Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ni kweli Urusi Taifa Teule ina maarifa kubwa jinsi ya kuona manowari zake zinazamishwa. Kuanzia Tushima (hapo walifyekwa na Japani ona Battle of Tsushima), kupigwa kwenye Bahari Baltiki na kushindwa kutoka kwenye Bahari Nyeusi wakati wa Vita Kuu ya Kwanza; kurudia mchezo huohuo wakati wa Vita Kuu ya Pili, Putin amejitahidi kutengeneza uwingi wa kuti aliorithi kutoka Urusi wa kikomunisti. Hata hivyo, manowari kiongozi ni Admiral Kusnetsov ambayo ingefaa kuwa makumbusho ya kijeshi katika nchi nyingine (soma china hatma yake), na manowari kiongozi kwenye Bahari Nyeusi ilikuwa Moskva, tunajua habari zake jinsi ilivyopotea kwa sababu kamanda yake alisahau haongozi nyambizi....
Kuhusu manowari kiongozi ona hapa:
As of July 2021, Admiral Kuznetsov is out of service for a refit in Murmansk. In November 2018, it was damaged by a falling 70-ton crane from the floating dry dock PD-50 and a fire that killed two during the refit. The dry dock, which sank due to a power outage while holding Admiral Kuznetsov,[10] was vital to repairing the carrier,[11] which is not expected to re-enter service until 2022 at the earliest.[12] In 2021, the Vice President of the United Shipbuilding Corporation (USC), Vladimir Korolev, told the TASS news agency that the vessel was expected to begin post-repair sea trials in mid-2023 and rejoin the fleet later that year,[13] although this may have been pushed back a year or more due to delays.[14] In May 2022 it was reported that repairs to the vessel were scheduled for completion in Murmansk in September 2022[15] but after flaws were found in the work, the date for the return to service was pushed back to at least 2024.[16]

(Vyanzo unaweza kuangalia ukifungua makala katika wikipedia ya kiingereza..)
Mzee Organize your writing in paragraphs, that way ipo kama uchafu haivutii kusoma.
 
Putin kamfundisha bwana mdogo Boris Johnson historia ya Uingereza, kamweleza Margaret Thatcher aliyekuwa Waziri Mkuu wa Uingereza mwanamke aliamua kuanzisha vita mwaka 1982 dhidi ya Argentina. Somo hilo limejiri baada ya Boris Johnson kusema kuwa kama Putin angekuwa mwanamke, asingeanzisha vita Ukraine

Aibu iliyoje Waziri Mkuu wa nchi tena Uingereza kutojua historia ya nchi yake!
View attachment 2277133

Mimi wa huku namtumbo naona kabisaa RUSSIA uchaguzi wake ni wa kimkakati kwa wale wenye bifu, nguvu na utayari wa kupambana na EU na US.

A+.
 
Alafu utasikia wajinga akina FUSO na mwenzake Yoda , marekani wanaweza kupambana na Russia,hebu fikiria F-35 zilivyo za kisasa zimeshindwa na jamming system ya Urusi pathetic!!!

‘Suppressed’ By Russian Electronic Warfare; Missiles Fail To Hit Target – Local Media Claims​

By
Tanmay Kadam
-
June 29, 2022
https://www.facebook.com/sharer.php...ers-suppressed-by-russian-electronic-warfare/
F-35 Stealth Fighters ‘Suppressed’ By Russian Electronic Warfare; Missiles Fail To Hit Target – Local Media Claims
By Tanmay Kadam- June 29, 2022
 
😂😂😂😂😂🙌🙌🙌 Wewe ndio uliamua kuendeleza vya chumbani mi nilishatoka huko.

Kiroho Safi au sio nikawa na like kama hatujasukutuana PM mnakumbuka ww na mwenzio si ndio mara gafla naona code zinatembea kua sijui kupuuzwa.
Sasa mimi ningetulia tuu bila kurudisha majibu.
Na najua kua mara ya mwisho niliwaambia acheni mambo ya kuchambana tokea hapo nikawa na maindi business zangu silike wala siwakot kila mtu ashinde mechi zake.

