Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Msemo wako bro, hapo ni kupoteza mda.

Shanghai Stock Exchange ina Market Cap ya Over 7 Trillion Dollar, kwa hiyo Shanghai Exchange ni kubwa kuliko mataifa yote duniani with exception ya US na China?

New York Stock Exchange, NYSE ina market cap of over 27 trillion dollar, so hiyo nayo ni kubwa kuliko taifa la US lenyewe? Hizo Exchange mbili, NASDAQ na NYSE zina total of Market cap ya over 49 trillion dollar, kwa hiyo zenyewe ni taifa la US mara 2 Plus Japan na Germany?

Mh, Huko ni zaidi ya kupagawa, ni zaidi ya kudata. Wasipokonda mwaka huu hawatokonda kamwe.

Na mimi leo niseme URRRRRAAAAA ha ha ha "Iskander", Mvua iendelee kunyesha tuone panapo vuja. Russia endeleza mkong'oto hadi LGQBTQA+ waingie wodi ya wazazi kudai haki zao.
👏👏👏👏👏Kwako mtoa hoja.
👏👏👏👏👏Kwa🇷🇺
 
Ushoga huko Ukraine unahusiana vipi na uvamizi wa Putin kwenye nchi hiyo?

Pia ushoga una mahusiano gani na NATO? Uturuki ambayo nayo iko NATO ilisharuhusu Ushoga katika Katiba yake?

Wanaofahamu vizuri wanijuze haya yanahusiana vipi maana nimeona Pro Russia kila mara wakipenda kulizungumzia suala la ushoga na kulifanya ajenda muhimu sana katika huu uvamazi na wakiuhusisha na NATO pia ila mpaka sasa sijaweza kupata link kati mambo yao.
Wenye taifa lao wanasema hivi kwani mie Yoda au Fuso nitafute la kuwatetea kua sicho? Noooo [emoji23]

View attachment 2279334
 
Unajua haya unayoyaandika hapa unaandika kama maneno TU ya kawaida na wala hujali.
Lakini Mimi nakuambia Kuna watu wanaumia na kuugulia sana ndani ya mioyo Yao.
Wao Huwa wanaamini kuwa,Marekani haiwezekani kwa chochote.
Wanaamini Marekani ni kila kitu.
Kumbe Kuna vitu Marekani inaburuzwa kama mkia wa kenge.
Leo wanashuhudia kwa macho,wanaugulia ndani kwa ndani.
Hawa ndio walikua wanaamini kua Urusi ni taifa masikini na dhaifu sana,Leo wanashuhudia hao waliokua wanadhaniwa ni matajiri wenye nguvu za uchumi na kijeshi wanadhalilishwa na nchi moja TU Urusi,ambayo waliamini ni maskini.
Wewe uliwahi kuwaza siku moja nchi za ulaya zitaokota Kuni?
Kikwetu tuanaita kusenya Kuni.
Uliwaza watakua na kitu kama mgao wa umeme?
Bideni aliwaambia watu wake waendeshe baiskeli kubana matumizi ya mafuta.
Leo ulaya Kuna wakimbizi,hofu ya njaa,hofu ya baridi,hofu ya kuvamiwa au kupigwa,hofu ya mfumuko wa Bei,hofu ya kupunguzwa kazini.
Hata Ile Hali ya kuonekana TU kuwa Kuna silaha Urusi anazo Marekani sio TU kua Hana,maana wanaweza kusema Hana shida nazo,Bali kuona Marekani anatamani kuwa nazo lkn hawezi kutengeneza,
Kibaya zaidi kajaribu kutengeneza lakini kashindwa.
Hii inawauma sana.
Walisema Urusi itaishiwa Hela,haijaishiwa,
Itaishiwa silaha,haijaishiwa.
Nchi za NATO zimechangishana silaha wewe,lkn silaha hazijaonesha msaada,
Sasa wananchi wao wameanza kuandamana kuikataa NATO na kukataa Ukraine asipewe silaha.
Yote haya yamesababishwa na Urusi,nchi iliyoaminika kua ni dhaifu na masikini.
Leo Marekani wahuni killnet wamevamia kimtandao mifumo Yao ya Kodi,bado hawajaifufua.
Ukweli Kuna watu wanaumia sana kwa haya yanayomfika Marekani.

US kutoa sanctions alikua anaiua Russia maskini kumbe Russia walishasoma mchezo muda sana. Kinachotokea hesabu zote US zimefeli mbele ya Russia matokeo yake ameanza kuaibika hii operation inamvua sana nguo US na anavozidi kukaza ndo anazidi kutia AIBU, ushawishi wake uanazidi kuporomoka kwa kasi.

