Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The French politician criticized Kyiv's new request for an increase in the supply of Western weapons.

“Zelensky on the G7 asks for new weapons! What for? For the Russians to take him away, like our CAESAR self-propelled guns? So that it falls into the hands of the Ukrainian mafia or neo-Nazis? Or will it later surface on Zelensky's Panamanian bank accounts?! Enough!" — wrote in social networks the leader of the movement "Patriots" Florian Filippo.

Earlier, the head of the French Ministry of Defense confirmed to local media the intention to send CAESAR self-propelled guns and a “significant number” of armored personnel carriers to Kyiv.

20220502_010825 (1) (1) (1) (1).png
 
⚡⚡⚡Roscosmos published satellite images and coordinates of Western "decision-making centers supporting Ukrainian nationalists."

The state corporation recalled that the NATO summit opens in Madrid today, at which Western countries will declare Russia their worst enemy.

"We give the coordinates of the objects. Just in case."
'Hili biti la ukweli'. H ah ah ahaaa! Hao nato waache kujitoa ufahamu waelewe wanachojaribu kutingisha.
 
Mrusi anajiaminisha kwamba anaweza kumtwanga yoyote Duniani yule awe mwana NATO, awe US ama independent - haya ni mawazo ya hovyo kabisa.

Na kuonyesha UGAIDI wake ulivyokomaa jana akarusha kitu juu ya Duka kubwa bila kujali nani yumo nani hayumo !! hii ni dharau kubwa kabisa kwa ulimwengu - Putin soon atapata anachokitafuta.

Over !!
Unateseka ukiwa wapi jomba!
 
lengo la Putin ni kufikiri anaweza kurudisha nguvu ya United Socialist Soviet Republic - USSR ya kale, asahau milele.
Lengo lake ni kuvitwanga vi nchi vyote vililivyokuwa kwenye USSR na kuvipatia uhuru wa Bandia ili avitawale, sasa kwa UKRAINE kakwama vita itamshosha tu maana haiishi leo, na as level of panic kaanza kutungua hadi majengo ambapo kuna mikusanyiko ya watu - vita gani ya kitoto hivyo.


Dunia ilivyoumbwa ni kwa ajili ya wenye nguvu.(survival of the fittest) sio kurudisha USSR tuu ni hivii hata hao NATO wasipokaza wanakua chini yake.

😂😂😂😂Huku kwetu inakuja barua tuu bana kuanzia leo kodi inaenda sehemu fulani,mtatumia lugha hii,utamaduni huu na kiongozi wenu ni huyo, alafu tunaitikia sawa na ahsante MKUU.
 
avitawale, sasa kwa UKRAINE kakwama vita itamshosha tu maana haiishi leo, na as level of panic kaanza kutungua hadi majengo ambapo kuna mikusanyiko ya watu - vita gani ya kitoto hivyo.
Yawezekana hii post hapa chini imeiruka kwa makusudi!
====
1656423576382.png
 
NATO Secretary-General Jens Stoltenberg has said that the Western military alliance will increase the size of its rapid reaction forces nearly eightfold to 300,000 troops as part of its response to an “era of strategic competition”.

The NATO reaction force currently numbers around 40,000 soldiers, who can deploy quickly when needed.
 

Attachments

  • 1656423284755.png
    1656423284755.png
    137.4 KB · Views: 19
ndiyo maana tunawaambia atalegea tu. hana nguvu za kijeshi kama mnavyotuaminisha kupambana na wamagharibi, its a matter of time tutayajua yote. Kama kweli unajua vita na mkomavu huwezi rusha bomu juu ya shopping mall... ni war panic.
Nilikuwa nasoma comments kwenye rt, warusi original wenyewe wanahoji kwanini imekuwa hivyo, ila hawa warus wa bongo sasa.

Mwingine humu anakuambia et Zelensky ndio kalipua watu wake, humu wajinga ni wengi[emoji16]
 
Dunia ilivyoumbwa ni kwa ajili ya wenye nguvu.(survival of the fittest) sio kurudisha USSR tuu ni hivii hata hao NATO wasipokaza wanakua chini yake.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huku kwetu inakuja barua tuu bana kuanzia leo kodi inaenda sehemu fulani,mtatumia lugha hii,utamaduni huu na kiongozi wenu ni huyo, alafu tunaitikia sawa na ahsante MKUU.
Hutokuja kuona hicho kitu anytime soon, pia hata wewe hauko tayali kuona hicho kitu mkuu
 
Dunia ilivyoumbwa ni kwa ajili ya wenye nguvu.(survival of the fittest) sio kurudisha USSR tuu ni hivii hata hao NATO wasipokaza wanakua chini yake.

😂😂😂😂Huku kwetu inakuja barua tuu bana kuanzia leo kodi inaenda sehemu fulani,mtatumia lugha hii,utamaduni huu na kiongozi wenu ni huyo, alafu tunaitikia sawa na ahsante MKUU.
Umeongea kimasihara lakini ndio ukweli.
 
Hutokuja kuona hicho kitu anytime soon, pia hata wewe hauko tayali kuona hicho kitu mkuu
Ndio hali yenyewe utake usitake mwenye nguvu mpishe.

Kama hautaki jipange sio kwa kutegemea fulani ni wewe kama wewe mfano ndio huo USSR ilisambaratishwa hawakukaa chini kulia,miujiza au kusubiri msaada wamejipanga wanarudisha heshima yao.

Ndio tujiulize wakina sie tumefanya nini kujiondoa kua tegemezi kwao.

Wametushikia chini toka wamepajua hapa.
 
Back
Top Bottom