Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nashukuru kwa kutumia muda wako kunionya na kutuelekeza.

Hayo yote yalitokea kwenye PM ila mwenzangu ndio kalileta hapa.

Thanks again nadhani yameisha wala sitataka kitu kama hiki kijirudie tena.
Asante mkuu! huku mtaani tunajipatia umaarufu kutokana haya mnayoyaleta humu.
Hapa mtaani kuna wazee hunitembelea jioni kuniulizia habari za Vita.
Nawashushia nondo zenu,basi wanapenda.
Vijana wakiniona wakiniona wananisalimia urraaah kisa wanahisi ninaijua urusi vilivyo,naitikia Iskandar tu!

Sihitaji kuwapoteza mnatuheshimisha huku mitaani
 
Urusi imesogeza vichinjio vyake vya nyuklia vya Iskandar maili 50 tu (kilomita 80; yaani hata Dar to Chalinze ni mbali zaidi ) toka mpaka wa Poland
Msisahau kuwa vichinjio vya Iskandar havidunguliki; ndio vile ukijifanya kuvitageti na air defense systems za Marekani/NATO, vichinjio hivyo vinakunyea makopokopo, unaishia kudungua makopokopo, kisha vichinjio vinakula vichwa vya majeshi yako!

View attachment 2274744
View attachment 2274743
Mwaka huu NATO wameingia choo Cha watu wa jinsia nyingine.
 
EU wana Sarafu moja ya Euro, wana mfumo mmoja wa demokrasia, wana UEFA, wana free movement ya bidhaa na watu,
Hapa Mkuu Kuna kitu kinakuchanganya!!!
EU haimiliki UEFA. Si kweli wanachama wa EU ndiyo wale wale wa EU. Yaani unataka kutueleza kuwa UN inaimiliki FIFA. Ebu shika breki kwanza nishuke!

Orodha ya wanachama wa UEFA, Russia na Turkey wamo lakini hizi nchi si wanachama wa EU. Ushahidi huu hapa

====
Baada ya maelezo mazuri juu ya hili turudi kwenye mjadala wa operation denazification and demilitarization of Ukraine, je inafanikiwa ama la? Karibu
 
Vijana wakiniona wakiniona wananisalimia urraaah kisa wanahisi ninaijua urusi vilivyo,naitikia Iskandar tu!
Kwamba Urraaaa.... Iskander ha ha ha😆
800px-Vladimir_Putin_with_Dmitry_Medvedev-3.jpg
 
Asante mkuu! huku mtaani tunajipatia umaarufu kutokana haya mnayoyaleta humu.
Hapa mtaani kuna wazee hunitembelea jioni kuniulizia habari za Vita.
Nawashushia nondo zenu,basi wanapenda.
Vijana wakiniona wakiniona wananisalimia urraaah kisa wanahisi ninaijua urusi vilivyo,naitikia Iskandar tu!

Sihitaji kuwapoteza mnatuheshimisha huku mitaani
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nashukuru kwa kutumia muda wako kunionya na kutuelekeza.

Hayo yote yalitokea kwenye PM ila mwenzangu ndio kalileta hapa.

Thanks again nadhani yameisha wala sitataka kitu kama hiki kijirudie tena.
Asante mkuu! huku mtaani tunajipatia umaarufu kutokana haya mnayoyaleta humu.
Hapa mtaani kuna wazee hunitembelea jioni kuniulizia habari za Vita.
Nawashushia nondo zenu,basi wanapenda.
Vijana wakiniona wakiniona wananisalimia urraaah kisa wanahisi ninaijua urusi vilivyo,naitikia Iskandar tu!

Sihitaji kuwapoteza mnatuheshimisha huku mitaani
Kwamba Urraaaa.... Iskander ha ha ha😆
View attachment 2277263
Ndio hivyo mkuu,yaani bodaboda wakiniona tu,ndio salamu yetu
 
Asante mkuu! huku mtaani tunajipatia umaarufu kutokana haya mnayoyaleta humu.
Hapa mtaani kuna wazee hunitembelea jioni kuniulizia habari za Vita.
Nawashushia nondo zenu,basi wanapenda.
Vijana wakiniona wakiniona wananisalimia urraaah kisa wanahisi ninaijua urusi vilivyo,naitikia Iskandar tu!

