Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

inawezekana hii vita ikaisha bila nyuklia kutumika
US kukwepa aibu lazma ataanzisha kutuma "Little Boy" pale Kremlin ila s-400, s-500 na s-550 hazitaruhusu upuuzi upenye so litaangushiwa baharini tu 😂😂😂 halafu kitachompata yeye na wajinga wenzie Washington itakuwa vumbi tu 😂😂😂 baada ya Satan-II kuangushwa mjini
 
Ujinga wa kwanza ni kufikiri ushindi kwenye vita unatokana na silaha tu. Gaddafi alikuwa amejaza masilaha ya Russia kwenye ghala zake lakini US walimdonoa kama Mwewe anavyochukua panzi bila hata boots on the ground.

Kwanza US wenyewe mpaka sasa wame beep tu katika aina ya Silaha walizotuma Ukraine. HIMARS walizotuma ni za range ya Km80 tu, wangetuma za Km500 waliweke eneo la Russia ndani ya target range ungeona Kremlin wakipiga kelele za Nyuklia Armageddon. Silaha za US kama makombora ya masafa marefu, nyambizi na fighter jets bado hazijagusa ardhi au maji ya Ukraine, Moscow pasingekalika na Homicidal dictator wao angebofya vitufe vya nuclear kujitoa mhanga na dunia yote inayomzunguka.
Ni ukweli usiopingika kuwa anabeep anaingia miguu huku kichwa kiko nje. Ni kweli anazo zenye range hiyo hata zaidi lkn ambazo sio effective. Zina interceptable kirahisi na ujue ikiwa zile watu wanaziamini kama uaminivyo wewe zikishindwa ni AIBU.
Biden mwanzoni alisema 5UTAHAKIKISHA RUSSIA hasongi mbele hashindi . Ukitaka kuamini first batch ya 40bil usd hadi leo 0.8bil usd, ameona anapigana na mtu tofauti.
Kumshinda Kadaffi LIbya pamoja na uwepo wa silaha nyingi unazodai ni kwa sababu alipandikiza mamluki ndani ya serkali ya Libya na wananchi kadhaa CIA alicheza hiyo . Jambo ambalo kiujajusi CIA haina chochote ndani ya Russia ilq kinyume chake. Snowden yuko Russia kama mkimbizi baada ya kuvujisha taarifa za kijeshi na kiusalama lkn CIA haiwezi kumgusa, kinyume chake kwa Usalama wa Russia wangenuulia Washington Dc.
Ukweli USA alone anachapwa na N. Korea au Iran pasipo ushirika. Uchumi anao ndio lkn mwingi ni wa swaga sawa na mwanaume nwenye pesa za kukamatia mademu lkn si tajiri

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
US kukwepa aibu lazma ataanzisha kutuma "Little Boy" pale Kremlin ila s-400, s-500 na s-550 hazitaruhusu upuuzi upenye so litaangushiwa baharini tu 😂😂😂 halafu kitachompata yeye na wajinga wenzie Washington itakuwa vumbi tu 😂😂😂 baada ya Satan-II kuangushwa mjini
nimegundua US ni muoga sana hawezi kutuma chochote
 
Kapagawa anatafuta Excuse ya kujifariji kuionesha Russia ni Dhaifu... Hapo kaenda kutafuta andiko lenye mitazamo kama yake ya kindengereko kisa kaandika mzungu 😂😂😂.
Msemo wako bro, hapo ni kupoteza mda.

Shanghai Stock Exchange ina Market Cap ya Over 7 Trillion Dollar, kwa hiyo Shanghai Exchange ni kubwa kuliko mataifa yote duniani with exception ya US na China?

New York Stock Exchange, NYSE ina market cap of over 27 trillion dollar, so hiyo nayo ni kubwa kuliko taifa la US lenyewe? Hizo Exchange mbili, NASDAQ na NYSE zina total of Market cap ya over 49 trillion dollar, kwa hiyo zenyewe ni taifa la US mara 2 Plus Japan na Germany?

