Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Upopoma unao wewe. Kumbe basi tuseme EU na Marekani wanataka biashara na Venezuela na Iran. Yanini kusema ni wapumbavu wakati wanaenda kufanya exchange, yanini kuwaita wapumbavu endapo watakataa kufanya exchange na kujihusisha na anayefanya nao.

Kama biashara sio msaada kinachowaliza SWIFT kufungwa ni nini? Si sio msaada ule
Ni WAPUMBVU Kwa sababu walipowafungia Venezuela na Iran walitumia vigezo gani na sasa hivi wanatumia vigezo gan kuwafungulia!
Kweli ukipenda chongo utasema ni makengeza!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kwa sisi hatuwezi hata kidogo..

Kaa chini ukipata muda and chambua kila angle tunayotegemea afu uone ni Jambo ambalo linawezekana hivi karibuni!
Jibu ni hapana

Na kutegemea warus hilo nalo haliwezekani, nyie wenyewe hapo kila siku kwenda west kujiendeleza kiuchumi, elimu n.k.

Swali!
Unafikiri ni kwanini Kuna number kubwa ya wahamiaji wengi kutoka Africa kwenda us na sio Russia!


Hapa mkipatwa na majanga, macho yote magharibi [emoji3],
afu humu mnavimba kwamba mnataka muwe tegemezi kwa urusi, kwanza russia ana uchumi wa kumtegemea?

Hii sumu ya utegemezi nani kawanywesha vijana wa kitanzania? Kupenda mserereko bila kujiuliza hao mbona wanatupa jasho lao wanapata nini cha thamani kutoka kwetu.

Mi siko vizuri kwa maandishi mengi ila ukisoma umetulia kwenye kidgo ninachoandika unapata msg kubwa iliyojificha.

Russia akifanikiwa kurudisha USSR hatoishia hapo hiyo ni nature ya binadamu tunapenda kuwa superior kuliko wengine.

Ndio maana unaona nchi za kibeberu zinajiunga ili kuweza kumdhibiti Russia (mjamaa)

Maana wanajua kasumba za binadamu akiwa stable atameza majirani zake wote akimaliza ataamia kwenye bara jingine lenye mmbabe,akimmaliza sisi kwenye ulimwengu wa tatu kwa nguvu zake upepo wake tuu(nikasema barua) tunasalimu amri.

Kupitia hii OP Russia kashajitawaza kuwa na yeye ni mmbabe wa dunia maana hapo kabla alikua Us kama kiranja mkuu na wasaidizi wake EU.

Hivyo basii upepo umebadilika na ushahidi ni Boris kukiri kua Russia is superior na akataka wataalamu wake wafunzwe na warusi.

Center ya komand ya dunia inagawanyika watu watamiminika Russia kupata utaalamu,utalii,burudani na vitu vingine.

Nionyeshe ni wap RUSSIA kategemea msaada kujiinua?

Survival of the fittest.
 

G7 countries to provide $19.8bn in economic aid to Ukraine​

Russia’s invasion of Ukraine touched on almost every topic of meetings this week.

This is what Russia's don't like to hear at all - mgomvi wako anasaidiwa uchao wewe unatumia raslimali za kwako how long are you going to survive bila kuathiri uchumi wako ? huku vikwazo vikiwa mgongoni mwako unatembea navyo.


$19.8bn ni Tshs Trillion 45.7.

Ni Bajeti yetu yote ya 2022 - 2033 kama ulikuwa haujui na chenji inabakia.
Bahati mbaya wanasaidia nchi ambayo within 24 months kunauwezekano mkubwa isiwepo
 
The G7 countries do not intend to apply sanctions against the import of agricultural products from Russia.

This is stated in the statement of the G7 summit, which is chaired by Germany.

“We will continue to ensure that our sanctions packages are not directed against food and provide for the free flow of agricultural products, including from Russia, and the delivery of humanitarian aid,” the statement said.

View attachment 2275543
G7 wamechanganyikiwa[emoji4]
 
Imeshachukuliwa?? Usifurahi mapema... Ramani ninayoona inaonyesha theluthi 2. Kweli mafanikio kwa Taifa Teule baada ya miezi ya vita na kupoteza makumi elfu?? Amka, kaka!

View attachment 2275430
Ukraine wamepoteza wangapi?!?! Nyie Ndugu zetu mnaichukulia Russia kimzahamzaha....hivi hujui kuwa Ukraine imekuwa depleted kwenye jeshi lake?! More than 70,000 soldiers and militias wa Ukraine wamekufa na maelfu kwa maelfu wenngine wamekuwa majeruhi na wasio na uwezo wa kupigana....wenngine zaidi ya 15,000 wamekuwa mateka au prisoners of war....
Ukraine imegeuka kuwa punching bag...
Historia itakuja ainisha na kuhukumu Kama Zelensky ni shujaa kweli au ni msaliti aliyesababisha vifo vya Askari na raia wa Ukraine kwa maelfu...

Vijana, watoto na hata wazee wa Ukraine wanaendelea kufa Kila siku lakini yeye Zelensky anazidi kunenepeana tu wakati wa vita...yeye Kila siku ni kupiga selfie na kubwabwaja hiki na kile...ego inamtesa....hopeless guy...
Kwa mtizamo wangu vita hivi vinaweza kumalizika abruptly kwa Zelensky kusurrender au 'kupotezwa' na wenzake..
Russia ilijiandaa vilivyo kwenye vita hivi...
 
Lavrov on Kremenchuk: "The hangar was bombed, where American and European weapons and ammunition arrived."

