Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Pro NATO wenzangu nazidi kuwasisitiza kuwa tuendelee kuiponda Russia. Japo kuwa kweli Russia anatukimbiza mbaya sisi NATO. Tupigeni Propaganda za kuamisha watu na kujipa Moyo. Na ikumbukwe kuwa hii silaha ya Propaganda imetumiwa sana na USA kujijengea umaarufu na Kuogopeka dunia nzima
Wakati kumbe ni how come tu wa kawaida na anayetafuta wenzake wamuunge kwa style ya KUCHANGIA.

Nawapongeza sana Propagandists wa NATO:

MWANAMKIWA, FUSO, T14 AMARTA, YOGA, COCO RIBON
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee hii dunia west wanaiharibu kwa kasi. Hili jambo linatia huzuni sana. Tuendelee kuiombea Russia ndugu zangu ndio taifa teule tunalolitegemea kutotolea mashetani haya.
IMG_4101.jpg
 
Kitovu cha teknolojia duniani kwa sasa ni Silicon Valley. Kataa au kubali huo ndio ukweli

Huwezi kuitenga teknolojia nzuri na biashara. Apple, Microsoft ,na Google zimekuwa biashara kubwa zaidi duniani kwa sababu ni teknolojia nzuri za hali ya juu.

Halafu unarudia kutaja brand za Japan, Ujerumani na kwingineko ambazo ni global brands lakini huwezi kutaka hata Global brand moja ya Russia ambayo inaboresha maisha ya binadamu, labda hata ungetaja AK47 kama ni teknolojia na ni muhimu kwa raia wa kawaida.
So Toyota ni brand ya mlalakua sio? Acha upimbi punguza mahaba, af usichaganye concept za biashara na huo utumbo wako. Japan ni Home of Toyota ila kuna BMW na Mercedes za Germany sokoni.

Quality haipimwi kwa popularity, Ingekuwa hivyo leo hii hapa tungesema Tecno na Infinix ni bora kuliko Samsung coz zimetapakaa sana kwa watumiaji wengi Nchini.

Sasa wewe "high techie" unatengenezaje mfumo unao weza kuharibiwa na "low techie"? Usichokijua au unakijua ila unashupaza fuvu ni kwamba In technology aliyejuu humvuruga aliye chini.

The key concept ya kuharibu ama kuzuia X ni kwa kujua X imeundwa vipi inafanya vipi kazi na weakness yake ni ipi.

So the one who identify weakness knows better, Hiyo haipingwi ukubali usikubali hilo ni juu yako. Umeulizwa swali hujajibu. Kwanini US amlalamikie Russia tu wala sio nyinyi wataalam wa unyanyembe eh?

Uweke walinzi wa JKT mlangoni halafu wale unao waita "Panya Road" wawa-outsmart walinzi wako wakuvagae hadi ndani, yet unatoka nje unajigamba walinzi wako ni bora kuliko?

Kama "Killnet" wamewafanyia hivyo, Je vipi kuhusu team iliyo Rasmi kwa kazi hiyo? Kingine cha hovyo ila ukioni, US kumejaa expats, Talents kutoka sehem tofauti duniani.

Kwa wenye akili wanaitazama US kama Real Madrid au Barcelona FC, ni collection of talents tena zile top notch kutoka sehem tofauti duniani wanaokimbilia kujaza matumbo kuliko kuboresha kwao.

Kama hapa TZ tu namna Makolo na Utopolo FC zinavyong'arishwa na Talents za mataifa ya nje.

Kikana em Linganisha kwa akili sio mahaba tuone kweli umepevuka.
 
Wakuu, ninashangaa kuhusu taarifa hizo kutoka Urusi. Tunajua kwamba uwongo ni jambo la kawaida vitani, tena pande zote.
Ila hapa ninashangaa habari eti waliharibu ndegevita 226 za Ukraine. Nikiangalia idadi, naona Ukraine ilikuwa na ndegevita 209 wakati wa Februari, kabla ya mapigano. Ona chanzo hapa. Hizo 209 ni pamoja na ndege ndogo 47 za mafunzo Aero L-39 Albatros ambayo haifai kwa mapigano.

