Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Aawapi, watoto walipojaa nikaondoka. Nina account mbili na zote zinajulikanaKwa sababu ulikuwepo ukitia I'd feki
Aawapi, watoto walipojaa nikaondoka. Nina account mbili na zote zinajulikanaKwa sababu ulikuwepo ukitia I'd feki
Huyo hajawahi kuwa neutral, labda ulikuwa hujamsoma vemaKabisa yaani inashangaza jamaa kutoka kua nyutro mpaka kua upande ule wamagharibi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila Russia Muhuni sana
USA hayo madeni sio muhimu kwake. Hata russia bado anadaiwa na USA kwa kupewa silahaUS hataki vita iishe kwakuwa raslimali nyingi ipo DONBASS sasa hayo madeni ya silaha yatalipwaje ndio maana wanapambania sana snake Island ili wapate nguvu DONBASS . Russia anaweza kuanza mashambulizi Kule kaskazini alikoteka awali akaachia Summy Chemihiv
Mkuu samahani lakini ushauri huu wakae na wazungumze nimeshasikia mara kadhaa kutoka viongozi wa nchi mbalimbali pamoja na nchi za NATO. Ila naona udhaifu pande zote mbili kutekeleua ushauri huo. Inasikitisha kweli.Swadakta kwamba "Si rahisi nchi kama USA kutoka na kusema we lost against Russia"...
Hicho ndio kilichopo mkuu later itasemwa tu kua "Ooh tunashauri Russia na Ukraine wakae mezani wayamalize" ila sio wao kutamka hadharani kushindwa.
Mrusi anajiaminisha kwamba anaweza kumtwanga yoyote Duniani yule awe mwana NATO, awe US ama independent - haya ni mawazo ya hovyo kabisa.
Na kuonyesha UGAIDI wake ulivyokomaa jana akarusha kitu juu ya Duka kubwa bila kujali nani yumo nani hayumo !! hii ni dharau kubwa kabisa kwa ulimwengu - Putin soon atapata anachokitafuta.
Over !!
Mkuu samahani, ukileta hapa habari hii, unaona maana gani ndani yake? Data za mahali pa White House au nyumba ya chansella huko Berlin zimeshapatikana tangu miaka mingi hadi majiranukta zake, mfano Oval Office iko 38.89754268078931, -77.03654053107735 , na ofisi ya chansella Berlin iko coordinates 52.52012360996515, 13.369398844196745. Mtu yeyote anaipata kwa kutumia Goggle Maps.
G7 countries to provide $19.8bn in economic aid to Ukraine
Russia’s invasion of Ukraine touched on almost every topic of meetings this week.
This is what Russia's don't like to hear at all - mgomvi wako anasaidiwa uchao wewe unatumia raslimali za kwako how long are you going to survive bila kuathiri uchumi wako ? huku vikwazo vikiwa mgongoni mwako unatembea navyo.
$19.8bn ni Tshs Trillion 45.7.
Ni Bajeti yetu yote ya 2022 - 2033 kama ulikuwa haujui na chenji inabakia.
lengo la Putin ni kufikiri anaweza kurudisha nguvu ya United Socialist Soviet Republic - USSR ya kale, asahau milele.
Lengo lake ni kuvitwanga vi nchi vyote vililivyokuwa kwenye USSR na kuvipatia uhuru wa Bandia ili avitawale, sasa kwa UKRAINE kakwama vita itamshosha tu maana haiishi leo, na as level of panic kaanza kutungua hadi majengo ambapo kuna mikusanyiko ya watu - vita gani ya kitoto hivyo.
Hiyo soon haijawahi kufika toka mwezi machi mnasema soon ila hamna kitu NATO watafanyaMrusi anajiaminisha kwamba anaweza kumtwanga yoyote Duniani yule awe mwana NATO, awe US ama independent - haya ni mawazo ya hovyo kabisa.
Na kuonyesha UGAIDI wake ulivyokomaa jana akarusha kitu juu ya Duka kubwa bila kujali nani yumo nani hayumo !! hii ni dharau kubwa kabisa kwa ulimwengu - Putin soon atapata anachokitafuta.
