Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

lengo la Putin ni kufikiri anaweza kurudisha nguvu ya United Socialist Soviet Republic - USSR ya kale, asahau milele.
Lengo lake ni kuvitwanga vi nchi vyote vililivyokuwa kwenye USSR na kuvipatia uhuru wa Bandia ili avitawale, sasa kwa UKRAINE kakwama vita itamshosha tu maana haiishi leo, na as level of panic kaanza kutungua hadi majengo ambapo kuna mikusanyiko ya watu - vita gani ya kitoto hivyo.
Union of Soviet Socialist Republic
 
Kwa sisi hatuwezi hata kidogo..

Kaa chini ukipata muda and chambua kila angle tunayotegemea afu uone ni Jambo ambalo linawezekana hivi karibuni!
Jibu ni hapana

Na kutegemea warus hilo nalo haliwezekani, nyie wenyewe hapo kila siku kwenda west kujiendeleza kiuchumi, elimu n.k.

Swali!
Unafikiri ni kwanini Kuna number kubwa ya wahamiaji wengi kutoka Africa kwenda us na sio Russia!

Hapa mkipatwa na majanga, macho yote magharibi [emoji3],
afu humu mnavimba kwamba mnataka muwe tegemezi kwa urusi, kwanza russia ana uchumi wa kumtegemea?
Asante Kwa uono mzuri
 
lengo la Putin ni kufikiri anaweza kurudisha nguvu ya United Socialist Soviet Republic - USSR ya kale, asahau milele.
Lengo lake ni kuvitwanga vi nchi vyote vililivyokuwa kwenye USSR na kuvipatia uhuru wa Bandia ili avitawale, sasa kwa UKRAINE kakwama vita itamshosha tu maana haiishi leo, na as level of panic kaanza kutungua hadi majengo ambapo kuna mikusanyiko ya watu - vita gani ya kitoto hivyo.
wewe mwenyewe umisha sema ni Vita sasa kama ni Vita kama unavyosema unataka aanze kuchagua pa kupiga ili iweje??
 
Ukraine wamepoteza wangapi?!?! Nyie Ndugu zetu mnaichukulia Russia kimzahamzaha....hivi hujui kuwa Ukraine imekuwa depleted kwenye jeshi lake?! More than 70,000 soldiers and militias wa Ukraine wamekufa na maelfu kwa maelfu wenngine wamekuwa majeruhi na wasio na uwezo wa kupigana....wenngine zaidi ya 15,000 wamekuwa mateka au prisoners of war....
Ukraine imegeuka kuwa punching bag...
Historia itakuja ainisha na kuhukumu Kama Zelensky ni shujaa kweli au ni msaliti aliyesababisha vifo vya Askari na raia wa Ukraine kwa maelfu...

Vijana, watoto na hata wazee wa Ukraine wanaendelea kufa Kila siku lakini yeye Zelensky anazidi kunenepeana tu wakati wa vita...yeye Kila siku ni kupiga selfie na kubwabwaja hiki na kile...ego inamtesa....hopeless guy...
Kwa mtizamo wangu vita hivi vinaweza kumalizika abruptly kwa Zelensky kusurrender au 'kupotezwa' na wenzake..
Russia ilijiandaa vilivyo kwenye vita hivi...
Unajitahidi ila mantiki inashindwa na imani yako katka propaganba. Hapo juu wenzako wameleta takwimu za Urusi, kama ni kweli Ukraine haina askari wenye uzoefu tena ni wazee na watoto pekee. Sawasawa! Ila kama Taifa Teule inapigania wazee na watoto pekee, mbona haiwezi kusogea mbele? Badala yake inapaswa kusagasaga kila kijiji na kila mji hadi vumbi kwa mizinga yake (ambayo ni mara 100 kuliko ile ya watoto na wazee wa ukraine)???