Mh, Huko ni zaidi ya kupagawa, ni zaidi ya kudata. Wasipokonda mwaka huu hawatokonda kamwe.

Na mimi leo niseme URRRRRAAAAA ha ha ha "Iskander", Mvua iendelee kunyesha tuone panapo vuja. Russia endeleza mkong'oto hadi LGQBTQA+ waingie wodi ya wazazi kudai haki zao.
 
nimegundua US ni muoga sana hawezi kutuma chochote
Hawezi sababu vyuma vya maana hana yani urusi kamshika pabaya sababu anaweza akamzimia system zake tu nchi ikaenda gizani ghafla kisha akampiga kata funua za maana pasipo hata kutumia nyuklia 😂😂😂!

Liuthania atakula kipigo na msaada atakaopewa ni silaha tu.
 
Wokome,these people are stupid beyond comprehension.Sasa kama wanajua this will happen,why don't they take action to mitigate the situation??????Yaani Western Governments nia yao ni kuua wananchi wao,no doubt about it.Wananchi wa nchi za Ulaya na Marekani waamkee,vitendo vya viongozi wao vinaonyesha wazi kwamba vina nia ovu ya kuwa-exterminate kama agenda ya NWO ya Global Depopulation inavyo-stipulate.Yaani watu wanapelekwa kwenye Slaughter Palour wanakenua tu,ajabu sana.
 
Hawezi sababu vyuma vya maana hana yani urusi kamshika pabaya sababu anaweza akamzimia system zake tu nchi ikaenda gizani ghafla kisha akampiga kata funua za maana pasipo hata kutumia nyuklia 😂😂😂!

Liuthania atakula kipigo na msaada atakaopewa ni silaha tu.
ila hii vita bhn... anabigwa mdogo anadhalilika mkubwa 🤣🤣🤣
 
Ha ha ha ha haaaa! Ulipo tupo na spana juu. Nimefuatilia chanzo chako (Wikipedia) cha habari juu ya idadi za ndege vita. Chanzo chako cha habari kina mapungufu makubwa kiasi cha kutilia mashaka takwimu kilizotoa. Nitaeleza.

Kwenye chanzo hicho, inasemwa kufikia February 2022 Ukraine ilikuwa na :
I)Trainer aircraft 15, Surveillance 3, Attack/Close air support 31, na attack 12. Chanzo halisi cha habari ya Wikipedia ni "World Air Force 2022" ambayo mleta habari pale Wikipedia akisoma hiyo habari tarehe 14/12/2021! Bahati mbaya hatwambii kama Ukraine haikupokea ndege za namna hiyo tena kati ya December 2021 mpaka February 2022 ! Mashaka haya.
II) Unmanned aerial Vehicles(UAV) 6. Chanzo halisi cha habari hiyo kilichapishwa tarehe 5/10/2020! na mleta habari Wikipedia akisoma chanzo hicho cha habari tarehe 13/09/2021!! Halafu hapo hapo anatwambia kuwa mpaka February Ukraine ilikuwa na UAV 6 tu!

Kwa hiyo, maelezo mafupi haya juu ya takwimu ulizotupa binafsi naona yanatosha kutokukubaliana na maelezo yako kuwa Russia wanatudangaya juu ya takwimu wanazotoa. Hivyo, binafsi nadhani, wewe Mkuu ndiye unataka kutudanganya! Ukileta takwimu akikisha uwe umezichimba sawa sawa na kuzipiga msasa vinginevyo tutakutoa Baru Nazo ! Ha ha haaaa!

Tuendelee na mjadala.
Mkuu kwanza ninakusifu kwa kufuatilia vyanzo badala kunena tu!
Pili: tafadhali soma kwa umakini. Nimerejelea pekee "226 airplanes" kwenye taarifa ya Urusi.
Wewe unachanganya na droni (Unmanned aerial Vehicles) ambako tunajua Ulraine ilipata idadi kubwa mfululizo , hatujui, hivyo sikulinganisha!

