Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hata nyoka akijificha kichakani huwa tunakiwasha kichaka bila kujali kuna jongoo,sisimizi ama panzi wanaweza kuwa wanaishi mle😂😂😂!!!

Vita sio kombolela kwamba hadi utafutwe ulipojificha kazi ni moja tu. Ku locate silaha zilipo hata mkizificha kwenye kanisa.
Vita sio kombolela kwamba hadi utafutwe ulipojificha kazi ni moja tu. Ku locate silaha zilipo hata mkizificha kwenye kanisa

nimecheka sana hapo niliponold😁😁😁😁😁
 
Kwani hayo maswali yanahusiana vipi na hii mada yetu!?

Anatupotezea muda,ye kama hajasoma form I shauri yake.

Hapa maswali yajikite kumu husu PUTIN wetu URUSI na viongozi wake na haka KA-OP kanakoendelea.

Mbona kigugumizi mkuu aliyeleta hapa ndio anataka kupotezea watu muda.

Amalizane na Pro nato hukohuko inaonekana yeye Pro Russia ndio kimbelembele kulileta hapa.

Bahati nzuri JF wanafomat zao kwamba ya chumbani huishia chumbani(PM).

Kidunia pia kuna msemo.

What happens in ROME stays in ROME.

NB.
Sijamtetea Pro Nato kwa sababu formality ya maswali ni invalid ila yanajibika.

Nadhani rival wake anabusara kutokulileata hapa maana anajua kuna jukwaa la elimu Mexemelo sijui nimepatia jina alijua kugawa majukwaa ili kuondoa muingiliano wa mijadala.

Timu mashudu hoyeee umepuuza ila bado unateseka 😂😂😂😂au nitumie kamusi kutafsiri kupuuza.
 
Mkuu unaonaje hili la Ukraine liingizwe kwenye mitaala ya skuli watoto wetu wajifunze ukombozi wa fikra [emoji23] with "vivid" references live kutoka Donbass ha ha ha.[/QUOTE]

Wakiingiza hii operation ya Ukraine kwenye mtaala wa shule na kuonesha jinsi Urusi moja ilivyoweza kupambamana kijeshi na kiuchumi dhidi ya mabara mawil (ulaya na N.America), baada ya miaka kadhaa mbele tutajikuta tumetengeneza taifa lenye watu wa mawazo chanya ya kimapinduzi dhidi ya ufedhuli wa hawa super powers.

Hivo basi naunga mkono hoja, na itakuwa bora zaidi kuliko kuendelea kuwafunga akili wanafunzi kwa historia za biashara ya utumwa, vipigo vya wakoloni na maji maji war, ambazo huwa zinafanya wanafunzi wawaone wazungu kama ni watu hatari sana "Untouchable" and "Unbeaten"

URUSI KAJA KUIONESHA DUNIA UJINGA NA UNYONGE HALISI WA WATU WA ULAYA KUMBE NI WACHUMBA KABISA.
 
Kwani amekataa taarifa au kasema umeamka na BBC

Mbona mnajishtukia sana wanetu [emoji38][emoji847]
[emoji23][emoji23] yani Pro-NATO hawajiamini kabisa mkuu, hata ukimusalimia tu anaweza zani unampiga spana.

Wamekuwa kama mtu aliewahi kung'atwa na nyoka kwenye majani, kila akiguswa na jani anaruka mita mia akifikiri ni nyoka inataka kupita nae tena[emoji23]

Pro-NATO FUSO relax kuna wakati tunasalimiana tu na siyo kupigana spana.
 
Mkuu unaonaje hili la Ukraine liingizwe kwenye mitaala ya skuli watoto wetu wajifunze ukombozi wa fikra
emoji23.png
with "vivid" references live kutoka Donbass ha ha ha.

Wakiingiza hii operation ya Ukraine kwenye mtaala wa shule na kuonesha jinsi Urusi moja ilivyoweza kupambamana kijeshi na kiuchumi dhidi ya mabara mawil (ulaya na N.America), baada ya miaka kadhaa mbele tutajikuta tumetengeneza taifa lenye watu wa mawazo chanya ya kimapinduzi dhidi ya ufedhuli wa hawa super powers.

Hivo basi naunga mkono hoja, na itakuwa bora zaidi kuliko kuendelea kuwafunga akili wanafunzi kwa historia za biashara ya utumwa, vipigo vya wakoloni na maji maji war, ambazo huwa zinafanya wanafunzi wawaone wazungu kama ni watu hatari sana "Untouchable" and "Unbeaten"

URUSI KAJA KUIONESHA DUNIA UJINGA NA UNYONGE HALISI WA WATU WA ULAYA KUMBE NI WACHUMBA KABISA.
[/QUOTE]

Kingine mzungu wa kwanza kuona mt. Kilimanjaro na lake victoria.
😂😂😂Au binadamu tuliwai kuwa nyani.
Elimu nyingine ni irrelevant kwa mazingira yetu.
Timu hayawani hadi leo tunao(sokwe,tumbili,nyani etc)

Kuhusu history napingana na wewe inatakiwa wapatikane wakuwajaza sumu nzuri katika kuelezea manyanyaso tunayoyatia hadi sasa ili wajifunze jinsi ya kujinasua.
 
usikariri kijana, watu tuna source nyingi za information kuhusu vita - acha tabia za kiPutin za kupiga hadi kwenye supermaket.
Mkuu acha kukaza fuvu kwa vitu vinavyoonekana kwa macho,
Wewe uliwahi kwenda mlimani city au Rock city mall ukakuta Vifaru vimepaki na wanajeshi wakiwa sehemu za juu na chini?