😂😂😂Ssa siku ya gundu ni gundu tuu kuna ubishani ulitokea wa dakika katika masilaha mm nikachukua upande yaani ni kama vita baridi kwa upande wangu sasa kumuita T14Armata yy ajui kitu ila nilitaka maoni yake ili kumkomesha Galip Vrl c ndio katika majibizano niliemuita kanijibu shit nikamuignore kitu nilichomuitia hajakifanya na sikuweza kuendeleza ligi na yy ilihali (nikasarenda) nawatemea shit nyie na chanzo n Wewe mm sikuyaleta hapa.

Hapa ni kijiwe cha kupumzikia tusichukulie vitu siriazi kiivo na kumuita machuma chumaa ni kutokana na yeye kunishit ivyo nikampa AKA afeel nilichofeel na ni baada ya kuona yameisha between mm na nyie kwa ww kulike comments zangu.

Mi pia silipwi kuchangia hapa ni sehemu ya kupumzikia watu huku ni vitu vya kawaida kuzinguana na n PM sasa Wewe kuleta jukwaani ndio unazidi kujichoresha.

Mimi mbona nimevumilia na mnanipiga spana wawili sijawayaleta hapa iyo inaonyesha kwamba hauna kifua puuza kama ulivyosema otherwise lamba jivu likate kiungulia.

Cc
Msuluhishi@mtimawachi
Mkuu kama
ulivyosema haulipwi,lakini hiki mnachokifanya humu kwenye huu uzi ni kikubwa sana.
Naamini sisi wote ni wakubwa(watu wazima).

Inabidi tuonyeshe huo ukubwa wetu kwa wanaotusoma.
Humu pro russia mmejipambanua kwa ujengaji wa hoja.
Nafikiri hapa kuna mitazamo tofautitofauti na ndio inayotufanya tujadiliane humu,kuna mahaba(siyo yale ya chumbani).

ILA mimi naamini watakaokuwa sahihi ni wale mitazamo yao itakayoleta matokeo chanya.
Hata hicho mlichokuwa mnabishania ni matokeo ya pitapita yenu katika elimu

Ninakusihi usifikie/msifikie huko kwani ni kawaida katika mijadala inayodiliwa na wasomi.

Kwani mkizidi sana usomi/akili utaondoka/itaondoka mtabakia na kile cha awali.Mtadharaulika na hata kwa yale ya mwanzo wakati tayari mmeshajijengea jina tayari.
TUENDELEE NA PUTIN WETU
 
What is so special about BRICS??

EU wana Sarafu moja ya Euro, wana mfumo mmoja wa demokrasia, wana UEFA, wana free movement ya bidhaa na watu, wamekubaliana na wanatekeleza standards nyingi, wame set bar high kujiunga nao n.k

Hiyo BRICS ina kipi special sana hadi tunasikia kelele zake zisizoisha hapa.
India wako na demokrasia, wenzao China na Russia hakuna demokrasia. China itakubali kufungua soko lake liwe free kwa bidhaa za India au South Africa kwa bidhaa za China??

Kwanza kuna vigezo gani vya kujiunga na huo umoja au yeyote tu akiamka akijisikia kutaka kujumuika anaingia?! Shambolic like AU
Ndugu, ina maana wewe. Ni smart zaidi kuliko hao walioanzisha hiyo BRICS?!!
 
Zama za Democrasia ya propaganda anayohubiri US duniani huku akiitumia kama kichaka cha kuchonganisha mataifa mengine kwa kisingizio cha uvunjifu wa democrasia kisha anaingiza majeshi yake kufanya looting ya dhahabu na vitu vingine vya maana inakaribia mwisho.

Tuombe hii operation itoboe December ili kina Boris wavurugane hapo mjini UK baadq ya kukatiwa gas supply huku Ruble ikiwa ni 15 against USD
 
UJUMBE

Kutoka kwa kijana halisi wa Africa hayati Chinua Achebe.

"The white man is very clever. He come quickly with his religion".

We were amused at his foolishness and allow him to stay Now he has own our brothers,and our clan can no longer act like one.He has put a knife on the things that held us together and we have fallen apart.

NB
Huu ni ujumbe nimependa kushea nanyi ukipenda kudadavua jaribu kuhusianisha na uzi huu ili kutokukera watu.

G.morning.
 