Yaani wanadai wameshaharibu ndegevita idadi kushinda iliyopatikana. Hata ukiongeza ndege kadhaa kutoka Poland na Slovakia, kwa kadirio ya sasa Ukraine haina kitu tena. Ila bado wanatangaza wameharibu ndege.
Nadhani idara ya propaganda huko Urusi inahitaji kunyosha kidogo.
Ha ha ha ha haaaa! Ulipo tupo na spana juu. Nimefuatilia chanzo chako (Wikipedia) cha habari juu ya idadi za ndege vita. Chanzo chako cha habari kina mapungufu makubwa kiasi cha kutilia mashaka takwimu kilizotoa. Nitaeleza.

Kwenye chanzo hicho, inasemwa kufikia February 2022 Ukraine ilikuwa na :
I)Trainer aircraft 15, Surveillance 3, Attack/Close air support 31, na attack 12. Chanzo halisi cha habari ya Wikipedia ni "World Air Force 2022" ambayo mleta habari pale Wikipedia akisoma hiyo habari tarehe 14/12/2021! Bahati mbaya hatwambii kama Ukraine haikupokea ndege za namna hiyo tena kati ya December 2021 mpaka February 2022 ! Mashaka haya.
II) Unmanned aerial Vehicles(UAV) 6. Chanzo halisi cha habari hiyo kilichapishwa tarehe 5/10/2020! na mleta habari Wikipedia akisoma chanzo hicho cha habari tarehe 13/09/2021!! Halafu hapo hapo anatwambia kuwa mpaka February Ukraine ilikuwa na UAV 6 tu!

Kwa hiyo, maelezo mafupi haya juu ya takwimu ulizotupa binafsi naona yanatosha kutokukubaliana na maelezo yako kuwa Russia wanatudangaya juu ya takwimu wanazotoa. Hivyo, binafsi nadhani, wewe Mkuu ndiye unataka kutudanganya! Ukileta takwimu akikisha uwe umezichimba sawa sawa na kuzipiga msasa vinginevyo tutakutoa Baru Nazo ! Ha ha haaaa!

Tuendelee na mjadala.
 
U

Ukraine amepewa udogo ili aonewe huruma. Kijeshi ni kati ya nchi 20 bora duniani akiwa amerithi viwanda anuwai vya aerospace toka Soviet. Piakumbuka ana kiwanda cha kutengeneza engine za ndege kilichotandikwa. Ile steel industry sio ya mchezo ana machuma ya kutosha. Uwezo wa majeshi huwa ni siri.
 
Kitovu cha teknolojia duniani kwa sasa ni Silicon Valley. Kataa au kubali huo ndio ukweli

Huwezi kuitenga teknolojia nzuri na biashara. Apple, Microsoft ,na Google zimekuwa biashara kubwa zaidi duniani kwa sababu ni teknolojia nzuri za hali ya juu.

Halafu unarudia kutaja brand za Japan, Ujerumani na kwingineko ambazo ni global brands lakini huwezi kutaka hata Global brand moja ya Russia ambayo inaboresha maisha ya binadamu, labda hata ungetaja AK47 kama ni teknolojia na ni muhimu kwa raia wa kawaida.

Ni hivi RUSSIA sasa Ivi kupitia hii OP yuko kwenye interview kutuonyesha ana nini cha kutuofa sisi watu wa mawataifa mengine.

Haijaisha (OP) ila kapata KAZI anaichukua yeye kuanzia sasa

1. Kutupatia wataalamu wa mbinu za kivita.

2.Kutupatia wataalamu wa mifumo ya technology.

3.Kutupatia wataalamu wa mifumo bora ya biashara.

4.Kutupatia wataalamu wa maradhi ya binadamu ie corona imepotea kiaje wanajua RUSSIA.

5.Kutupatia wataalamu wa elimu ya uongozi wenye maono.