Propaganda yako inakufanya kuamini Zelenski anaweza kutuma au kurudisha askari wake atakavyo. Si vile. Hapa kuna taifa linalopigania uhuru wake. Taifa ambalo halitaki kurudishwa chini ya ukoloni.
Sasa wewe Mtanzania gani anayesiama upande wa ukoloni? Kwa sababu ni ukoloni wa Taifa Teule Urusi? BAsi mababu yangebaki chini ya Uingereza, maana hata Uingereza ilikuwa na imani hiyo ya Taifa Teule?
Mkoloni mkubwa aliyebaki hadi leo duniani ni Urusi. Maeneo yake asilimia 86 hivi yalitwaliwa kama makoloni katika kipindi kilekile ambako Wazungu wengine walipanusha utawala wao duniani.
1656430370149.png
(lile eneo la kijani-nyeusi ni Urusi penyewe, yote mengine maeneo ya makoloni yao, sehemu kubwa wanashika hadi leo)
 
Ukraine wamepoteza wangapi?!?! Nyie Ndugu zetu mnaichukulia Russia kimzahamzaha....hivi hujui kuwa Ukraine imekuwa depleted kwenye jeshi lake?! More than 70,000 soldiers and militias wa Ukraine wamekufa na maelfu kwa maelfu wenngine wamekuwa majeruhi na wasio na uwezo wa kupigana....wenngine zaidi ya 15,000 wamekuwa mateka au prisoners of war....
Ukraine imegeuka kuwa punching bag...
Historia itakuja ainisha na kuhukumu Kama Zelensky ni shujaa kweli au ni msaliti aliyesababisha vifo vya Askari na raia wa Ukraine kwa maelfu...

Vijana, watoto na hata wazee wa Ukraine wanaendelea kufa Kila siku lakini yeye Zelensky anazidi kunenepeana tu wakati wa vita...yeye Kila siku ni kupiga selfie na kubwabwaja hiki na kile...ego inamtesa....hopeless guy...
Kwa mtizamo wangu vita hivi vinaweza kumalizika abruptly kwa Zelensky kusurrender au 'kupotezwa' na wenzake..
Russia ilijiandaa vilivyo kwenye vita hivi...
US hataki vita iishe kwakuwa raslimali nyingi ipo DONBASS sasa hayo madeni ya silaha yatalipwaje ndio maana wanapambania sana snake Island ili wapate nguvu DONBASS . Russia anaweza kuanza mashambulizi Kule kaskazini alikoteka awali akaachia Summy Chemihiv
 
Kama hajadanganya basi Hii statement ya Biden imemaliza expectation zangu.

"We will not fight a war against Russia in Ukraine" Kinyume cha hii statement ni " We are not against Russia" Au " We are against Russia but we can not stop Russia".Ni mm tu kuchagua sentensi ipi chungu inafaa kumeza kirahisi.
Matarajio niliyobakiza ni kuwa Biden kadanganya au ni war technique otherwise ntakiri kuwa nimesapoti upande ulioshindwa. Ngoja nijifariji na hopes kuwa, ni mbinu za vita na hajamaanisha.

Of course hiyo swing ya maneno haipo sawa...

Mfano hizo statement 2 ulizozing'amua
1. Kwamba "We are not against Russia"
Kama ni kweli kwanini wanaishambulia kiasi hicho nje ndani ili kuiangusha.

2. Kwamba "We are agaisnt Russia but we can not stop Russia"
Yah kama ni kweli hii haina kwanini cuz action zinazungumza kuliko maneno.
 
Unajua boss si rahisi kwa nchi kama USA kutoka na kusema we lost against Russia. Watafanya politics. Ni suala la wasikilizaji kufanya analysis. Mm hiyo sentensi nimeichukulia kama kukiri kuwa imeshindikana sababu ya same reason uliyotoa kuwa USA walikuwa wakishambulia pia. Otherwise iwe ni hadaa tu za kivita jambo ambalo nalichukulia kama hope tu.
 
Swadakta kwamba "Si rahisi nchi kama USA kutoka na kusema we lost against Russia"...

Hicho ndio kilichopo mkuu later itasemwa tu kua "Ooh tunashauri Russia na Ukraine wakae mezani wayamalize" ila sio wao kutamka hadharani kushindwa.
 
Swadakta kwamba "Si rahisi nchi kama USA kutoka na kusema we lost against Russia"...

Hicho ndio kilichopo mkuu later itasemwa tu kua "Ooh tunashauri Russia na Ukraine wake mezani wayamalize" ila sio wao kutamka hadharani kushindwa.
Ndio. Hio ndio sentensi ambayo naisubiri itoke niwatukane kiluga. Hope waniprove wrong.
 
Back
Top Bottom