Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

G7 countries to provide $19.8bn in economic aid to Ukraine​

Russia’s invasion of Ukraine touched on almost every topic of meetings this week.

This is what Russia's don't like to hear at all - mgomvi wako anasaidiwa uchao wewe unatumia raslimali za kwako how long are you going to survive bila kuathiri uchumi wako ? huku vikwazo vikiwa mgongoni mwako unatembea navyo.


$19.8bn ni Tshs Trillion 45.7.

Ni Bajeti yetu yote ya 2022 - 2033 kama ulikuwa haujui na chenji inabakia.
hapo ni baada ya triiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii triiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii triiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii triiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kutoka kwenye canon.
 
Mkuu Galip vrl,shukrani sana kwa kunitoa tongotongo kupitia hili bandiko lako, niseme tu umeniongezea elimu kubwa sana hapa. Wew mkuu na kaka angu Qibsyl ni kati ya watu ambao nikisoma nondo zenu huwa napata maarifa makubwa yenye uhalisia wa kweli ndani yake kulingana na mambo yanavyokwenda duniani, nipende tu kukuomba uzidi kushusha mambo kama aya mkuu.
[emoji2956][emoji2956][emoji2956]

Pa1 mkuu ha ha naona umeamua kumuita bwana mdogo vile anavyopenda. Yote kwa yote shukran kwa kuutambua mchango wetu, Tuendelee kujifunza sote.
 
Kama Msemaji Mkuu wa jeshi la US inabidi akasakue zaidi.

Msaada ni kile kinachotoka bila return yoyote... Yani unakitoa bila ku'expect chochote kwa yule uliyempatia. Kinyume cha hapo ni biashara!

Leo hii Bwana-U nakupa Sim yangu hii kesho nikitegemea nitachukua Laptop yako, Je huo ni msaada? (Mfano wa vidonge vyao pendwa vya ARV na dhahabu zetu).

Au leo hii, Napangisha vyumba kule mtaa wa mvokobuzaga, bila malipo wajua huezi kulala pale. Ukilipia ulale utauita huo ni msaada? (Mfano wa hizo financial system alizokomaa nazo)

Au kule mzee kanyeashogo anamiliki Epson, na karatasi zake... Anakwambia karatasi zake zina thamani zaidi kuliko rasilimali kama dhahab n.k tulivyopewa buuure kabisa na muumba wetu kwenye ardhi yetu.

Ajabu hakai na hizo karatas anazodai zina thamani sana, anatupa sisi tukae nazo... Ye anachukua mali za asili anazirundika kwake... Hiyo nayo ni msaada?

Life is too short kuji-stress lakini kuna watu wanayafanya yawe meaningless zaidi ya yalivyo.
Naona mkuu umepiga panapouma hasa hapo kwenye ARV na dhahabu.👍
 
Putin 🌀 It is world in which there is one master, one sovereign. And at the end of the day this is pernicious not only for all those within this system, but also for the sovereign itself because it destroys itself from within.

And this certainly has nothing in common with democracy. Because, as you know, democracy is the power of the majority in light of the interests and opinions of the minority.

Incidentally, Russia – we – are constantly being taught about democracy. But for some reason those who teach us do not want to learn themselves.
Incidentally, Russia – we – are constantly being taught about democracy. But for some reason those who teach us do not want to learn themselves.)nimepapenda sana hapa kaka Qibsyl 😁😁😁 kweli putin ni kichwa.(nafikir huyu jamaa atakumbukwa sana sio nawarusi tu bali na dunia kwa ujumla,nafikiri siku akiondoka duniani lazma warusi wataukausha mwili wake kama walivyofanya kwa Vladimir Lenin.
 
Jamaa ni washamba sana. Bibi yangu kijijini kuna nyumba walibomoa ijengwe mpya eneo la pembeni, nimetumia coordinates kujua mazingira yakoje kwa sasa na nyumba hiyo iko upande gani.
Sasa hawa wanaleta mapya gani.
Mkuu hiyo ni mocking (utani) wakimaanisha mda wowote wanaweza kuvurumusha iskander au kalibr missile kwenye hizo coordinates. Russia ana satelite yake hayo mambo ya wewe kuangalia nyumba ya bibi yako kwenye Google map wao walifanya kabla hujazaliwa.
 
Putin [emoji302] "Therefore. It is well known that international security comprises much more than issues relating to military and political stability.

It involves the stability of the global economy, overcoming poverty, economic security and developing a dialogue between civilisations.

This universal, indivisible character of security is expressed as the basic principle that “security for one is security for all”.

As Franklin D. Roosevelt said during the first few days that the Second World War was breaking out: “When peace has been broken anywhere, the peace of all countries everywhere is in danger.”
mkuu kuna wengine atujapanda mabasi ya njano tu tafsirie[emoji16][emoji16]
 
Mkuu hiyo ni mocking (utani) wakimaanisha mda wowote wanaweza kuvurumusha iskander au kalibr missile kwenye hizo coordinates. Russia ana satelite yake hayo mambo ya wewe kuangalia nyumba ya bibi yako kwenye Google map wao walifanya kabla hujazaliwa.

Machuma chumaa nilimuaminiaga kwenye uchambuzi wa silaha kumbe akili kisoda.

Ndio field yake anaichambua mm mwenyewe sijui chochote kuhusiana na jeshi ila niligundua ni fumbo aiiseee aiseeee 😃😃😃😃 Russia hawatanii
 
Mimi ngaboru kwa akili zangu timamu sijashurutishwa na mtu.

Nataka kufuta kauli comments ni nyingi atakaeiona anikoti niifute.

Nilimpa nyota mbwiga mmoja kumbe ni buree.

Nimemmbatiza machuma chumaa mnaofatilia uzi kwa karibu mnamjua sitaki kumtaja.

😃😃😃😃ndio kauli zinafutwa kueka mambo sawa.
 
Dozens of foreign fighters killed in Donbass strike – Russia.

Moscow says the troops were stationed inside a zinc factory.Russian aircraft have struck a zinc factory in Donbass, killing dozens of Polish fighters, the Russian Defense Ministry said on Saturday.

“Up to 80 Polish mercenaries” were killed, and 20 armored vehicles and eight Grad multiple rocket launchers were destroyed in the town of Konstantinovka, Defense Ministry spokesman, Lieutenant General Igor Konashenkov, said during his daily briefing.

He added that artillery pieces, personnel and drones had been targeted in other areas. Konashenkov said a Tochka-U ballistic missile has been intercepted mid-air near the town of Molodyozhnoye in southern Ukraine.

Numerous fighters from EU member states and countries such as the US and Canada have been fighting for Ukraine.
 
FUSO kama FUSO

Mbona zelenks anasema kabla ya msimu wa baridi kuanza anatarajia kuisha kwa OP.

Upande wa pili Russia katumia 18% ya nguvu zake na kasema yuko tayari kupambana na NATO wote.

Nani tajiri hapo [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] kupambana ni HELA sasa kwa kuwaaibisha zaidi kasema njooni nyote maana UFALME wa duniani ni wangu.

Na kuthibitisha kwamba yeye ni mafia hakuna chawa hata mmoja aliyeriact.

Uuurrraaa.
Hahahaaaaa NATO wanambavu za kumdindia mwanaume RUSSIA.
 
Back
Top Bottom