6.Kutupatia wataalamu wa elimu ya intelligence.

7.Kutupatia wataalamu wa elimu ya vinywaji na vyakula (refer macdonald na coke kupigwa marufuku)

8.Kutupatia wataalamu wa kulinda amana zetu.(RABBLE SAGA)

9.Kutupatia wataalam wa lishe bora(Putin hana kiriba tumbo)

Kumbuka dunia haing'ang'anii vya nyuma mmbadala bora ukipatikana.
 
Kitovu cha teknolojia duniani kwa sasa ni Silicon Valley. Kataa au kubali huo ndio ukweli

Huwezi kuitenga teknolojia nzuri na biashara. Apple, Microsoft ,na Google zimekuwa biashara kubwa zaidi duniani kwa sababu ni teknolojia nzuri za hali ya juu.

Halafu unarudia kutaja brand za Japan, Ujerumani na kwingineko ambazo ni global brands lakini huwezi kutaka hata Global brand moja ya Russia ambayo inaboresha maisha ya binadamu, labda hata ungetaja AK47 kama ni teknolojia na ni muhimu kwa raia wa kawaida.
Bado fuvu lako limeganda US, So usinikaushe mate kukutafutia vilainishi. Apple, Google... Top tech Giants... Unajua zimefika hapo zilipo kwa kuzimeza kampuni ndogo ndogo zingine ngapi?

Google Maps, Android ni mifano miepesi ya Services za Google walizozipata through acquisitions. Na huo ndio Ubepari uliopo magharibi.

Competitors wananunuliwa, kampuni inazidi kujitanua... Nimekupa mfano mdogo uko juu ungekuwa na akili ungepunguza porojo. Nimekuuliza kidogo tu. Mtoto kazaliwa na Neema, kalelewa na Jesca, Mtoto kakua Unakaza fuvu kusema mtoto kazaliwa na Jesca... Una akili kweli wewe?

Huyo Neema asingebanjuka mtoto akapatikana Jesca angemjulia wapi?

Haya walau mfano wa haraka haraka kwenye hii mitandao ya kijamii.. Insta na WhatsApp competitors wa enzi hizo wa Facebook zote zikanunuliwa na sasa ni mali ya Facebook. Unashindwa vipi kutofautisha mwanzilishi na mmiliki?

Na US analazimisha kumiliki all emerging technology across the Globe kwasababu ya agenda zake za kutaka kua na ile control juu ya kila kitu. Hili nalo wajifanya hulijui.

Kwa taarifa yako waanzilishi wa Google hiyooo unayoisemea vile unavyoijua wewe ni akina Sergey Brin na Larry Page. Huyu Sergey ni raia wa Urusi, ambae kabadili uraia kuchukua wa US.

Elon Musk, anayetamba na hizi Star Link, Space X na Tesla ni Mzawa wa South Africa, Raia wa Canada na sasa Raia wa US. Wala haishangazi coz ndio tabia ya US miaka nenda rudi. All talents muhim anazipiga chapa yake.

We jifunze kuitumia akili yako vizuri sio kutuletea mahaba zaidi tutakupachika majina usiyoyapenda tu.

Anyway nikufunze zaidi au let say ushauri wa bure, unapozungumzia Technology, em ijue maana ake kwanza kabla ya kuijengea hoja.
 
Hakunaga urafiki kama uwo uyo lazima atahukumiwa kwa sheria za russia kama wale wa UK wawili
Israel ni habari nyingine kwenye maslahi ya raia wake. Unless huyu awe Myahudi tu ila sio raia ila kama ni raia wa Israel na Myahudi uwezekano wa kuachiwa ni mkubwa sana.