Kuongezeka kwa ndegevita kutoka nje ni jambo lililojdiliwa sana hadharani mwanzoni (Poland ilitaka kutuma, iliogopa kidogo, iliomba kuzituma kupitia Marekani, ikasita, baadaye ilituma Mig29)
Slovakia ilituma baadaye.
Kwa jumla hayo yote ilihusu tu ndege za Kirusi (Kisovyeti) za zamani kama vile Mig 29 amazo zinaweza kutumiwa na Ukraine.
Maana kwa ndege nyingine(kutoka Marekani, Eurofighter, Saab) kipindi kirefu cha mafunzo inahitajika. Majadiliano yote yalihusu ndegevita zinazojulikana kwa marubani wa Ukraine, yaani ndege za zamani ya Kisovyeti .
Akiba ya ndege hizo katika nchi ya NATO si kubwa.
Kwa hiyo naona namba katika jedwali si vibaya, pia nikilinganisha na World Air Force 2022.
Menginevyo jedwali inaingiza pia zile SU25 kutoka Bulgaria zilizofika mwezi wa April tu nielewa vema habari ya Oryx (angalia tanbihi kwenye takwimu)
 
Msemo wako bro, hapo ni kupoteza mda.

Shanghai Stock Exchange ina Market Cap ya Over 7 Trillion Dollar, kwa hiyo Shanghai Exchange ni kubwa kuliko mataifa yote duniani with exception ya US na China?

New York Stock Exchange, NYSE ina market cap of over 27 trillion dollar, so hiyo nayo ni kubwa kuliko taifa la US lenyewe? Hizo Exchange mbili, NASDAQ na NYSE zina total of Market cap ya over 49 trillion dollar, kwa hiyo zenyewe ni taifa la US mara 2 Plus Japan na Germany?

Mh, Huko ni zaidi ya kupagawa, ni zaidi ya kudata. Wasipokonda mwaka huu hawatanenepa hawatokonda kamwe.

Na mimi leo niseme URRRRRAAAAA ha ha ha "Iskander", Mvua iendelee kunyesha tuone panapo vuja. Russia endeleza mkong'oto hadi LGQBTQA+ waingie wodi ya wazazi kudai haki zao.
Chukua hii hapa tena muendelee kujisokota nayo.
Screenshot_20220702-132500_Chrome.jpg
Screenshot_20220702-132411_Chrome.jpg
 
Wokome,these people are stupid beyond comprehension.Sasa kama wanajua this will happen,why don't they take action to mitigate the situation??????Yaani Western Governments nia yao ni kuua wananchi wao,no doubt about it.Wananchi wa nchi za Ulaya na Marekani waamkee,vitendo vya viongozi wao vinaonyesha wazi kwamba vina nia ovu ya kuwa-exterminate kama agenda ya NWO ya Global Depopulation inavyo-stipulate.Yaani watu wanapeleka kwenye Slaughter Palour wanakenua tu,ajabu sana.
Mkuu, nisipokosei sana viongozi wq nchi unazotaja wanasikia madai ya idadi kubwa ya wananchi wao wachukuie hatua kali zaidi kusaidia Ukraine. Naona nch mbalimbali ambako viongozi walikemewa sana eti walisita mno. Mfano Ujerumani, Uholanzi. - Nchi nyingine kama Uswidi na Finland viongozi walibadilisha msimamo kuhusu NATO kutokana na madai ya wanachi wao.
Tafadhali ukumbukle: Nchi hizo kuna uchaguzi, si vigumu kuondolewa kwa njia ya kura.
Pia katika nchi hizo hawana uwezo kudhibiti runinga, redio na magazeti jjinsi anavyoweza Mzee Pution kwake Urusi. Kwao si rahisi vile kulenga habari jinsi wanavyoona,
 
⚡️Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine (July 2, 2022)

The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation in Ukraine.

