T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Wewe unayejua umekataa? Tanzanite bridge hupiti kisa ni la msaada?Umri huu bado unataka kufundishwa namna ya kukataa misaada??...endelea kusubiri ndugu....
Wewe unayejua umekataa? Tanzanite bridge hupiti kisa ni la msaada?Umri huu bado unataka kufundishwa namna ya kukataa misaada??...endelea kusubiri ndugu....
Ukilawitiwa wewe inatosha. Yanini kutafuta kuungwa mkonoNa hivyo vyoo mnavuoshangilia ndio matokeo yake mnaanza kuambiwa mlawitiane
Pamoja na kwamba nimekuziba macho. Umeona au hujaona. Kama hujaona unataka tuseme nini? Kwamba umeona?Sasa ulitegemea nione wakat umeniziba macho!!!??
Nieleweshe MKUU kuhusu hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Venezuela ndio wataamua wauze mafuta au wasiuze wabaki nayo. Unashupaza shingo hapa na utashangaa wanakugeuka wanayauza. Russia huyu huyu aliiuzia Marekani eneo la Alaska, leo mbona wanatishanaUlivyokazana kutetea huo uozo sasa he he he, Hivi waliompa vikwazo Venezuela na Iran ni wakina nani na kwasababu zipi? Hivi leo ukipita duka la Mhehe kule Iringa ukamtukana weee, ukamfungia kibanda chake ukijidai utapata vingine zaidi sehem nyingine, huko kwingine umeeda umevikosa. Unarudi kwake kumuomba akuuzie ulivyovitukana mwanzo... hilo kwako ni Ujanja sio Upuuzi eh?
SWIFT ni biashara sio misaada. Sasa unalazimisha biashara we ni kichaa. Biashara si ni makubalianoDuh, na SWIFT nayo ni msaada? Unatumia nini kufikiria ndugu? Unajua kweli maana ya Msaada? Msaada ni nini?
Hizi akaunti zimefufuka katika wafu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣..... Baada ya zile mupya mupya kupigwa Nyundo ...... karibuni tena ...msikimbie tu ..ingawa mbio nayo ni silaha .....Russia na wafuasi wake wote maskini.
Mimi sitaki msaada wewe ndio msaada unauona ndio jambo la kutolea mfano Kwa huyo mume wenu USAUkilawitiwa wewe inatosha. Yanini kutafuta kuungwa mkono
Video ya kwanza Bayraktar ikishambulia Mi-8 transport helicopter. Video ya pili ikishambulia Raptor boat zote ni palepale Snake island. Hizo air defence zenu zilikuwa zimelalaUjui lolote lile kuhusu snake island
Misaada unaitumia hata kama utaki. Barabara zikijengwa hupiti mbugani kukwepa misaadaMimi sitaki msaada wewe ndio msaada unauona ndio jambo la kutolea mfano Kwa huyo mume wenu USA
"Kanzu mpya Sheikh ni yuleyuleeee"...... Wanabadili ID tu mawazo yaleyaleWw n yuleyule sema we mjanja wa kununua nguo mpya.
Huyuu jamaa ni takataka! Hana analojua ubongo wako uko na funza kibao..africa kwel wajinga ni wengi sana.Misaada unaitumia hata kama utaki. Barabara zikijengwa hupiti mbugani kukwepa misaada
Wewe unayejua umekataa? Tanzanite bridge hupiti kisa ni la msaada?
Jamaa ni washamba sana. Bibi yangu kijijini kuna nyumba walibomoa ijengwe mpya eneo la pembeni, nimetumia coordinates kujua mazingira yakoje kwa sasa na nyumba hiyo iko upande gani.Mkuu samahani, ukileta hapa habari hii, unaona maana gani ndani yake? Data za mahali pa White House au nyumba ya chansella huko Berlin zimeshapatikana tangu miaka mingi hadi majiranukta zake, mfano Oval Office iko 38.89754268078931, -77.03654053107735 , na ofisi ya chansella Berlin iko coordinates 52.52012360996515, 13.369398844196745. Mtu yeyote anaipata kwa kutumia Goggle Maps.
Sijui unaonaje ROSKOSMOS wanataka kuonyesha nini? Kwamba wanajua kutumia Google Maps?
Wanataka kweli kusifiwa kwa elimu ambayo katika nchi nyingi inafundishwa kwenye shule ya msingi?
Tafadhali nisaidie!
Video ya kwanza Bayraktar ikishambulia Mi-8 transport helicopter. Video ya pili ikishambulia Raptor boat zote ni palepale Snake island. Hizo air defence zenu zilikuwa zimelala
Kama hujui geolocation omba usaidiwe
🤣🤣🤣🤣🤣. ...... Karibu tena.Kama hajadanganya basi Hii statement ya Biden imemaliza expectation zangu.
"We will not fight a war against Russia in Ukraine" Kinyume cha hii statement ni " We are not against Russia" Au " We are against Russia but we can not stop Russia".Ni mm tu kuchagua sentensi ipi chungu inafaa kumeza kirahisi.
Matarajio niliyobakiza ni kuwa Biden kadanganya au ni war technique otherwise ntakiri kuwa nimesapoti upande ulioshindwa. Ngoja nijifariji na hopes kuwa, ni mbinu za vita na hajamaanisha.
Video ya kwanza Bayraktar ikishambulia Mi-8 transport helicopter. Video ya pili ikishambulia Raptor boat zote ni palepale Snake island. Hizo air defence zenu zilikuwa zimelala
Kama hujui geolocation omba usaidiwe