Unasemaje hakuna urafiki wa hivyo wakati Marekani ilikuwa ikishambulia Syria inazuiwa na makombora yake sometimes yanakuwa intercepted, wakati Israel ndege zake tangu vita ya Syria ianze hadi leo zinazunguka anga la Syria muda wowote.
Au wakati Tupolev ya Warusi ilipodondoshwa kwa friendly fire na kuua watu 16 kama sijasahau na Russia haichukua hatua yoyote kwa Israel. Wakati ndege zao ndio zilifanya manouvre ya kukwepa interception ila zikaitia Tupolev ya jeshi la Urusi kwenye mtego
 
Muanzilishi wa Huawei Ren Zhengfei alikuwa mwanajeshi katika jeshi la China kwa miaka tisa kabla ya kuanzisha Huwawei, pia ni mwanachama mtiifu wa chama cha Kikomunisti cha China(CCP).

Unafikiri siku serikali ya China wakitaka taarifa au data za watumiaji wa vifaa vya Huwawei anaweza kuwakatalia??

Kama serikali ya CCP ya China imeweza kummaliza na kumnyamazisha kabisa tajiri na innovator mkubwa kabisa China Jack Ma wa Alibaba baada ya kuona kampuni zake na ushawashi wake unawafunika serikali watashindwa kufanya kitu gani kwa Ren ??
Ila hizo mambo hawa makima hawazioni, Jinsi anavyolazimisha kukaa sokoni na namna corporation za west zinavyoitumia serikali yao kwenye competition za kibiashara.

Baada ya kui-ban Huawei akaaanza kuyaforce mataifa ya EU kufanya hivyo, yote hayo ilikuwa katika race za 5G. Huawei wakawa wanashinikiza US athibitishe madai yake kama kweli hao (Huawei) wana mahusiano na CCP ila mwaka wa ngapi huu wameunyuti.

In turn Harmony OS inazidi kupea na HUAWEI bado iko strong. On the long run wao ndio watakuwa ma-looser.

Majuzi hapa nasikia tena US-japan na vi nchi flan hapo Pacific vimeweka muungano kushindana na CHINA kibiashara pande hizo...[emoji23][emoji23]

He he he upande wa Military wanajikusanya kushindana na Russia, Upande wa Uchumi wanajikusanya kushindana na China.

Sasa hii Combo ya China-Russia inawapa mhaho wa kuifanya lipstick kua marker pen, daaadeki na bado. Mvua iendelee kunyesha tuone kunako vuja.
 
Bado fuvu lako limeganda US, So usinikaushe mate kukutafutia vilainishi. Apple, Google... Top tech Giants... Unajua zimefika hapo zilipo kwa kuzimeza kampuni ndogo ndogo zingine ngapi?

Google Maps, Android ni mifano miepesi ya Services za Google walizozipata through acquisitions. Na huo ndio Ubepari uliopo magharibi.

Competitors wananunuliwa, kampuni inazidi kujitanua... Nimekupa mfano mdogo uko juu ungekuwa na akili ungepunguza porojo. Nimekuuliza kidogo tu. Mtoto kazaliwa na Neema, kalelewa na Jesca, Mtoto kakua Unakaza fuvu kusema mtoto kazaliwa na Jesca... Una akili kweli wewe?

Huyo Neema asingebanjuka mtoto akapatikana Jesca angemjulia wapi?

Haya walau mfano wa haraka haraka kwenye hii mitandao ya kijamii.. Insta na WhatsApp competitors wa enzi hizo wa Facebook zote zikanunuliwa na sasa ni mali ya Facebook. Unashindwa vipi kutofautisha mwanzilishi na mmiliki?

Na US analazimisha kumiliki all emerging technology across the Globe kwasababu ya agenda zake za kutaka kua na ile control juu ya kila kitu. Hili nalo wajifanya hulijui.

Kwa taarifa yako waanzilishi wa Google hiyooo unayoisemea vile unavyoijua wewe ni akina Sergey Brin na Larry Page. Huyu Sergey ni raia wa Urusi, ambae kabadili uraia kuchukua wa US.

Elon Musk, anayetamba na hizi Star Link, Space X na Tesla ni Mzawa wa South Africa, Raia wa Canada na sasa Raia wa US. Wala haishangazi coz ndio tabia ya US miaka nenda rudi. All talents muhim anazipiga chapa yake.

