Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Hivyo nilivyokutajia ni Global brands, popote utakapotia mguu wako hapa duniani utavikuta kama sio kuvitumia, hata huko Urusi kwenyewe.
Huh tena usimwambie habar za telegram, Ujue kuna vitu vingine vya kijinga sana kufanyia ulinganisho.
Leo TZ hapa chukulia mfano issue ya magari, Zimetapakaa Toyota, Suzuki, Nissan, kidoogo BMW, Mercedes, Land Rover au Jaguar.
Je kuna hizi pekee brand za magari duniani? Au je hizi ndio brand bora kuliko brand zote duniani?
Kitu kama unakitumia haina maana kwamba ndio the only one au the top. Hiyo ni issue ya kibiashara.
Ukiiipenda pisi flan, jua kuna pisi kali zaidi yake [emoji23][emoji23][emoji23], US angekuwa the strongest one asingekuwa na wasi wasi dhidi ya "wadhaifu".