Biden ameshindwa tambua anadili na taifa la aina gani, before operation niliwaambia watu wengi wetu hatuijui Urusi zaidi ya kuisikia tokea tunazaliwa kupitia BBC na DW na ambao huwa hawawaongelei vzr Warusi, lkn warusi ni watu wanaijua historia yao na huwa mambo yao hayaamuliwi kwa ushawishi wa nguvu za nje, wao wanajua wanadili vp.

Nikawambia kipindi kile Russia kasogeza jeshi mpakani na Ukraine watu walisema Russia hana uwezo wa kuingia Ukraine atakutanaa na kichapo wengine wakasema Russia hawezi kukubali kupoteza project ya Nord stream 2. Niliwaambi Russia anaangalia na anajali usalama wa Taifa lake huo mradi kwake sio kitu watu walinishambulia sana, ona sasa Russia aliingia Ukraine zimebaki pambio tu.

Russia alijifunza sana kipindi cha crimea 2014 alijifunza sana akajipanga sasa waliyotegemea west imekua viceversa maisha ya wananchi wao yemekua magumu ila kwakua wameshikwa ndevu na US wanaogopa kutoa maamuzi kwaajili ya wananchi wao, mnasemaga africa hatuna akili ila hawa West wameonyesha ni mazombi.

West ni ngumu kushinda mbele ya Russia kwasababu Russia anawajua west vizuri Russia mpaka sasa anashinda vita ya uwanjani, kwenye uchumi mpaka propaganda zao amefanikiwa kuzizima. Taifa ambalo linabattle na nchi zaidi ya 30 kwenye vita, tech na bado anawakalisha kwangu Russia nampa heshima aseeee. Hyu ndo superpower kuzikalisha chini nchi hzo ambazo tunaambiwa ni tajiri na zina tech ya hali ya juu lakini zimeishia kuilalamikia Russia-Russia-Russia kwenye speech zao hapo nadhani mmeshajua SUPERPOWER ni nani.

Russia anawagonga kotekote wameishia vikao kila siku, sikuhzi hata wimbo wao wa sanctions hawaimbi tena. Kupitia hii operation west wakiongozwa na superpower wao wa mchongo US wametia aibu, dunia inaangalia inacheka kwa pembeni zile fujo zote walizokua wanafanya libya, serbia, iraq, yugoslavia wameshindwa mbele ya Russia[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

US hana uwezo wala ubavu wa kupigana na Russia na hilo lipo wazi hata awe na NATO wote hawawezi mziki wa Mrussi. Najua Pro US/NATO mnaumia sana ila ndo ukweli huo jamani msilie hao ndugu zenu ni maneno mengi ila Action ni zero.

GOD BLESS RUSSIA, GOD BLESS PUTIN
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

IMG_4102.jpg
 
Unajua haya unayoyaandika hapa unaandika kama maneno TU ya kawaida na wala hujali.
Lakini Mimi nakuambia Kuna watu wanaumia na kuugulia sana ndani ya mioyo Yao.
Wao Huwa wanaamini kuwa,Marekani haiwezekani kwa chochote.
Wanaamini Marekani ni kila kitu.
Kumbe Kuna vitu Marekani inaburuzwa kama mkia wa kenge.
Leo wanashuhudia kwa macho,wanaugulia ndani kwa ndani.
Hawa ndio walikua wanaamini kua Urusi ni taifa masikini na dhaifu sana,Leo wanashuhudia hao waliokua wanadhaniwa ni matajiri wenye nguvu za uchumi na kijeshi wanadhalilishwa na nchi moja TU Urusi,ambayo waliamini ni maskini.
Wewe uliwahi kuwaza siku moja nchi za ulaya zitaokota Kuni?
Kikwetu tuanaita kusenya Kuni.
Uliwaza watakua na kitu kama mgao wa umeme?
Bideni aliwaambia watu wake waendeshe baiskeli kubana matumizi ya mafuta.
Leo ulaya Kuna wakimbizi,hofu ya njaa,hofu ya baridi,hofu ya kuvamiwa au kupigwa,hofu ya mfumuko wa Bei,hofu ya kupunguzwa kazini.
Hata Ile Hali ya kuonekana TU kuwa Kuna silaha Urusi anazo Marekani sio TU kua Hana,maana wanaweza kusema Hana shida nazo,Bali kuona Marekani anatamani kuwa nazo lkn hawezi kutengeneza,
Kibaya zaidi kajaribu kutengeneza lakini kashindwa.
Hii inawauma sana.
Walisema Urusi itaishiwa Hela,haijaishiwa,
Itaishiwa silaha,haijaishiwa.
Nchi za NATO zimechangishana silaha wewe,lkn silaha hazijaonesha msaada,
Sasa wananchi wao wameanza kuandamana kuikataa NATO na kukataa Ukraine asipewe silaha.
Yote haya yamesababishwa na Urusi,nchi iliyoaminika kua ni dhaifu na masikini.
Leo Marekani wahuni killnet wamevamia kimtandao mifumo Yao ya Kodi,bado hawajaifufua.
Ukweli Kuna watu wanaumia sana kwa haya yanayomfika Marekani.
Kwa hali iliyopo sasa NATO wanajuta kwanini walimpa kiburi yule kijana bila kujua yajayo kama yatawashtua waliishi kwa plopaganda sana bila kunusa hatari ya mtu aliyekulia ubaridini na mwenye kifua kilichohifadhi matukio yaliyoikumba nchi yake kipindi cha Vita baridi.

