Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Uingrereza yaripoti Urusi imeombwa na wananchi ibadili physical address ya Ubalozi wa Uingereza jijini Moscow na kuitwa "Sarmat Square" ktk kuikumbumbusha kila wakati Uingereza kuwa inakabiliwa na hatari kubwa ya kufutwa ulimwenguni (ndani ya dakika 3) na jikombora kuubwa la nyuklia liitwalo Sarmat 2

SmartSelect_20220630-123255_Chrome.jpg
 
Uingrereza yaripoti Urusi imeombwa na wananchi ibadili physical address ya Ubalozi wa Uingereza jijini Moscow na kuitwa "Sarmat Square" ktk kuikumbumbusha kila wakati Uingereza kuwa inakabiliwa na hatari kubwa ya kufutwa ulimwenguni (ndani ya dakika 3) na jikombora kuubwa la nyuklia liitwalo Sarmat 2

View attachment 2277529

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yule balozi wa US alisusa mnakumbuka ndugu zangu.
 
In physics we say that, Russian federation is inversely proportional to the westerns and Americans sanctions at the constant temperature and atmospheric pressure.

The more you impose sanctions on Russia [emoji635] the more the success of Russian federation with less deformations.

This is how physics theories are being applied in real life by[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Kuna kipindi hapo nyuma putin aliwahi kuongea kuwa kadiri west wanavozidi kuziwekea nchi nyingi vikwazo ndio zinazidi kuziimalisha hizo nchi maana nchi inalijifunza na kupats mbinu mpya ya kupambana na hivyo vikwazo..chuma kilipigwa sana nyundo ndio hizidi kuwa imara

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Kama EU haimiliki UEFA mbona Russia amefukuzwa nao na hakuna kitu ameweza fanya.
Rejea sababu zilizotolewa na UEFA. Kisha utuonyeshe ni wapi UEFA walinukuliwa wakisema tumeagizwa na EU tuiondoe Russia kwenye michuano.!!!
====
Further to its 28 February 2022 decision to suspend all Russian representative teams and clubs from participating in UEFA competition matches until further notice, the UEFA Executive Committee today took a series of decisions relating to the implications of that decision for its upcoming competitions, in order to ensure their smooth staging in a safe and secure environment for all those concerned.
====
Kwa maelezo zaidi jisomee hapa chini.

 
Kwahio ushirikiane na shetani kwa sababu ni mtemi mwenzio?[emoji23]
Get to your damn senses bro! Hao NATO wanataka ushirika na wewe ili wajinufaishe wao by the end. Dunia ilikofikia you have to fight for everything. Ukitaka kuwa mnyonge watakufanya kibaraka wao
Wakiwasikiliza sana hawa west kila wanachosema wajiandae pia na kuolewa

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Alafu utasikia wajinga akina FUSO na mwenzake Yoda , marekani wanaweza kupambana na Russia,hebu fikiria F-35 zilivyo za kisasa zimeshindwa na jamming system ya Urusi pathetic!!!

‘Suppressed’ By Russian Electronic Warfare; Missiles Fail To Hit Target – Local Media Claims​

By
Tanmay Kadam
-
June 29, 2022
https://www.facebook.com/sharer.php...ers-suppressed-by-russian-electronic-warfare/
F-35 Stealth Fighters ‘Suppressed’ By Russian Electronic Warfare; Missiles Fail To Hit Target – Local Media Claims
By Tanmay Kadam- June 29, 2022
Hizo f35 ni flying coffins na russia kujenga rada maalumu kwa ajili ya hizo

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
US huwa wanasoma kwanza upepo wa raia wanaotawaliwa na utayari wao kumuondoa dikteta anayewatawala. Siku raia wa Rwanda, Cameroon au Equatorial Guinea wakikiwasha na wakahitaji msaada kutoka US wataupata. Ila ni lazima wao raia waanze ndio msaada kutoka nje uje.
Aya ya kwanza sahihi ya pili naipinga, hivi kumuondoa kiongozi madarakani hadi lije taifa lingine limtoe? Raisi wa Cameroon, Raisi Equatorial Guinea unajua wana miaka mingapi madarakani? Umri wa baba mwenye mjukuu, wote wapo na over 40+yrs madarakani. Kwanini hao hawakuguswa Gadaffi wakamnyanyua?

Mjomba hawa hawana shida na nani anayetawala as long as ni kibaraka wao haijalishi anatawala hadi kufa au siku mbili kang'olewa.

Kwanza huko nimeenda mbali, hapa jirani yetu Rwanda. Paul Kagame, toka April 2000 hadi leo 2022, miaka 22 yupo in Power... Vipi wana shida nae? Yupo in Power kushinda V-Putin anayeiwa Dictator. Ulishawahi kusikia wana mdisi? Au kukata uhusiano nae?
 
Marekani kuna baadhi ya maeneo angekuwa anafanya kuwaachia uongozi walio nao maana kuna baadhi ya maeneo akiingia tu anavuruga kila kitu na amani inaisha kabisa,
Lakini wakati mwingine anasaidia kwa utawala mbovu baadhi ya nchi.
Maana kwa baadhi ya nchi zetu za Africa pasingekuwa na nchi za kukomea kuna viongozi kifo pekee ndio kingekuwa kina waondoa
Kwan kuna sehemu ilikuwa na hali mbaya ila baada ya kuingia marekani ikawa na hali nzuri??...ukiikuta niambie

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Wote tupo...ila Hilo litaongelewa Sana...yaani hata akina Biden na Boris eti nao wanaliweka Kama ushindi...duh....aisee...Kama mna muda tafuteni feature/news analysis article ya BBC yenye kichwa Cha habari..Why Russia could not hold on Snake Island...someni hiyo halafu mfanye tathmini...ndipo mtajua, somehow, the reasons behind Russia's withdrawal of its forces from that Rocky island...
Russia ni strategists bwana...
After more than four months of repeated Ukrainian bombardment, Russian forces have abandoned Snake or Zmiinyi Island, as it is known in Ukraine.
Russia says it has withdrawn its garrison as a "gesture of goodwill" to prove it was not obstructing grain exports, but Ukraine dismissed that claim, as Moscow continued to shell its grain stores.


chanzo bbc
 
Back
Top Bottom