Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Incidentally, Russia – we – are constantly being taught about democracy. But for some reason those who teach us do not want to learn themselves.)nimepapenda sana hapa kaka Qibsyl 😁😁😁 kweli putin ni kichwa.(nafikir huyu jamaa atakumbukwa sana sio nawarusi tu bali na dunia kwa ujumla,nafikiri siku akiondoka duniani lazma warusi wataukausha mwili wake kama walivyofanya kwa Vladimir Lenin.
Ndio Kaka, Kayasema hayo 2007, miaka 15 imepita sasa. Baada ya Speech mwaka uliofata wanajua yaliyotokea hadi leo hii hawana hamu nae, Putin Pasua kichwa.
 
Putin alikuwa anataka nini ili asiivamie Ukraine?
Ukraine ni nchi ya kidemokrasia kwa mujibu wao, hivyo ni wazi wanamaamuzi na jinsi gani serikali yao yatakiwa kuendeshwa, kupuuza onyo la Russia na kujiingiza kwenye vita nae wakijua wazi hatari yake inaonyesha jinsi walivyo wazembe na walivyo na mapuuza.

Hivyo wanastaili vyote vinavyowapata ikiwa pamoja na vifo kwa kuwa waliweza kuikataza serikali yao kuipuuza Russia na hawakufanya hayo, wamechagua vita acha wafe.
 
Thibitisha ilitaka kujiunga NATO.
Nchi haikuvamiwa kumegwa ila imevamiwa kisa imeleta dharau kwa kutaka jiunga NATO, waliua sana raia wenye asili ya Urusi mashariki ila wakanyamaziwa sasa dharau zikaja, wakataka kujiunga na "no action talking only"
 
Kwa nini Finland haijavamiwa?
Nchi haikuvamiwa kumegwa ila imevamiwa kisa imeleta dharau kwa kutaka jiunga NATO, waliua sana raia wenye asili ya Urusi mashariki ila wakanyamaziwa sasa dharau zikaja, wakataka kujiunga na "no action talking only"
 
Kama Msemaji Mkuu wa jeshi la US inabidi akasakue zaidi.

Msaada ni kile kinachotoka bila return yoyote... Yani unakitoa bila ku'expect chochote kwa yule uliyempatia. Kinyume cha hapo ni biashara!

Leo hii Bwana-U nakupa Sim yangu hii kesho nikitegemea nitachukua Laptop yako, Je huo ni msaada? (Mfano wa vidonge vyao pendwa vya ARV na dhahabu zetu).

Au leo hii, Napangisha vyumba kule mtaa wa mvokobuzaga, bila malipo wajua huezi kulala pale. Ukilipia ulale utauita huo ni msaada? (Mfano wa hizo financial system alizokomaa nazo)

Au kule mzee kanyeashogo anamiliki Epson, na karatasi zake... Anakwambia karatasi zake zina thamani zaidi kuliko rasilimali kama dhahab n.k tulivyopewa buuure kabisa na muumba wetu kwenye ardhi yetu.

Ajabu hakai na hizo karatas anazodai zina thamani sana, anatupa sisi tukae nazo... Ye anachukua mali za asili anazirundika kwake... Hiyo nayo ni msaada?

Life is too short kuji-stress lakini kuna watu wanayafanya yawe meaningless zaidi ya yalivyo.
Umeeleza vizuri sana ila cha kisikitisha bado utakuta kuna watu wanaendelea kukaza mafuvu na kuendelea kuamini kuwa US[emoji631] wanatoa msaada. Waafrika tunapenda sana vya bure mpaka inafikia hatua tunapoteza hadi utu wetu, tunasahau kuwa vya bure hakuna. Mtu hafikiri kuwa us ni taifa linaloongoza kukopa dunia kwa taarifa aliyokuwa anaisema trump ni kuwa kwa sasa us ana deni kubwa kuliko gdp yake na uwezekano wa kilipa ni ngumu mno, ila huyu [emoji631] anajifanya anatoa sana misaada huku afrika, na bahati mbaya afrika hatujiulizi us anapata faida gani kwa hizo hela anazoleta huku..kesho mnaanza kusikia madini yanatoshwa kwenda njee au mnapolazimika kusaini mikataba ya hovyo ila kuyapa makapuni yao faida zaidi

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Kwa wale ambao vichwa vilikuwa vimejaa makamasi na walikuwa wanadhani nchi za Magharibi ndio kila kitu,naamini swala la vita kati ya Ukraine na Urusi limewazibua akili na kukata mzizi wa fitina.
Ni wazi kwamba morons na stooges wa NWO, it be a government,an NGO or an individual, sasa hawana la kusema.Ujinga na uovu wa serikali za nchi za magharibi umekuwa exposed.Hawana jema kwako na kwangu.Nia yao always ni kutumaliza.

Uovu,utapeli,wizi,unafiki na kila aina ya uovu mwingine wa nchi hizo,sasa uko wazi.Simply put it,the West has been stripped naked and have nowhere to hide.

