Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wewe jamaa mbona ghafla hivi umekuwa empty minded?

Kitaalam, Kitendo walichofanya Western kwenye SWIFT payment mechanism na freezing of Russians financial assets from the Fed Reserve and other international banks, kinapelekea kutokea kitu kinachoitwa "Force Majeure" na sio technical default on payment.

Tambua kwamba every country inakuwa na foreign reserve kwenye other countries like US or ECB. Kwa hiyo ukishafanya payment through SWIFT then Fed au ECB Wana allocate hiyo pesa kwenye respect account.

Sasa hao Fed au ECB Wana financial assets za Russia na hapo hapo hawataki kupoke SWIFT. Sasa unaitaje hiyo Kama default?

Embu uwage unajielimisha na usiwe na akili Kama za hao kina #Fuso.
Namuelewa aelewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boris wa Uingereza awatamani wanasayansi wa Russia kwa bongo zao zilivyo juu zaidi ktk tafiti mbalimbali za magunduzi ya mambo anua ikiwemo makombora, (hypersonic missiles, Iskandar-M missile, Sarmat missles) na missile defence tech. Awaomba wanasayansi hao wahamie UK wakawapige brush wanasayansi wa UK wenye uwezo mdogo kimagunduzi

=====

View attachment 2275143

Aisee hii ni kwelii nchi nzima wako vizuri (A+)

Ivi hatuwezi kuafford hata graduate wawili tuu (ma expart wanachukuliwa na kina Boris😂😂😂) waje kutupikia vijana wetu hata 50 watatusaidia sanaa kwa kuanzia.
 
Marekani yasema Zelensky anataka kufupisha vita ya Ukraine kutokana na kupoteza askari wengi huku Russia ikizidi kujinyakulia ardhi (mikoa/majiji/miji)

Mwaka huu watasema ukweli tuuu...

Screenshot_20220628-152507_Chrome.jpg
 
Inavyosemekana wapiganaji wa kigeni kutoka marekani na nchi nyengine wanauliwa na Nazist sasaivi kisha wanawachoma, mpaka sasa haijulikani sababu gani, huenda wameweka mkakati kuwa yyte anaekataa kupigana na kuonyesha kurudi kwao wanamuuwa


A crematorium was found in Azvostal where Azovites burned bodies of American and foreign mercenaries. Amongst the ashes, American sniper rifles were found. Fragments of American passports and other documents were also found. It is not understood why they burned them.

Nilishangaa ila nimeona pia manazi wana sababu zao wao ndio waliwapa vichwa(NATO) kua watatoa full support alafu shughuli imeanza wanatuma mercenaries na volunteers ambao muda wwte wanakimbia kuokoa nafsi zao.

Yaaani wasiwachome tuu izo silaha wanazorequest zikifika kwao wazitumie kudungulia nchi majirani(NATO) ili kiumane zaidi.
 
⚰️☠️A veteran of the Ukrainian special forces was Demilitarised near Severodonetsk

The liquidated military man served for about 30 years in the airborne troops and special forces of Ukraine

Now some new 60-year old maybe replace him,as Ukraine run low on manpower
 

Attachments

  • IMG_20220628_153757_597.jpg
    IMG_20220628_153757_597.jpg
    39.3 KB · Views: 15
Lavrov on Kremenchuk: "The hangar was bombed, where American and European weapons and ammunition arrived."

"As a result of the detonation of ammunition, an empty shopping center standing nearby caught fire."

Thus, the more the West supplies weapons to Ukraine, which is designed to prolong the conflict, the more tasks Russia will perform on the ground.

"These tasks will be fulfilled," the Russian Foreign Minister said.

So he commented on Western media reports about the US plans to supply Ukraine with medium- and long-range air defense systems.
 
Lavrov on Kremenchuk: "The hangar was bombed, where American and European weapons and ammunition arrived."

"As a result of the detonation of ammunition, an empty shopping center standing nearby caught fire."

Thus, the more the West supplies weapons to Ukraine, which is designed to prolong the conflict, the more tasks Russia will perform on the ground.

"These tasks will be fulfilled," the Russian Foreign Minister said.

So he commented on Western media reports about the US plans to supply Ukraine with medium- and long-range air defense systems.
Russia was declared an enemy of NATO a long time ago.

The wording of the upcoming Madrid summit will not change anything, Russian Foreign Minister Lavrov said.