"As a result of the detonation of ammunition, an empty shopping center standing nearby caught fire."

Thus, the more the West supplies weapons to Ukraine, which is designed to prolong the conflict, the more tasks Russia will perform on the ground.

"These tasks will be fulfilled," the Russian Foreign Minister said.

So he commented on Western media reports about the US plans to supply Ukraine with medium- and long-range air defense systems.
These tasks will be fulfilled," the Russian Foreign Minister said.(UKRO NATO wanatakiwa wazingatie hili)
Tupo pamoja na TAIFA TEULE LA RUSSIA
JamiiForums235736117.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mrusi anajiaminisha kwamba anaweza kumtwanga yoyote Duniani yule awe mwana NATO, awe US ama independent - haya ni mawazo ya hovyo kabisa.

Na kuonyesha UGAIDI wake ulivyokomaa jana akarusha kitu juu ya Duka kubwa bila kujali nani yumo nani hayumo !! hii ni dharau kubwa kabisa kwa ulimwengu - Putin soon atapata anachokitafuta.

Over !!
Tushawazoea
No Action Takl Only
IMG_20220623_113715_113.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 2275491[emoji635][emoji629] The termination of Russian gas supplies will lead Germany's GDP to fall by 12.5%.

5.6 million people will lose their jobs — another possible outcome of the "fight against energy dependence".

This is reported by Bild with reference to a study by analysts of Prognos AG.

[emoji3502]Steel, food and glass producers will suffer losses in the amount of 49 billion euros.

The disruption of supply chains may even lead to losses of 144 billion euros.

"Germany will slide into a deep recession," one of the researchers sums up briefly.
Habari njema sana hiii
Ndio maana hawa kenge wanahangaika sana mara CARACAS mara TEHRAN
RUSSIA anaendelea vyema sana na OP yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tushawazoea
No Action Takl OnlyView attachment 2275595

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hajadanganya basi Hii statement ya Biden imemaliza expectation zangu.

"We will not fight a war against Russia in Ukraine" Kinyume cha hii statement ni " We are not against Russia" Au " We are against Russia but we can not stop Russia".Ni mm tu kuchagua sentensi ipi chungu inafaa kumeza kirahisi.
Matarajio niliyobakiza ni kuwa Biden kadanganya au ni war technique otherwise ntakiri kuwa nimesapoti upande ulioshindwa. Ngoja nijifariji na hopes kuwa, ni mbinu za vita na hajamaanisha.
 
The G7 countries do not intend to apply sanctions against the import of agricultural products from Russia.

This is stated in the statement of the G7 summit, which is chaired by Germany.

“We will continue to ensure that our sanctions packages are not directed against food and provide for the free flow of agricultural products, including from Russia, and the delivery of humanitarian aid,” the statement said.

View attachment 2275543
Waweke na kwenye chakula kama wanaume kweli

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Kama hajadanganya basi Hii statement ya Biden imemaliza expectation zangu.

"We will not fight a war against Russia in Ukraine" Kinyume cha hii statement ni " We are not against Russia" Au " We are against Russia but we can not stop Russia".Ni mm tu kuchagua sentensi ipi chungu inafaa kumeza kirahisi.
Matarajio niliyobakiza ni kuwa Biden kadanganya au ni war technique otherwise ntakiri kuwa nimesapoti upande ulioshindwa. Ngoja nijifariji na hopes kuwa, ni mbinu za vita na hajamaanisha.

Imeisha hiyoo.
 
Hakuna Cha war panic hapo...hizi ni propaganda za west....vita havina macho...kiutalaamu hiyo ni 'collateral damage'....Wakati USA na NATO wakipiga makombora huko Serbia na, Iraq baadhi yalitua kwenye shule, ubalozi , hospitali na majengo au makazi ya raia na kuua maelfu ya raia....Wao walikuwa wanasema hiyo ni collateral damage na siyo makusudi.....Na huko Ukraine ni hivyo kwa baadhi na sehemu nyingine Russia inaangamiza wapuuzi wanaojificha kwenye majengo ya raia..
Collateral damage...nimeipenda mkuu huu msemo west wamekuwa wakitumia sana hasa inapitokea drones zao zimelipua mashule hospitali n.k na kuuwa raia wasio na hatia kuna kipindi waliuwa watu kibao kwenye harusi kama sijakisea itakuwa yemen. Hapa pro nato wasijifanye vichwa vinapoteza kumbukumbu haraka

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Mrusi anajiaminisha kwamba anaweza kumtwanga yoyote Duniani yule awe mwana NATO, awe US ama independent - haya ni mawazo ya hovyo kabisa.

Na kuonyesha UGAIDI wake ulivyokomaa jana akarusha kitu juu ya Duka kubwa bila kujali nani yumo nani hayumo !! hii ni dharau kubwa kabisa kwa ulimwengu - Putin soon atapata anachokitafuta.

Over !!
Ahahahaha
Wadundwe hao NATO...
 
Kama hajadanganya basi Hii statement ya Biden imemaliza expectation zangu.

"We will not fight a war against Russia in Ukraine" Kinyume cha hii statement ni " We are not against Russia" Au " We are against Russia but we can not stop Russia".Ni mm tu kuchagua sentensi ipi chungu inafaa kumeza kirahisi.
Matarajio niliyobakiza ni kuwa Biden kadanganya au ni war technique otherwise ntakiri kuwa nimesapoti upande ulioshindwa. Ngoja nijifariji na hopes kuwa, ni mbinu za vita na hajamaanisha.
Hhh huo ndio ukweli mchungu MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom