Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,449
- 23,124
Mimi siongezi neno,ili nikiri kwamba huu upuzi 👉LGQBTQA+ waingie wodi ya wazazi kudai haki zao👈Msemo wako bro, hapo ni kupoteza mda.
Shanghai Stock Exchange ina Market Cap ya Over 7 Trillion Dollar, kwa hiyo Shanghai Exchange ni kubwa kuliko mataifa yote duniani with exception ya US na China?
New York Stock Exchange, NYSE ina market cap of over 27 trillion dollar, so hiyo nayo ni kubwa kuliko taifa la US lenyewe? Hizo Exchange mbili, NASDAQ na NYSE zina total of Market cap ya over 49 trillion dollar, kwa hiyo zenyewe ni taifa la US mara 2 Plus Japan na Germany?
Mh, Huko ni zaidi ya kupagawa, ni zaidi ya kudata. Wasipokonda mwaka huu hawatokonda kamwe.
Na mimi leo niseme URRRRRAAAAA ha ha ha "Iskander", Mvua iendelee kunyesha tuone panapo vuja. Russia endeleza mkong'oto hadi LGQBTQA+ waingie wodi ya wazazi kudai haki zao.
waliouleta wanapaswa kuondolewa kwenye uso wa Dunia,Putin kazana tupo nyuma yako.