Ni ukweli ulichosema tunategemeana ila tayari kuna mipaka ya kimamlaka(nchi) sasa taifa moja lisiishi kwa kususbiria huruma ya taifa lingine.

Mathalani wote tuna utashi wa kufanya kazi (viwandani,mashambani etc)
Kupitia tutakacho kipata kutokana na Hiyo kazi ndio tutumie kujihudumia na Misaada haikataliwi ila iwe ni ya dharura mfano mlipuko wa maradhi unaoitaji kudhibitiwa haraka,baa la njaa,mafuriko na n.k

Na kuhusu kupata ambacho hatuna ni kupitia surplus ya tukizalichao ivyo tutaweza kuajiri au kununua technology kwa nchi zilizo na uwezo huo.

Kuhusu ARV sidhani kama wamarekani wana huruma kuliko sisi ambao ndg zetu ndio wanaoteseka na huo ugonjwa hivyo ni lazima suluhisho lingetafutwa kama nchi ili kuokoa kizazi kisipotee.

Moja kwa kuandaa wataalamu wa kuchunguza na kutoa ufumbuzi wa nini kifanyike ili kunusuru wananchi wake.

Mbili serikali ingenufaika kwa ugunduzi wa dawa au chanjo.

Tatu serikali ingejikusanyia fedha za kigheni kwa kuuza hiyo (dawa,huduma) nje ya mipaka yake.

Nne nchi kama nchi kutambulika kimataifa kwa kutoa mchango wake wa kulinda dunia na maradhi.

Hiyo ni kwa ARV tuu unaona jinsi tunavyopoteza kuliko kuendelea.
Uganda si wanazalisha ARV watatupA jirani zao
 
Kaka vita ina gharama kubwa mno kwa siku, sisi tulipigana vita miaka ya 70 lakini toka hapo uchumi ukayumba hadi leo.
Tena hii vita haiishii kwenye Uchumi, Mrusi aanze kujiandaa kufanya yafuatayo:-
  • Kuanzisha mashindano yake maana FIFA hatutaki kumwona sura yake
  • Kuanzisha UEFA yake maana hatutaki kumwona sura yake
  • Kuanzisha Olympic yake maaha hatutaki kumwona sura yake.
  • Michezo yote inayohusisha Umoja wa Ulaya na NATO hatutaki sura yake.

Yaani ni hivi ndugu zangu Dunia ya leo usijifanye mtemi utaumia - huwezi kujitenga na wenye nguvu wenzako, atapata madhara mengi mno huyu anayejiapiza kwamba ni mtemi wa Dunia subirini anguko lake.
Dah! FUSO kama FUSO!
Hivi fuso si ndio linabebaga matikiti?
 
Mkuu kama
ulivyosema haulipwi,lakini hiki mnachokifanya humu kwenye huu uzi ni kikubwa sana.
Naamini sisi wote ni wakubwa(watu wazima).

Inabidi tuonyeshe huo ukubwa wetu kwa wanaotusoma.
Humu pro russia mmejipambanua kwa ujengaji wa hoja.
Nafikiri hapa kuna mitazamo tofautitofauti na ndio inayotufanya tujadiliane humu,kuna mahaba(siyo yale ya chumbani).

ILA mimi naamini watakaokuwa sahihi ni wale mitazamo yao itakayoleta matokeo chanya.
Hata hicho mlichokuwa mnabishania ni matokeo ya pitapita yenu katika elimu

Ninakusihi usifikie/msifikie huko kwani ni kawaida katika mijadala inayodiliwa na wasomi.

Kwani mkizidi sana usomi/akili utaondoka/itaondoka mtabakia na kile cha awali.Mtadharaulika na hata kwa yale ya mwanzo wakati tayari mmeshajijengea jina tayari.
TUENDELEE NA PUTIN WETU

Nashukuru kwa kutumia muda wako kunionya na kutuelekeza.

Hayo yote yalitokea kwenye PM ila mwenzangu ndio kalileta hapa.

Thanks again nadhani yameisha wala sitataka kitu kama hiki kijirudie tena.
 
Kama Ukraine wanaweza kupambana na Russia hakuna nchi itashindwa kupambana nayo.
Alafu utasikia wajinga akina FUSO na mwenzake Yoda , marekani wanaweza kupambana na Russia,hebu fikiria F-35 zilivyo za kisasa zimeshindwa na jamming system ya Urusi pathetic!!!

