Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

So Toyota ni brand ya mlalakua sio? Acha upimbi punguza mahaba, af usichaganye concept za biashara na huo utumbo wako. Japan ni Home of Toyota ila kuna BMW na Mercedes za Germany sokoni.

Quality haipimwi kwa popularity, Ingekuwa hivyo leo hii hapa tungesema Tecno na Infinix ni bora kuliko Samsung coz zimetapakaa sana kwa watumiaji wengi Nchini.

Sasa wewe "high techie" unatengenezaje mfumo unao weza kuharibiwa na "low techie"? Usichokijua au unakijua ila unashupaza fuvu ni kwamba In technology aliyejuu humvuruga aliye chini.

The key concept ya kuharibu ama kuzuia X ni kwa kujua X imeundwa vipi inafanya vipi kazi na weakness yake ni ipi.

So the one who identify weakness knows better, Hiyo haipingwi ukubali usikubali hilo ni juu yako. Umeulizwa swali hujajibu. Kwanini US amlalamikie Russia tu wala sio nyinyi wataalam wa unyanyembe eh?

Uweke walinzi wa JKT mlangoni halafu wale unao waita "Panya Road" wawa-outsmart walinzi wako wakuvagae hadi ndani, yet unatoka nje unajigamba walinzi wako ni bora kuliko?

Kama "Killnet" wamewafanyia hivyo, Je vipi kuhusu team iliyo Rasmi kwa kazi hiyo? Kingine cha hovyo ila ukioni, US kumejaa expats, Talents kutoka sehem tofauti duniani.

Kwa wenye akili wanaitazama US kama Real Madrid au Barcelona FC, ni collection of talents tena zile top notch kutoka sehem tofauti duniani wanaokimbilia kujaza matumbo kuliko kuboresha kwao.

Kama hapa TZ tu namna Makolo na Utopolo FC zinavyong'arishwa na Talents za mataifa ya nje.

Kijana em Linganisha kwa akili sio mahaba tuone kweli umepevuka.
Umempiga na gongo kubwa utosini
 
#YURI WAR BRIEFING -- Lisichansk: Ukraine’s Generall Staff tacitly admits its Lisichansk Group is effectively surrounded, even though no confirmation of the fact exist from the Russians yet. Russian assault group turns toward Seversk. Ukrainians apparently prepare to defend Seversk-Solidar line. Yuri describes events near Lisichansk as “historic”.
Black Sea: Why Zmeyini have been abandoned.

State of the fronts as of 1/07/2022 at 10:00AM - yes, 10am Moscow time of July, 1. (Events of today’s afternoon will be summarized in the briefing tomorrow).
 
Basi wametimuliwa nakujulisha hilo. Kila siku casualties walikuwa wanaongezeka pale, hakuna namna utalinda kile kisiwa kipo naked vile
Wewe na BBC nani msema kweli !!!??
IMG_20220702_053555_509.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujinga wa kwanza ni kufikiri ushindi kwenye vita unatokana na silaha tu. Gaddafi alikuwa amejaza masilaha ya Russia kwenye ghala zake lakini US walimdonoa kama Mwewe anavyochukua panzi bila hata boots on the ground.

Kwanza US wenyewe mpaka sasa wame beep tu katika aina ya Silaha walizotuma Ukraine. HIMARS walizotuma ni za range ya Km80 tu, wangetuma za Km500 waliweke eneo la Russia ndani ya target range ungeona Kremlin wakipiga kelele za Nyuklia Armageddon. Silaha za US kama makombora ya masafa marefu, nyambizi na fighter jets bado hazijagusa ardhi au maji ya Ukraine, Moscow pasingekalika na Homicidal dictator wao angebofya vitufe vya nuclear kujitoa mhanga na dunia yote inayomzunguka.
Mimi naona mnahama kwenye Uzi wetu. Tunachojua nikuwa uwe na apple, Google, Huwawei lkn je kwenye vita hii nani anapigwa?
Tunataka silaha za NATO na washirika wake zinarumwa Ukraine kila leo ziwathibiti Russia lkn kama wanapulizwa makalio . Basi kwenye teknolojia ya zana za kivita HAWAWEZI acha watutengenezee simu tupigie selfie na kuingia BADOO .
Kama Russia wana advance tokea misaada ya 40 bil Usd hadi sasa wanatuma 800mil usd maana yake IMEISHA HIYO

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Ukimwambia hivi ambae hajawahi kutumia Iphone sijui anakuonaje ha ha ha, wakati hapa kuna wale wa kulala kwa Shemeji wapo tayari wawe mfano wa "Deputy assistance" ilimradi waipate.

Na ni kweli ukiangalia 11, 12 na hii 13 tofauti kubwa saaana labda change ya Version ya OS kutoka iOS-13 hadi sasa iOS15 🥱[emoji276]
Labda kwenye Video tu wameweka ProRes (iPhone 13 series) ila kwingine ni ufala uleule tu .
 
Labda kwenye Video tu wameweka ProRes (iPhone 13 series) ila kwingine ni ufala uleule tu .
Weeeee usiseme hivyo kuna watoto wanatoa funguo za "mali zao" kwa ajili ya hiyo kitu mtagombana ohooo...😂

Cha ajabu wakizipata wanaishia kupiga na kupokea calls zaidi kuchukua picha nyuma ya kioo wakiwa kwenye pozi flani hivi kiuno kama wanakisusa!
 
Ujinga wa kwanza ni kufikiri ushindi kwenye vita unatokana na silaha tu. Gaddafi alikuwa amejaza masilaha ya Russia kwenye ghala zake lakini US walimdonoa kama Mwewe anavyochukua panzi bila hata boots on the ground.

Kwanza US wenyewe mpaka sasa wame beep tu katika aina ya Silaha walizotuma Ukraine. HIMARS walizotuma ni za range ya Km80 tu, wangetuma za Km500 waliweke eneo la Russia ndani ya target range ungeona Kremlin wakipiga kelele za Nyuklia Armageddon. Silaha za US kama makombora ya masafa marefu, nyambizi na fighter jets bado hazijagusa ardhi au maji ya Ukraine, Moscow pasingekalika na Homicidal dictator wao angebofya vitufe vya nuclear kujitoa mhanga na dunia yote inayomzunguka.
Unaandika kwa kujifurahisha sana..na kwa yale unayotamani kuyasikia....lkn ujue tu mapenzi na kuandika humu hakubadilishi matokeo ya vita huko uwanjani...Watu wanachanja mbuga tu huko na wananchi wananchi wanakufa kwa sababu ya misimamo isiyo na akili....
 
Kama unachanganyikiwa sana na hili jambo, chukua hii kwa ufupi. Ikiwa Russia ingetaka kuinunua Apple mwanzoni mwa mwaka huu ingehitaji GDP karibia za miaka yake miwili kufanikisha hilo.
Surely kwako tunapoteza mda, hapo umeandika GDP ukiwa hujui unazungumzia GDP ipi, Norminal au Purchasing Power Parity.

GDP norminal unailinganishaje kwenye matumizi ya kununua? Sorry lakini ukweli wewe ni hamnazo.

Taifa lako hilo ulilolifanya kama Mungu unaliabudu husikii lolote juu yake lina GDP Norminal of around 20 trillion dollar, Kwanini budget ya mwaka ya around dollar trillion 5 inakuwa na deficit? Tena Ya zaidi ya 1 trillion dollar? Ambapo in a matter of fact lazima akope!

Unapoiweka GDP in term of cash tupe majibu inakuaje mwenye 20trillion anatafuta mkopo nje kufidia budget ya 5 trillions dollar? Kaah! Na wewe hapo unajiona booonge la Great thinker?

Tanzania ina GDP ya zaidi ya Tanzania Shilling trillion 150, Kwanini mmekosa fedha za ujenzi wa reli ya SGR ulio na thamani ya around 14 hivi trillions hadi mnaenda kutafuta wafadhili nje kama GDP ndio inafanya manunuzi?

Ukiambiwa hesabu we ni chenga unalamika, unaposema jumla maana ake unajumlisha kilichopita na kilichopo, kama jana ulikuwa na 7, leo 5 hivyo jumla una 12.

If that's its true, kwamba ni Commulative value ya toka day one ianzishwe tumekuuliza huko kupungua kunatoka wapi huna majibu unaleta blah blah.

Maajabu unarudi kujifunga kua ni thamani yake iliyopo leo, na mwakani ikipungua itakuwa thamani yake mwaka huo, unasahau kama umetamka neno jumla huko nyuma.

Ndugu We huu upande huna ujualo zaidi ya ubishi wa kutafutia sababu za kuiponda Urusi kufurahisha nafsi yako. Na kuendelea kukupa attention kila reply ni sawa na kupoteza mda.
 
Mbona milima ya mawe Mwanza, Geita tu huku inafutika tu ....Mzee au iliwekwa na babaako!!??
Nitakujibu kutoka na jinsi unavyojibu
We kweli ni mtoto wa nzi na mtoto wa nzi huwa ni funza na mawazo yako pia yamekaa kifunza funza,
Vipi baada ya kuondoa milima walipabadili pakawa na bahari au uwezo wako wa kufikiri ndio umefika kikomo,
Ardhi ya mwenyezi Mungu itabaki kuwepo tu.
 

RUSSIAN CONQUEST CONTINUES!BREAKING NEWS: LISICHANSK NOW COMPLETELY SURROUNDED​


BREAKING NEWS: LISICHANSK NOW COMPLETELY SURROUNDED

Less than one week after conquering Severodonetsk, the Russian Army now has Lisichansk completely surrounded.
Several thousand Ukrainian troops are now trapped in a Cauldron into which no reinforcements or supplies can go.
The Russians are likely to give them all a chance to surrender, but that is not expected to go well. This weekend, all of those Ukraine troops will likely be killed.
Hal Turner Editorial Opinion
It's like this everywhere the Russians go in Ukraine. They surround the target, offer surrender, and those who fail to lay down their arms, are killed.
Over, and over, and over again, this same result.
NATO weapons are not making any difference at all.
Ukraine is losing the war and losing very badly. In fact, I believe Ukraine has no chance at all.
I said this on my radio show countless times since the hostilities began on February 24.
I have repeatedly made clear that Ukraine lost the moment Russian troops crossed the border into their country. It was over then. Only the politicians and "woke" generals couldn't see it.
The Russian Army is an almost unstoppable force.
Ukraine should surrender or at least SEEK peace.
The trouble is, Ukraine's word is no good. They enter into agreements like they did in Minsk, with zero intention of carrying out what they agree to. Even their former President, Poroshenko, admitted the entire Minsk Agreement deal was just to buy time for Ukraine to train and better equip their army. It was a complete farce from gitgo.
So Ukraine cannot be trusted. At all.
How many thousands of Ukrainian troops will be sent to the slaughter because their so-called "Leaders' refuse to surrender?
Negative Feelings About Russia - misplaced
I believe one of the reasons many Americans carry such negative feelings about the Russians is our collective failure to understand the price Russians paid to defeat Hitler. The sad truth is that most Americans have trouble identifying the warring parties in World War II and generally believe that terrible conflict was settled because of what America did….

So let me share with you some surprising facts. What were the five bloodiest campaign battles in World War II that cost the United States the most fatalities?

Battle of Normandy–June 6 to August 25, 1944. The United States lost 29,204 killed in action.

Battle of the Bulge–December 16, 1944 to January 28, 1945. KIA, 19,276.

Central Europe Campaign–March 22 to May 8, 1945. Fatalities totaled 15,009.

Battle of Okinawa–April 1 to June 22, 1945. Deaths are estimated between 14,000 and 20,000.

Philippines Campaign–December 8, 1941 to May 6, 1942. Approximately 13,000 KIA.
……………………….

Here are the top five Russian campaigns. They only fought the Germans. But the price in blood is staggering:

Battle of Leningrad–8 September 1941 – 27 January 1944. Total killed numbered 1,017,881.

Battle of Moscow–2 October 1941 – 7 January 1942. Russia lost 653,924 killed and missing.

Operation Barbarossa–22 June 1941 – 5 December 1941. Russia lost 566,852 killed in action

Battle of Stalingrad–23 August 1942 – 2 February 1943. Russia lost 478,741 killed or missing.

Battle of Kursk–5 July 1943 – 23 August 1943. Total fatalities were 432,317 killed or missing.

Let me state the difference in another way. Total U.S. killed in action in World War II in both the European, North African and Pacific Theaters totaled 472,000. The Russians lost more troops in four separate battles than the United States lost in the entire war.”

The Russian people did not fight because Stalin had a gun pointed at their back. They rallied in a remarkable way against the Nazi invasion. Most military analysts at the time predicted the Soviet Union would collapse under the weight of the Nazi steamroller. The Russian people defied those expectations and rallied to defeat the best of the German armies.

The horrific death toll touched almost every family in Russia. That is why the Russians still remember and commemorate that sacrifice every May. It has nothing to do with communism. World War II scarred the Russians to the bone. That is the primary reason that Vladimir Putin enjoys widespread public support in taking on the threat from Ukraine. Ukraine has been a de facto NATO ally since 2014.

The United States and NATO are grossly mistaken if they believe that flexing military muscle by deploying troops on Russia’s borders will cow the Russian people. This perceived threat goes beyond Putin. It is something most Russians see and fear. My hope is that once the American people appreciate the legitimate paranoia of the Russians, they will reject calls to treat Russia as an intractable enemy.
 
Back
Top Bottom