The more the West supplies weapons to Ukraine, the more tasks Russia will perform "on the ground".

The increase in the NATO contingent on the eastern flank was planned for a long time, this is a continuation of the Alliance's illegal line for the development of the territories of the former USSR.

Russia does not care about Ukraine's invitation to the G20 summit, Zelensky still does not make a decision.

Russia is ready to expand BRICS, Argentina and Iran are worthy candidates.
 


After the arrival of a huge rocket, not a single glass bottle in the Kremenchug supermarket was damaged!
THEY ARE KILLING THEIR OWN PROPAGANDA‼️

WHERE ARE THE ROCKET SHRAPNELS⁉️

THIS DOESN'T LOOK LIKE A ROCKET ARRIVAL‼️
 
Mrusi anajiaminisha kwamba anaweza kumtwanga yoyote yule Duniani awe mwana NATO, awe US, UK ama independent - haya ni mawazo ya hovyo kabisa.

Na kuonyesha UGAIDI wake ulivyokomaa jana akarusha kitu juu ya Duka kubwa bila kujali nani yumo nani hayumo !! hii ni dharau kubwa kabisa kwa ulimwengu - Putin soon atapata anachokitafuta.

Over !!
 
-5321031766540140479_121.jpg
🇷🇺🇩🇪 The termination of Russian gas supplies will lead Germany's GDP to fall by 12.5%.

5.6 million people will lose their jobs — another possible outcome of the "fight against energy dependence".

This is reported by Bild with reference to a study by analysts of Prognos AG.

▪️Steel, food and glass producers will suffer losses in the amount of 49 billion euros.

The disruption of supply chains may even lead to losses of 144 billion euros.

"Germany will slide into a deep recession," one of the researchers sums up briefly.
 
Boris wa Uingereza awatamani wanasayansi wa Russia kwa bongo zao zilivyo juu zaidi ktk tafiti mbalimbali za magunduzi ya mambo anua ikiwemo makombora, (hypersonic missiles, Iskandar-M missile, Sarmat missles) na missile defence tech. Awaomba wanasayansi hao wahamie UK wakawapige brush wanasayansi wa UK wenye uwezo mdogo kimagunduzi

=====

View attachment 2275143
Sidhani kama kuna mwanasayansi ama mfanyabiashara wa Russia atatamani kuwekeza nguvu ama mali huko West/UK. Maana wanajua hao West/UK walichowafanyia wenzao, tukianza na Mmiliki w klabu ya mpira y Chelsea ya Uingereza.
 

G7 countries to provide $19.8bn in economic aid to Ukraine​

Russia’s invasion of Ukraine touched on almost every topic of meetings this week.

This is what Russia's don't like to hear at all - mgomvi wako anasaidiwa uchao wewe unatumia raslimali za kwako how long are you going to survive bila kuathiri uchumi wako ? huku vikwazo vikiwa mgongoni mwako unatembea navyo.


$19.8bn ni Tshs Trillion 45.7.

Ni Bajeti yetu yote ya 2022 - 2023 kama ulikuwa haujui na chenji inabakia.
 
Zelensky Hana akili nzuri anaweza kuripua hata wananchi wake mwenyewe akasingizia Russia ili tu apate huruma ya dunia anayo itafuta ambayo hajaipata Hadi sasa
Ukitafakari sana utagundua Zelensky na Magharibi wote hakuna mwenye HURUMA wala UCHUNGU na Ukraine. Wangekuwa na huruma hakika kusingelitokea Mauwaji na Uharibifu mkubwa kiasi hicho. Angalia hata wanapokuwa kwenye vikao vyao au kutembelea Ukraine unakuta kuna muda wanafanya interaction wakiwa na tabasamu usoni.

Tujiulize kipi bora. Nchi itangaze kuahirisha kujiunga NATO au ishupaze shingo na KULETA MAAFA kwa kigezo cha UHURU WA KUJIAMLIA.

ZELENSKY ROHO YAKE IPO ZAIDI KWENYE ASILI YAKE(ISRAELI) NDIO MAANA HANA UCHUNGU KIVIIIIIIIILE
 
⚡⚡⚡Roscosmos published satellite images and coordinates of Western "decision-making centers supporting Ukrainian nationalists."

The state corporation recalled that the NATO summit opens in Madrid today, at which Western countries will declare Russia their worst enemy.

"We give the coordinates of the objects. Just in case."
 
Back
Top Bottom