Over !!
Kwa sisi hatuwezi hata kidogo..
Kaa chini ukipata muda and chambua kila angle tunayotegemea afu uone ni Jambo ambalo linawezekana hivi karibuni!
Jibu ni hapana
Na kutegemea warus hilo nalo haliwezekani, nyie wenyewe hapo kila siku kwenda west kujiendeleza kiuchumi, elimu n.k.
Swali!
Unafikiri ni kwanini Kuna number kubwa ya wahamiaji wengi kutoka Africa kwenda us na sio Russia!
Hapa mkipatwa na majanga, macho yote magharibi [emoji3],
afu humu mnavimba kwamba mnataka muwe tegemezi kwa urusi, kwanza russia ana uchumi wa kumtegemea?
Huyo hajawahi kuwa neutral, labda ulikuwa hujamsoma vema
Hii sumu ya utegemezi nani kawanywesha vijana wa kitanzania? Kupenda mserereko bila kujiuliza hao mbona wanatupa jasho lao wanapata nini cha thamani kutoka kwetu.
Mi siko vizuri kwa maandishi mengi ila ukisoma umetulia kwenye kidgo ninachoandika unapata msg kubwa iliyojificha.
Russia akifanikiwa kurudisha USSR hatoishia hapo hiyo ni nature ya binadamu tunapenda kuwa superior kuliko wengine.
Ndio maana unaona nchi za kibeberu zinajiunga ili kuweza kumdhibiti Russia (mjamaa)
Maana wanajua kasumba za binadamu akiwa stable atameza majirani zake wote akimaliza ataamia kwenye bara jingine lenye mmbabe,akimmaliza sisi kwenye ulimwengu wa tatu kwa nguvu zake upepo wake tuu(nikasema barua) tunasalimu amri.
Kupitia hii OP Russia kashajitawaza kuwa na yeye ni mmbabe wa dunia maana hapo kabla alikua Us kama kiranja mkuu na wasaidizi wake EU.
Hivyo basii upepo umebadilika na ushahidi ni Boris kukiri kua Russia is superior na akataka wataalamu wake wafunzwe na warusi.
Center ya komand ya dunia inagawanyika watu watamiminika Russia kupata utaalamu,utalii,burudani na vitu vingine.
Nionyeshe ni wap RUSSIA kategemea msaada kujiinua?
Survival of the fittest.
Unasema kweli NATO wamechelewa kufanya mambo mengi ila yale machache waliyofanya yamesaidia kumkwamisha Putin tayari. Au unaonaje?Hiyo soon haijawahi kufika toka mwezi machi mnasema soon ila hamna kitu NATO watafanya
USA hayo madeni sio muhimu kwake. Hata russia bado anadaiwa na USA kwa kupewa silaha manake Hitler nusra awatomb.e moscow.
USA hayo madeni sio muhimu kwake. Hata russia bado anadaiwa na USA kwa kupewa silaha manake Hitler nusra awatomb.e moscow.
Vijana wa Tanzania wa kizazi hiki wanapenda mserereko sana ndomana katika vijana 10 vijana watatu ukiwachunguza utajua uzima haupo. Nimegundua tunajadiliana na vijana ambao bado hawajua bado maisha wengi ni wanachuo au anakaa home bhs.
Mkuu samahani, ukileta hapa habari hii, unaona maana gani ndani yake? Data za mahali pa White House au nyumba ya chansella huko Berlin zimeshapatikana tangu miaka mingi hadi majiranukta zake, mfano Oval Office iko 38.89754268078931, -77.03654053107735 , na ofisi ya chansella Berlin iko coordinates 52.52012360996515, 13.369398844196745. Mtu yeyote anaipata kwa kutumia Goggle Maps.
Sijui unaonaje ROSKOSMOS wanataka kuonyesha nini? Kwamba wanajua kutumia Google Maps?
Wanataka kweli kusifiwa kwa elimu ambayo katika nchi nyingi inafundishwa kwenye shule ya msingi?
Tafadhali nisaidie!