We jifunze kuitumia akili yako vizuri sio kutuletea mahaba zaidi tutakupachika majina usiyoyapenda tu.

Anyway nikufunze zaidi au let say ushauri wa bure, unapozungumzia Technology, em ijue maana ake kwanza kabla ya kuijengea hoja.
Sasa aliyezuia wengine wasifanye hivyo nani? Russia imeanza kuzuia marubani wake wasipate kazi nje ili kuzuia brai drain, ni kawaida ya wasomi kuikimbia Russia.
WhatsApp aliyeianzisha ni engineer wa Yahoo na mwenzake ila kuna developers kibao wa Urusi walihusika tena walifuatwa Urusi. Sergei Bryn mmiliki mwenza wa Google baba yake Mrusi alikimbilia Marekani, Steven Seagal ana asili ya Urusi, Leonaldo DiCaprio bibi yake Mrusi, hata mwanzilishi wa Ethereum yule Vitalik Buterin ni Mrusi aliyeishi Marekani.

Wataalamu wengi hawapendelei kuishi Urusi. Pavel Durov na wenzie walitengeneza VKontakte iwe mshindani wa Facebook, serikali ikalazimisha kununua hisa nyingi ili iwe na credentials. Akaachana nayo akaanzisha Telegram, serikali ikamuwinda akatoroka nchi kwa siri. Leo hii hadi serikali ya Urusi inafaidika na hiyo Telegram kwenye propaganda duniani
 
Ha ha ha ha haaaa! Ulipo tupo na spana juu. Nimefuatilia chanzo chako (Wikipedia) cha habari juu ya idadi za ndege vita. Chanzo chako cha habari kina mapungufu makubwa kiasi cha kutilia mashaka takwimu kilizotoa. Nitaeleza.

Kwenye chanzo hicho, inasemwa kufikia February 2022 Ukraine ilikuwa na :
I)Trainer aircraft 15, Surveillance 3, Attack/Close air support 31, na attack 12. Chanzo halisi cha habari ya Wikipedia ni "World Air Force 2022" ambayo mleta habari pale Wikipedia akisoma hiyo habari tarehe 14/12/2021! Bahati mbaya hatwambii kama Ukraine haikupokea ndege za namna hiyo tena kati ya December 2021 mpaka February 2022 ! Mashaka haya.
II) Unmanned aerial Vehicles(UAV) 6. Chanzo halisi cha habari hiyo kilichapishwa tarehe 5/10/2020! na mleta habari Wikipedia akisoma chanzo hicho cha habari tarehe 13/09/2021!! Halafu hapo hapo anatwambia kuwa mpaka February Ukraine ilikuwa na UAV 6 tu!

Kwa hiyo, maelezo mafupi haya juu ya takwimu ulizotupa binafsi naona yanatosha kutokukubaliana na maelezo yako kuwa Russia wanatudangaya juu ya takwimu wanazotoa. Hivyo, binafsi nadhani, wewe Mkuu ndiye unataka kutudanganya! Ukileta takwimu akikisha uwe umezichimba sawa sawa na kuzipiga msasa vinginevyo tutakutoa Baru Nazo ! Ha ha haaaa!

Tuendelee na mjadala.
Ungeniona nilivyofurahi hapa we acha tu... Hiki huwa tunakisema hapa mara kwa mara. Si kila kinachopatikana ndani ya Web ni sahihi. Mtu akinyanyuka kutafuta maarifa mapya awe na reasoning ya kile kipya anachokisoma.

Asilimia kubwa ya watu ambao hawana prior Knowledge ya kile wanachokitafuta na hap ndio wengi ambao huingia kombo kwenye vitu wanavyovikurupukia.

Sasa namna ulivyoipangua hiyo source ha ha ha ha Wooooi Pro-Russia mna heshima angu popote mlipo.

Tell them buddy, Wikipedia is for everybody, Yeyote anaweza fungua account akatoa mchango wake... Nakazia hata FUSO pia [emoji23][emoji23][emoji23]
Bvka.jpg
 
Back
Top Bottom