Sihitaji kuwapoteza mnatuheshimisha huku mitaani

Ndio hivyo mkuu,yaani bodaboda wakiniona tu,ndio salamu yetu
Mi kwa upande wangu yameisha vikombe kabatini vinagongana simbuse sisi.

Peace and love 🤩🤩🤩🤩🤩.

Maana najua gharama yake inabidi ukeshe hapa ili ujibu mashambulizi ilhali kuna kazi zinatakiwa ziendelee(tension tuwaachie RUSSIA na NATO).

SIRUDII TENA.
 
Kauli kama hizi ndio zinafanya biden awe anaangalia tv amejificha nyuma ya kochi. Maana mara anasikia jamaa wa urusi anasema atalipua satellite zote za nato, huku mwingine anasema atakata oxygen ya baltic national, mara tena polish mercenaries denazified by russian force, sijui 5 russian special forces imeua na kujeruhi wanajeshi 20 wa ukraine achilia mvua za iskander zinaendelea kishuka kiev

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
🇷🇺🤣🤣🤣🤣🤣💪💪💪💪👏👏👏👏👏🤝🤝🤝
 
Nchi zetu za ulimwengu wa tatu zinategemea sana sarafu za kimataifa zilizo kwenye uhitaji mkubwa ili kuendesha uchumi wetu na hiyo inatokana na importating rate kuwa kubwa zaidi kuliko exporting rate, na kwenye kuimport sarafu zinazotumika zaidi ni international currencies ambazo mostly ni USD na Euro.

Kutumia Gold kama njia mbadala ya foreign exchange inawezekana sema ni changamoto kutokana na upatikanaji mgumu wa dhahabu ulivyo ukilinganisha na pesa. maana siyo kila nchi ina reserves ya dhahabu.

Kuhusu USD kufa, haitakiwi ife maana italeta changamoto kwenye foreign exchange market hasa sisi nchi masikini ambapo pesa zetu hazipo kwenye demand ya Uchumi wa dunia ukilinganisha na USD, Ruble, Pound, Euro na n.k.

Sema tunahitaji kuwepo na sarafu zaidi hata ya tatu zinazouwiana kwenye demand ya foreign exchange market na ndo maana tunatamani Ruble iendelee kuwa sarafu imara na inayohitajika kwenye uchumi wa dunia ili iendelee kushusha ufalme wa USD ambapo USA anatumia sarafu yake kama silaha ya uchumi.
Da ila wewe jamaa hizi sio akili zako,hizi ni akili za baba Yako kabisa.
Wewe mtoto mdogo unawezaje kuwa na akili za kikubwa namna hii?
 
Mwaka huu NATO wameingia choo Cha watu wa jinsia nyingine.
Walizoea kuitana (kama vile watu wanavyoalikana kwenda kuichapa biriani harusini) kwenda pamoja kuzipiga nchi dhaifu kama Afghanistan, Iraq na Libya. Mwaka huu kidume Putin kawaanzishia timbwili-timbwili jamaa wapo kimya kila mmoja kaufyata nchini mwake anahofia usalama wa nchi yake.
 
Wale nyumbu waliokuwa wanasema US ina hypersonic missile,wako wapi? Mpaka sasa hivi ameshi dwa kabisa,na hatawahi kuwa nayo,ipeni Urusi heshima yake aise,yaani superpower wa mchongo Hana hypersonic missile!!!🚮🚮


 
Taarifa njema hizi [emoji276]

Meanwhile

[emoji95] The Presidents of Russia and Iran met within the framework of the Caspian Summit.

Putin said that Moscow and Tehran are in constant contact on political and security issues.

Raisi invited the President of the Russian Federation to cooperate on the Caspian Sea in the field of transport, transit, fishing and tourism.

Good news Venezuela naye akaze kamba
 
Back
Top Bottom