Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Aya ya kwanza sahihi ya pili naipinga, hivi kumuondoa kiongozi madarakani hadi lije taifa lingine limtoe? Raisi wa Cameroon, Raisi Equatorial Guinea unajua wana miaka mingapi madarakani? Umri wa baba mwenye mjukuu, wote wapo na over 40+yrs madarakani. Kwanini hao hawakuguswa Gadaffi wakamnyanyua?

Mjomba hawa hawana shida na nani anayetawala as long as ni kibaraka wao haijalishi anatawala hadi kufa au siku mbili kang'olewa.

Kwanza huko nimeenda mbali, hapa jirani yetu Rwanda. Paul Kagame, toka April 2000 hadi leo 2022, miaka 22 yupo in Power... Vipi wana shida nae? Yupo in Power kushinda V-Putin anayeiwa Dictator. Ulishawahi kusikia wana mdisi? Au kukata uhusiano nae?
Saud arabia inaongozwa kifalme na rafiki mkubwa wa marekani, ila iran nchi inayochagua viongozi wake kidemorasia ni adui mkubwa wa marekani...na hatujawahi kusikia england imechagua malikia mwingine au ubelgiji n.k

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Wote tupo...ila Hilo litaongelewa Sana...yaani hata akina Biden na Boris eti nao wanaliweka Kama ushindi...duh....aisee...Kama mna muda tafuteni feature/news analysis article ya BBC yenye kichwa Cha habari..Why Russia could not hold on Snake Island...someni hiyo halafu mfanye tathmini...ndipo mtajua, somehow, the reasons behind Russia's withdrawal of its forces from that Rocky island...
Russia ni strategists bwana...
Wanavyo ng'ang'ania utazani Wamerusha hata baluti tu pale Snake Island mpaka Russia kuondoka.

Russia kaondoka kwa malengo mapana Sana. Subiri muone...
 
Mliwaalika au kuwaomba?

Central Africa Republic walivyoona waasi wamezingira nchi nzima kasoro mji mkuu, Raisi wao aliamua kwenda Moscow na kilichotokea mpaka Leo asilimia 80 ya nchi Ina amani kumebaki maporini.

Mali walivyoona waasi wanazidi kupata nguvu na jeshi la Ufaransa lipo, huku madhara yakiingia kwenye miji hadi ya kusini mwa Taifa hilo, na wenyewe wakafanya hivyo hivyo kabla Ukraine hajachafua Hali.

Nadhani umesikia kinachoendelea Burkinafaso na kuomba Warusi waingie.

Sasa ninyi wakongo na kupenda Wafaransa na wabelgiji ndio yamewakuta ya kuwakuta miaka kwa miaka?
Eti Sasa mnaomba jeshi la Afrika Mashariki [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Heko mkuu kumwabia huyo POPO ukweli,kuongezeka tu, Patrice Lumumba aliomba msaada wakati Katanga ilipotaka kuasi,kila mtu akakataa,ikiwemo wahuni wanaojiita UN,aliopoioma Urusi Hali ikatulia mpaka sasa, na Lumumba angekuwa hai,DRC kwa kushirikiana na Urusi tusingewaona akina Kagame walileta ujinga.
 
Kwan kuna sehemu ilikuwa na hali mbaya ila baada ya kuingia marekani ikawa na hali nzuri??...ukiikuta niambie

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
Mifano iko, pande zote mbili (mabaya na mema)
Mifano mizuri: Ujerumani, Italia, Ufaransa, Denmark 1945; Korea Kusini 1950, Lebanoni 1958, Kuwait 1991.
Mifano mibaya ni mengi zaidi, nadhani utaijua.
 
US huwa wanasoma kwanza upepo wa raia wanaotawaliwa na utayari wao kumuondoa dikteta anayewatawala. Siku raia wa Rwanda, Cameroon au Equatorial Guinea wakikiwasha na wakahitaji msaada kutoka US wataupata. Ila ni lazima wao raia waanze ndio msaada kutoka nje uje.
Au sio, lini na wapi ulikosa cha kuwasemea? Nendeni Russia bas mkamtoe Putin Raia wanalalamika. Ila Yoda hiiiii hapana.. Aki nilikuwa sijui kama una mahaba ya kijinga kiasi hiki.
 
