Bado fuvu lako limeganda US, So usinikaushe mate kukutafutia vilainishi. Apple, Google... Top tech Giants... Unajua zimefika hapo zilipo kwa kuzimeza kampuni ndogo ndogo zingine ngapi?
Google Maps, Android ni mifano miepesi ya Services za Google walizozipata through acquisitions. Na huo ndio Ubepari uliopo magharibi.
Competitors wananunuliwa, kampuni inazidi kujitanua... Nimekupa mfano mdogo uko juu ungekuwa na akili ungepunguza porojo. Nimekuuliza kidogo tu. Mtoto kazaliwa na Neema, kalelewa na Jesca, Mtoto kakua Unakaza fuvu kusema mtoto kazaliwa na Jesca... Una akili kweli wewe?
Huyo Neema asingebanjuka mtoto akapatikana Jesca angemjulia wapi?
Haya walau mfano wa haraka haraka kwenye hii mitandao ya kijamii.. Insta na WhatsApp competitors wa enzi hizo wa Facebook zote zikanunuliwa na sasa ni mali ya Facebook. Unashindwa vipi kutofautisha mwanzilishi na mmiliki?
Na US analazimisha kumiliki all emerging technology across the Globe kwasababu ya agenda zake za kutaka kua na ile control juu ya kila kitu. Hili nalo wajifanya hulijui.
Kwa taarifa yako waanzilishi wa Google hiyooo unayoisemea vile unavyoijua wewe ni akina Sergey Brin na Larry Page. Huyu Sergey ni raia wa Urusi, ambae kabadili uraia kuchukua wa US.
Elon Musk, anayetamba na hizi Star Link, Space X na Tesla ni Mzawa wa South Africa, Raia wa Canada na sasa Raia wa US. Wala haishangazi coz ndio tabia ya US miaka nenda rudi. All talents muhim anazipiga chapa yake.
We jifunze kuitumia akili yako vizuri sio kutuletea mahaba zaidi tutakupachika majina usiyoyapenda tu.
Anyway nikufunze zaidi au let say ushauri wa bure, unapozungumzia Technology, em ijue maana ake kwanza kabla ya kuijengea hoja.