Naomba kwa kumalizia niseme hili wazi,any government in the World,which in any way or form collaborates with Western Governments is just as evil.Utashirikianaje na serikali ovu wewe usiwe muovu,there is simply no way.


Angalia clip ifuatayo [emoji116]uone ukweli huu.

Mkuu hawa western ni axis of evil, kwa wanayotufanyia hawa jamaa adolf hitler ni malaika ukilinganisha na hawa western

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Umeeleza vizuri sana ila cha kisikitisha bado utakuta kuna watu wanaendelea kukaza mafuvu na kuendelea kuamini kuwa US[emoji631] wanatoa msaada. Waafrika tunapenda sana vya bure mpaka inafikia hatua tunapoteza hadi utu wetu, tunasahau kuwa vya bure hakuna. Mtu hafikiri kuwa us ni taifa linaloongoza kukopa dunia kwa taarifa aliyokuwa anaisema trump ni kuwa kwa sasa us ana deni kubwa kuliko gdp yake na uwezekano wa kilipa ni ngumu mno, ila huyu [emoji631] anajifanya anatoa sana misaada huku afrika, na bahati mbaya afrika hatujiulizi us anapata faida gani kwa hizo hela anazoleta huku..kesho mnaanza kusikia madini yanatoshwa kwenda njee au mnapolazimika kusaini mikataba ya hovyo ila kuyapa makapuni yao faida zaidi

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
Hapa umewalenga viongozi wa serikali aka mawaziri wanatupelekaga kusiko, Nyerere hakuoendankabida mambo haya. Na walau alijenga urafiki na nchi za kijamaa
 
Wadau kama kuna wataalam wa hii mambo nisaidieni jibu nje ya mada... Kuna Pro-NATO kanipiga swali hapa. Maswali kauliza mengi ila haya kwanza nisaidieni nipate pa kuanzia tu
1. Homo erectus ni nini?
2. Homo sapiens ni nini?
3. Tofauti kati ya 1 na 2 hapo juu ni nini?
4. "Species" ni nini?
5. Kuna tofauti gani kati ya "Species" na "Genus".
6. Katika binadam tuliopo leo, kuna jamii ya Homo erectus?
7. Katika 'binadam' wa leo tupo species ngapi?

Kwa anaye faham hayo anaweza kunisaidia haya majibu hapa au PM. Nitashukuru.

CC. Bwana Utam Mtoto wa nzi King faisal lee van cliff kisiju pwani Galip Vrl Champagnee Jesus Mlokozi MR MAJANGA Mr Tyang 1954 babu na mjukuu manning PD_Magumba Sos21 na wengineo
 
Umeeleza vizuri sana ila cha kisikitisha bado utakuta kuna watu wanaendelea kukaza mafuvu na kuendelea kuamini kuwa US[emoji631] wanatoa msaada. Waafrika tunapenda sana vya bure mpaka inafikia hatua tunapoteza hadi utu wetu, tunasahau kuwa vya bure hakuna. Mtu hafikiri kuwa us ni taifa linaloongoza kukopa dunia kwa taarifa aliyokuwa anaisema trump ni kuwa kwa sasa us ana deni kubwa kuliko gdp yake na uwezekano wa kilipa ni ngumu mno, ila huyu [emoji631] anajifanya anatoa sana misaada huku afrika, na bahati mbaya afrika hatujiulizi us anapata faida gani kwa hizo hela anazoleta huku..kesho mnaanza kusikia madini yanatoshwa kwenda njee au mnapolazimika kusaini mikataba ya hovyo ila kuyapa makapuni yao faida zaidi

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
True Jomba, lipo over 20trillion dollar. Hizi hazilipiki basi tu ndio vile venye lenyewe Taifa kubwa hakuna wa kulikosoa.

Hio mambo ya kukopa then unakopesha inatia kigugumizi, si wao tu naona mataifa mengi duniani makubwa yanafanya hivyo. I think it has something to do with sovereignty!

Kukopa kunasaidia hapa na pale ila kuna hasara zake pia, Me naona wengi wana mtindo wa ku-credit mataifa mengine kuweka ukaribu nayo na wengine wanautumia huo mwanya ku'impose matakwa yao.

China mfano, the Biggest creditor in the world... Anakopesha mataifa mengine kufanya nayo biashara.

US nae among the Biggest creditors duniani anakopesha mataifa mengine huku akiyahimiza LGBTQA+ ipewe kipaumbele.

Ukiniuliza tofauti hiyo ndio nayoiona mie.
 
Nimecheki hivi vichinjio vya Urusi vinavyotema moto (heavy 🔥🔥🔥🔥🔥 thrower) huko Ukraine, nimeishia kuwahurumia wanajeshi wa Ukraine na kujiuliza hivi mRusi aliwaza nini hadi akatengeneza vichinjio vya kuogfya namna hii 🙉🙉🙉🙉

Nikakumbuka "ukitaka amani, jiandae vema kwa vita".

 
Back
Top Bottom