NATO bado waliishi kwenye zama za mikwala na vitisho vya vikwazo vya kiuchumi kama turufu ngao yao dhidi ya taifa lolote lenye kuonesha au kugusa maslahi yao ndani ya umoja wao.
Leo hii Putin ameihakikishia nato na Dunia kwa ujumla kuwa kila lenye mwanzo huwa halikosi mwisho na muda ni Mwalimu mzuri Mimi binafsi naliona anguko la USA pamoja na nato yake.kwa sasa ndani ya nchi wanachama kuna vuguvugu kubwa juu ya kubadirika ghafla kwa mfumo mzima wa maisha kitu ambacho kimetabiliwa naweng kuwa ni moja ya dalili mbaya ya anguko la uchumi kuwahi kutokea kwa miaka ya hivi karibuni kama serikali zao hasitachukua tahadhari mapema.
 
Ni hivi RUSSIA sasa Ivi kupitia hii OP yuko kwenye interview kutuonyesha ana nini cha kutuofa sisi watu wa mawataifa mengine.

Haijaisha (OP) ila kapata KAZI anaichukua yeye kuanzia sasa

1. Kutupatia wataalamu wa mbinu za kivita.

2.Kutupatia wataalamu wa mifumo ya technology.

3.Kutupatia wataalamu wa mifumo bora ya biashara.

4.Kutupatia wataalamu wa maradhi ya binadamu ie corona imepotea kiaje wanajua RUSSIA.

5.Kutupatia wataalamu wa elimu ya uongozi wenye maono.

6.Kutupatia wataalamu wa elimu ya intelligence.

7.Kutupatia wataalamu wa elimu ya vinywaji na vyakula (refer macdonald na coke kupigwa marufuku)

8.Kutupatia wataalamu wa kulinda amana zetu.(RABBLE SAGA)

9.Kutupatia wataalam wa lishe bora(Putin hana kiriba tumbo)

Kumbuka dunia haing'ang'anii vya nyuma mmbadala bora ukipatikana.
Juzi nato wameona wivu anavovua shati

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 

Putin orders a huge Far Eastern oil and gas project be re-organised: Is Russia kicking the West out of key energy deals?​

The Kremlin has decided that ownership of the LNG operation should be changed to a new domestic entity
Putin orders a huge Far Eastern oil and gas project be re-organised: Is Russia kicking the West out of key energy deals?

© Getty Images / alvarez
President Vladimir Putin has signed a decree to transfer the rights of the giant Sakhalin-2 oil and liquefied natural gas project to a new Russian company. The move comes in response to actions from “unfriendly states” and could force out foreign stakeholders, including British and Japanese investors.
  1. What is Sakhalin-2?
    It is one of the world's largest LNG projects with an annual output of 12 million tons. The joint venture between Russia’s Gazprom, Japan’s Mitsui and Mitsubishi and UK-based Shell was launched in 2009. The facility is located on the Russian island of Sakhalin in the Pacific Ocean, north of Japan. It supplies LNG mainly to markets in Asia.
  2. Who are the stakeholders in the project?
    Sakhalin-2 was managed and operated by the Sakhalin Energy Investment Company. The majority stake (50%) plus one share belongs to Saint Petersburg energy giant Gazprom. Shell, the world’s largest LNG trader, holds a 27.5% minus one share stake, Mitsui’s share totals 12.5%, while Mitsubishi has a 10% stake in the project.
  3. What does Putin’s decree say?
    The presidential order creates a new Russian firm to take over all the rights and obligations of Sakhalin Energy Investment. Gazprom will retain its stake while the other partners have one month to indicate whether they want a share in the new company. If permission is denied by the Russian government, the stakes would be divested and the proceeds from the sale would be moved to a special account. The money could then be used to repay unspecified damages or be sent to the shareholder under the production sharing agreement, according to the decree. Those who chose to exit may not be fully compensated.
  4. Is Russia nationalizing the project?
    The change of ownership of Sakhalin-2 cannot be considered nationalization, according to Kremlin spokesman Dmitry Peskov. When asked by reporters on Friday whether other energy projects would follow, Peskov replied that each situation will be considered on a case-by-case basis.
  5. How have foreign stakeholders reacted?
    Shell said on Friday that the company was aware of the decree and was “assessing its implications.” The firm made clear its intention to quit the project months ago and has been in talks with potential buyers, including from China and India. Those plans appear to be in jeopardy.