‘Suppressed’ By Russian Electronic Warfare; Missiles Fail To Hit Target – Local Media Claims​

By
Tanmay Kadam
-
June 29, 2022
https://www.facebook.com/sharer.php...ers-suppressed-by-russian-electronic-warfare/
F-35 Stealth Fighters ‘Suppressed’ By Russian Electronic Warfare; Missiles Fail To Hit Target – Local Media Claims
By Tanmay Kadam- June 29, 2022
 
[emoji777][emoji2925]🇺[emoji1218]🇷Negotiations between Iran and the United States on oil have failed[emoji777]
Taarifa njema hizi [emoji276]

Meanwhile

[emoji95] The Presidents of Russia and Iran met within the framework of the Caspian Summit.

Putin said that Moscow and Tehran are in constant contact on political and security issues.

Raisi invited the President of the Russian Federation to cooperate on the Caspian Sea in the field of transport, transit, fishing and tourism.
 
UJUMBE

Kutoka kwa kijana halisi wa Africa hayati Chinua Achebe.

"The white man is very clever. He come quickly with his religion".

We were amused at his foolishness and allow him to stay Now he has own our brothers,and our clan can no longer act like one.He has put a knife on the things that held us together and we have fallen apart.

NB
Huu ni ujumbe nimependa kushea nanyi ukipenda kudadavua jaribu kuhusianisha na uzi huu ili kutokukera watu.

G.morning.
[emoji41][emoji41][emoji41]
Screenshot_20220629-200338.jpg
 
Asichokijua ni kwamba individuals na mataifa huimarishwa kwa mapambano, siyo kujikalia tu bila adventure.
WAKUU naelewa historia US akipata shida sana Vita zake alizopambana one to one. Lkn najua pia US anataka kuaminisha Dunia kwamba wengine hawawezi defend sera za nje, albeit Ukraine na interest ya kutaka kulala na panga Kwamba mumeo hatakuelewa. So ilikuwa lazima apigwe, ....

Wananchi wa Ukraine wasichokijua ni zele kuwaingiza vitani bila sababu. Zaidi ya hapo ni hapa ambapo tunakwenda kushuhudia Separation za hizi hegemonic power

Na ninyi mnadai speech hii is a dead one. Atapeleka majesshi Poland na kanchi kengine Kwa mwamvuli wa NATO. Trust me. Putin atafanya nini tusubiri tuone
 
Ujerumani yaonya kuwa Urusi ipo inatengeneza kokoro (mtego) jingine la kuwanasa mataifa ya magharibi yawe yanaitegemea Urusi kwenye malighafi ya lithium.

Urusi inaunda ubia na Bolivia ambayo ina hifadhi kubwa zaidi ya madini ya lithium duniani (tani milioni 21) ambapo Urusi itakuwa ikiyachimba na kuyachakata madini hayo. Ujerumani I ahofia Urusi itatumia karata hiyo kama namna itumiavyo mafuta na gesi katika kuwaadhibu mataifa ya Ulaya na Marekani.

Madini ya lithium yanatumika kwenye utengenezaji wa betri kuchaji za simu za mkononi, laptop, digital camera na magari ya umeme. Pia kwenye betrii za pacemakers etc

View attachment 2274675View attachment 2274676
Putin ni akili kubwa sana
 
Ukiacha nyuklia ni zana au silaha gani nyingine ya kivita ambazo Russia hajatumia kwenye hii mnayoita Operation??
Russia inafanya ka operation kadogo tu kuwapunguza nguvu kidogo sana, Russia inawapenda wa Ukraine, sema wamekengeuka kwa akili za kushikiwa na propaganda za USA huku watekelezaji wa mission hizo ni CIA, CIA wanatumia billions of dollar kuhakikisha hakuna maelewano baina yao, hio Kiev ilishawahi kuwa makao makuu ya Russia.

Hao wa Ukraine nao wana roho ngumu kama wa Russia tu, tofauti Russia ina nguvu kijeshi kuliko hao wapotoshwaji, hao wote ni watu wa vita.

NATO wakae kwa kutulia, wanataka kuchomoa betri kwenye tanker la petroli lilipata ajali.
 
Back
Top Bottom