Marshall plan, mradi wa USD billion 13 mwaka 1948 hadi 1952 uliziinua tena nchi za Ulaya zilizochakaa na vita vya pili vya dunia pamoja na kuzuia sehemu kubwa ya Ulaya Magharibi isimezwe na Ukomunisti wa USSR.
Kwan kuna sehemu ilikuwa na hali mbaya ila baada ya kuingia marekani ikawa na hali nzuri??...ukiikuta niambie

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Heko mkuu kumwabia huyo POPO ukweli,kuongezeka tu, Patrice Lumumba aliomba msaada wakati Katanga ilipotaka kuasi,kila mtu akakataa,ikiwemo wahuni wanaojiita UN,aliopoioma Urusi Hali ikatulia mpaka sasa, na Lumumba angekuwa hai,DRC kwa kushirikiana na Urusi tusingewaona akina Kagame walileta ujinga.
Bwana unachukua habari zako wapi? Wahuni wanaojiita UN?? Baraza la Usalama kama mwakilishiw a nchi za Dunia ilituma jeshi (ambalo lilifeli baadaye). Waliokubali katika Baraza la Usalama walikuwa pamoja na Urusi! (wasiokubali, bila kupinga, walikuwa China (=Taiwan), Ufaransa na Uingereza.
Ona United Nations Security Council Resolution 143 - Wikipedia
 
US huwa wanasoma kwanza upepo wa raia wanaotawaliwa na utayari wao kumuondoa dikteta anayewatawala. Siku raia wa Rwanda, Cameroon au Equatorial Guinea wakikiwasha na wakahitaji msaada kutoka US wataupata. Ila ni lazima wao raia waanze ndio msaada kutoka nje uje.

Acha uwongo, marekani ndio huanza kuleta vurugu kwenye nchi husika kwa kuwek vikwazo,au kutumia vibaraka wenye akili kama zako
 
US huwa wanasoma kwanza upepo wa raia wanaotawaliwa na utayari wao kumuondoa dikteta anayewatawala. Siku raia wa Rwanda, Cameroon au Equatorial Guinea wakikiwasha na wakahitaji msaada kutoka US wataupata. Ila ni lazima wao raia waanze ndio msaada kutoka nje uje.
Hivi mzee wa misaada sikabisa unafahamu sera za USA kupitia kichaka cha democracy?

This is quite a game, politics. There are no permanent enemies, and no permanent friends, only permanent interests.

Watazidi kutuchezea Sana sisi wa-Africa, tena kwa cheap approach.
 
Akili za kindezi,Ka kitu mnataka kutegemea nchi zingine,🚮
Inanishangaza sana, hakuna sehemu sisi as Pro-Russia tuliposema tunataka kumtegemea Urusi, What we have said ni kua, Tunataka kujitegemea while Russia tukimchukua kama mfano wa kuigwa.

Sasa how comes hawa Chai kwa baba kulala kwa Shemeji wanasema Russia hawezi kutegemewa? Tumeomba maombi ya kumtegemea Russia? Jibu ni Hapana.

The weirdest of all, Maneno kama hayo yanatoka kwa jinsia ya kiume, kweli? Mbona we have Shangazi ngaboru kila siku anahubiri kujitegemea, She's a Woman ila anajua faida ya kujitegemea. Mtoto wa kiume kila siku unalilia na kupigia debe msaada? Unalilia utegemezi? Really? Ndipo tulipofikia huku jamani?

Asee These "black Yankee" with Single Digit IQ wanasumbua sana 😂😂😂, wamekuwa mithili ya taka taka ambazo unapata wasi kuziweka hata kwenye 'bin' lisije likaoza. So the only remaining Option is to "burry" them.

Ushauri wangu kwa Pro west, Ishambulieni Russia kwa kuipiga Ukraine, but nje ya hapo MNAJIVUA NGUO mno.
 
Back
Top Bottom