    Japan has previously said it would not give up its interests in the Sakhalin-2 project, which is important for its energy security. Moscow earlier accused Japan of benefiting from its participation in the project while being an “unfriendly nation” that joined the West in placing sanctions on Russia. It won’t be easy for Japan to withdraw from the project, experts point out. Replacing Russian LNG from Sakhalin-2 would reportedly cost Tokyo $15 billion, with the price tag for imports jumping 35% if Mitsui and Mitsubishi opt out. But now Russia could make the decision for Japan and redirect its imports to other nations, such as China, India, or Vietnam.
  6. Could the changes hamper LNG supplies?
    Moscow sees no grounds for supplies to stop from Sakhalin-2 after the new operator takes over. However, some analysts warn the move may unsettle an already tight LNG market, taking into account that the European Union is adding to increased competition for liquified natural gas amid a global energy crunch. Sakhalin-2 supplies about 4% of the world’s current LNG market.
 
US kutoa sanctions alikua anaiua Russia maskini kumbe Russia walishasoma mchezo muda sana. Kinachotokea hesabu zote US zimefeli mbele ya Russia matokeo yake ameanza kuaibika hii operation inamvua sana nguo US na anavozidi kukaza ndo anazidi kutia AIBU, ushawishi wake uanazidi kuporomoka kwa kasi.


View attachment 2279354

Nimeandika nimefuta nimeandika tena nimefuta....😂😂😂😂😂😂ni hivii....

History never lies

Putin anaenda kukalia rasmi kiti cha kina Julius ceases, Alexander the great, Ghangis kan na chawa wake atakua Georg washington 😂😂😂😂.

Kitabu cha Zama hizi kitasomeka.

The era of Putin the great.
Kwa kua siku zote washindi ndio wanaoandika history.

Tunaimaniiii na Putinii oyaaa oyaaa oyaaa...Putin kweliii oyaaa kwelii Putin kweliii oyaaa
 

Putin orders a huge Far Eastern oil and gas project be re-organised: Is Russia kicking the West out of key energy deals?​

The Kremlin has decided that ownership of the LNG operation should be changed to a new domestic entity
Putin orders a huge Far Eastern oil and gas project be re-organised: Is Russia kicking the West out of key energy deals?

© Getty Images / alvarez
President Vladimir Putin has signed a decree to transfer the rights of the giant Sakhalin-2 oil and liquefied natural gas project to a new Russian company. The move comes in response to actions from “unfriendly states” and could force out foreign stakeholders, including British and Japanese investors.
  1. What is Sakhalin-2?
    It is one of the world's largest LNG projects with an annual output of 12 million tons. The joint venture between Russia’s Gazprom, Japan’s Mitsui and Mitsubishi and UK-based Shell was launched in 2009. The facility is located on the Russian island of Sakhalin in the Pacific Ocean, north of Japan. It supplies LNG mainly to markets in Asia.
  2. Who are the stakeholders in the project?
    Sakhalin-2 was managed and operated by the Sakhalin Energy Investment Company. The majority stake (50%) plus one share belongs to Saint Petersburg energy giant Gazprom. Shell, the world’s largest LNG trader, holds a 27.5% minus one share stake, Mitsui’s share totals 12.5%, while Mitsubishi has a 10% stake in the project.
  3. What does Putin’s decree say?
    The presidential order creates a new Russian firm to take over all the rights and obligations of Sakhalin Energy Investment. Gazprom will retain its stake while the other partners have one month to indicate whether they want a share in the new company. If permission is denied by the Russian government, the stakes would be divested and the proceeds from the sale would be moved to a special account. The money could then be used to repay unspecified damages or be sent to the shareholder under the production sharing agreement, according to the decree. Those who chose to exit may not be fully compensated.
  4. Is Russia nationalizing the project?
    The change of ownership of Sakhalin-2 cannot be considered nationalization, according to Kremlin spokesman Dmitry Peskov. When asked by reporters on Friday whether other energy projects would follow, Peskov replied that each situation will be considered on a case-by-case basis.
  5. How have foreign stakeholders reacted?
    Shell said on Friday that the company was aware of the decree and was “assessing its implications.” The firm made clear its intention to quit the project months ago and has been in talks with potential buyers, including from China and India. Those plans appear to be in jeopardy.