Kwa taarifa yako, Iskanda zitapiga sehemu yeyote ambayo kuna rangi ya bakabaka na hakuna kitu mtafanya.
JamiiForums577019489.jpg
 
😆😆😆😆

White House officials are losing confidence that Ukraine will ever be able to take back the land it has lost to Russia.

From CNN:

Advisers to President Joe Biden have begun debating internally how and whether Ukrainian President Volodymyr Zelensky should shift his definition of a Ukrainian "victory" — adjusting for the possibility that his country has shrunk irreversibly.

The growing pessimism comes as Biden is meeting with US allies in Europe, where he will try to convey strength and optimism about the trajectory of the war as he rallies leaders to stay committed to arming and supporting Ukraine amid the brutal fight.

The mood has shifted over the last several weeks, though, as Ukraine has struggled to repel Russia's advances in the Donbas and has suffered staggering troop losses, reaching as many as 100 soldiers per day. Ukrainian forces are also burning through their equipment and ammunition faster than the West can provide and train them on new, NATO-standard weapons systems.

A US military official and a source familiar with Western intelligence agreed it was unlikely that Ukraine would be able to mass the force necessary to reclaim all of the territory lost to Russia during the fighting

Internally, there is a sense among some in the Biden administration that Zelensky will need to start moderating expectations for what Ukrainian forces can realistically achieve.
 
Nimecheki hivi vichinjio vya Urusi vinavyotema moto (heavy 🔥🔥🔥🔥🔥 thrower) huko Ukraine, nimeishia kuwahurumia wanajeshi wa Ukraine na kujiuliza hivi mRusi aliwaza nini hadi akatengeneza vichinjio vya kuogfya namna hii 🙉🙉🙉🙉

Nikakumbuka "ukitaka amani, jiandae vema kwa vita".

Kwa silaha hizi zinazo rusha missile Kama mvua Huyu mrusi siyo mtu mzuri kupigana nae Vita ni kujaribu kukutana na shetani live ni vile tu Zelensky anatumia raia kama ngao yake na Putin hataki kuua Raia ndo maana anatuma missile moja moja Kama dozi ya ARV ila huyu zelensky angeruhusu Raia waondoke wakawe wakimbizi wa kivita nchi nyingine alafu Ukraine ibaki ni battle ground Putin angewachakaza vibaya sana hadi muda huu udongo wote wa Ukraine ungegeuka juu chini
 
Ukraine waendelee kuficha magari na silaha za kivita kwenye super markets, misikitini na kwenye makazi ya kiraia alafu zikija kulipuliwa wanalialia kutaka huruma ya jamii.View attachment 2276153
Zelensky kweli ni comedian kapewa msaada wa silaha kuzitumia ila ye kaenda kuzificha kanisan anafikiri ndio njia sahihi ya kuziokoa zisiripuliwe sasa aendelee tu kuzificha kama nguo ya skukuu zitaingia kwenye mikono ya wa Russia zikiwa bado mpya maana naamini hawezi kupata muda wa kuzitumia warusi wameshaziona akizitoa tu hapo kwenda kutafuta target sekunde hiyo hiyo atatumiwa salam za iskanders
 
On the Eve of NATO Summit, Russian Space Agency has Published Coordinates of key "Decision-Making centers" of the West.​

On the eve of the NATO meeting in Madrid, at which Russia is expected to be declared the most dangerous threat in the world, the Russian Space Agency made an interesting post to their web site: The GPS Coordinates of certain "decision-making centers" around the world.
While at the upcoming summit of the alliance, representatives of 30 participating countries and their sympathizers will declare Russia the number one evil, Roskosmos published entertaining satellite images - those same "decision centers" -- or rather, their coordinates -- just in case . . .

⠀⠀
🇺🇸
38.897542, -77.036505
⠀⠀
🇺🇸
38.870960, -77.055935
⠀⠀
🇬🇧
51.503049, -0.127727
⠀⠀
🇫🇷
48.870433, 2.316842
⠀⠀
🇩🇪
52.519903, 13.368921
⠀⠀
🇧🇪
50.879986, 4.425771

The coordinates are for:
  • The White House in Washington, DC
  • The Pentagon
  • #10 Downing Street in London, England
  • Le Palais d' Le Elysee in Paris, France
  • The German Chancellery (Bundeskanzleramt) in Berlin, Germany
  • NATO Headquarters in Brussels, Belgium
Now, most reasonable people would view this as a terse reminder that Russia can reach out and touch anyone they want; especially folks who are being intentionally "unfriendly" or even hostile.
Of course, the political weaklings of the West will likely start whining that this is some sort of threat, while in actual fact, it is merely a statement of reality.
Before the west goes and declares Russia to be the most evil one, perhaps they should look in the mirror at their own actions: Financing, inciting and fomenting the overthrow of the Ukraine government in 2014. Installing a puppet regime in Ukraine. Moving to bring Ukraine into NATO for the purpose of placing US missiles (aimed at Russia) on to Ukraine soil with a flight time of only about 5 minutes to Moscow. Telling Ukraine to "ignore" Russia's pre-special military operation ultimatum, and now, supplying deadly weapons to Ukraine, to be used to kill Russians.
It is the West that has done all these things. It is the West who is the aggressor.
Russia is reminding the West that Russia isn't some backwards, third-world country like Iraq they're playing around with. Russia isn't playing.
picha.JPG
 
Nimeipenda hii
 
Back
Top Bottom