Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,238
- 10,585
Umesahau England kuna scotlandKwa sababu Syiria ni mojawapo ya mataifa ya hovyo zaidi kwa sasa na halina cha kupoteza tena. Mataifa mengine kama Belarus ambayo ni washirika wa Putin wanajua wakitambua na kubariki rasmi huo uasi ipo siko baadhi ya maeno yao yatajitangaza huru kwa hiari yao au kwa figisu kama alizofanya Putin huko Mashariki mwa Ukraine na mataifa mengine yatayatambua rasmi na hawatakuwa na mtu wa kusimama nao.
China inajihadhiri na ujinga kama huo kwa sababu inajua kuna Tibet, India kuna Kashmir, Uturuki kuna Wakurdi, Iran kuna Balochistan, Myanmar kuna Rohingya. Tofauti ya hizi harakati za huku na za Ukraine ni kwamba hizi ni halisi wakati za Ukraine mashariki ni propaganda tu za Putin.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app