    Japan has previously said it would not give up its interests in the Sakhalin-2 project, which is important for its energy security. Moscow earlier accused Japan of benefiting from its participation in the project while being an “unfriendly nation” that joined the West in placing sanctions on Russia. It won’t be easy for Japan to withdraw from the project, experts point out. Replacing Russian LNG from Sakhalin-2 would reportedly cost Tokyo $15 billion, with the price tag for imports jumping 35% if Mitsui and Mitsubishi opt out. But now Russia could make the decision for Japan and redirect its imports to other nations, such as China, India, or Vietnam.
  6. Could the changes hamper LNG supplies?
    Moscow sees no grounds for supplies to stop from Sakhalin-2 after the new operator takes over. However, some analysts warn the move may unsettle an already tight LNG market, taking into account that the European Union is adding to increased competition for liquified natural gas amid a global energy crunch. Sakhalin-2 supplies about 4% of the world’s current LNG market.
Ukisikia Mguu kwa mguu ndo hii. Ila west walileta dharau sana kwa Russia.
 
1. Kama unataka kujifunza mbinu za kivita wasome Napoleon Bonaparte, Dwight Eisenhower, George Washington , Sun Tzu, Julius Caesar, Alexander the Great, Hannibal Barca. Hakuna mbinu zozote za maana na za zenye akili Russia walizo nazo katika huu uvamizi wao zaidi ya kitisho cha nyuklia na idadi kubwa ya wanajeshi wanaoweza kutumika kama canon fodder.

2.Kama unataka kujifunza teknolojia nenda Silicon Valley

3.Kama unataka wataalamu wa Mifumo ya Biashara nenda Havard na Stanford, Russia utajifunza U- Oligarchs(uchawa wa Kirusi) tu.

4.Kama unataka utaalamu wa Afya nenda Mayo Clinic. Pia Putin amechanja na bado anakaa kwenye meza ndefu mbali na wengine kuogopa Korona.

5.Elimu ya uongozi utakayoipata Russia ni ya kubadilisha badilisha katiba na Urais wa milele.

6.Kwenye intelligence CIA, Mossad na M16 ni mashirika nguli ya Intelligence. CIA walinyaka mipango ya uvamizi wa Putin Tangu December mwaka jana huku Putin akikana hataivamia Ukraine.

7.Coca Cola,.Pepsi, Burger za Macdonald na Kuku wa KFC utaendelea kula tu, tena unaweza hata kugombana na kumuacha Boyfriend wako akishindwa ku afford hivyo.

8.Amana zenu ziko kwenye USD wala usihangaike na Ruble.

Kama kuna mbadala wa vitu, bidhaa na huduma za US hautakuwa kutoka Russia bali nchi nyingine kabisa.
Huyo Napolean Bonaparte agekuwepo ungemuuliza kichapo alichopokea kutoka kwa russia hata mbinu zake hazikufua dafu..kiufupi aliingia pango la dubu mwenye watoto

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Duh...ni wapi free media zipo duniani?! Marekani?!?!?! Soma the propaganda model of the mass media ...Manufacturing Consent: The political economy of the mass media by Edward Herman and Noam Chomsky....hapo ndipo utajua Kama American media are free or not....
For your information freedom of the media is not absolute....in any part of this world the mass media have never been free...the media will always express the views of the elites in business, politics ...etc ...advertizers, owners...etc etc..

Unawafahamu wanaotawala Marekani?! Ni Military-industrial-complex ...
Hakuna kitu kinaitwa free elections...hcho kimetengenezwa tu uamini kuwa Kuna free elections...in fact some scholars wanaweka wazi kuwa democracy is the worst form of government...the tyranny of the majority...
Media ambazo ni mouth piece ya serikali hazina tofauti na zile media ambazo ni mouth piece ya elites...wawe kwenye business au politics...
"Presidents are selected not elected"
Former us president Franklin D Roosevelt

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom