariri kijana, watu tuna source nyingi za information kuhusu vita - acha tabia za kiPutin za kupiga hadi kwenye supermaket.
Na hivyo vyoo mnavuoshangilia ndio matokeo yake mnaanza kuambiwa mlawitianeSi tushasema mabeberu hawatupendi na awana maana. Waambie Russia watufundishe au kataa hiyo misaada ya mabeberu
Huyu mshikaji sijui kawa jeTofautisha Biashara na Msaada wewe, kueni na akili basi, mnajichetua hadi lini wajomba? Asingepiga kazi akapata fedha za kununua Smart anayotumia kumuezesha kuingilia JF, USAID ndio wangempa au? Wewe? Biashara unaita msaada? USAID ndio wamempa bundle sio? Dah kweli mahaba niue! Huu upopoma wako sio level za ubinadam. Ni usukule level 3581901.