◽️The enemy suffers considerable losses on all fronts.

◽️3 battalions from 10th Mountain Assault and 72nd Mechanised brigades have lost over 50% of personnel near Verkhnekamenka and Zolotaryovka just in the past 24 hours.

💥Russian Aerospace Forces have launched a high-precision attack at provisional base of 1st Battalion from 30th Mechanised Brigade deployed near Artyomovsk. The attack has resulted in the elimination of up to 120 Ukrainian servicemen and about 15 units of military equipment.

◽️In addition, Russian aviation has neutralised a provisional armament and military equipment storage base of 10th Mountain Assault Brigade deployed at the territory of a tractor plant in Kharkov. The attack has resulted in the elimination of up to 30 servicemen and 10 units of armoured and motor vehicles.

Russian Federation Armed Forces continue launching attacks at military facilities located in Ukraine.

💥High-precision attacks launched by Russian Aerospace Forces have resulted in the elimination of 5 command posts of the Armed Forces of Ukraine (AFU) near Artyomovsk and Chasov Yar (Donetsk People's Republic), Pervomayskoye, Zelyony Gay and Barmashovo (Nikolayev region), 3 munitions depots near Shevchenkovo and Novogrigorovka (Zaporozhye region), as well as AFU manpower and military equipment in 32 areas.

💥Within the counter-battery warfare, high-precision attacks launched by Russian Aerospace Forces have resulted in the neutralisation of 4 MRLS plattoons near Novoluganskoye, Zhelannoye, Berdychi and Vozdvizhenka from where the AFU had been shelling the settlements of the Donetsk People's Republic.

✈️💥Operational-tactical and army aviation, missile troops and artillery have neutralised: 39 AFU command posts, 2 munitions depots near Nikolayev, as well as manpower and military equipment in 302 areas.

◽️Russian air defence means have shot down 1 MiG-29 of the Ukrainian Air Force near Yavkino (Nikolayev region).

💥19 Ukrainian UAVs have been shot down near Voskresenovka, Glinskoye, Pitomnik, Zhovtnevoye, Rubezhnoye, Petrovka (Kharkov region), Rabotino, Novodanilovka (Zaporozhye region), Petrovskoye, Popasnaya, Kremennaya (Lugansk People's Republic), Snezhnoye, Vysokoye, Yasinovataya, Donetsk, Makeyevka, Dokuchayevsk, Komsomolskoye (Donetsk People's Republic).

◽️4 MRLS projectiles have been intercepted near Yasinovataya, Mineralnoye (Donetsk People's Republic) and Chernobayevka (Kherson region).

📊 In total, 227 airplanes and 134 helicopters, 1,430 unmanned aerial vehicles, 353 anti-aircraft missile systems, 3,886 tanks and other armored combat vehicles, 702 combat vehicles equipped with multiple rocket-launching systems, 3,073 field artillery cannons and mortars, as well as 3,954 units of special military equipment have been destroyed during the special military operation.

#MoD #Russia #Ukraine
@mod_russia_en
 
Mkuu, nisipokosei sana viongozi wq nchi unazotaja wanasikia madai ya idadi kubwa ya wananchi wao wachukuie hatua kali zaidi kusaidia Ukraine. Naona nch mbalimbali ambako viongozi walikemewa sana eti walisita mno. Mfano Ujerumani, Uholanzi. - Nchi nyingine kama Uswidi na Finland viongozi walibadilisha msimamo kuhusu NATO kutokana na madai ya wanachi wao.
Tafadhali ukumbukle: Nchi hizo kuna uchaguzi, si vigumu kuondolewa kwa njia ya kura.
Pia katika nchi hizo hawana uwezo kudhibiti runinga, redio na magazeti jjinsi anavyoweza Mzee Pution kwake Urusi. Kwao si rahisi vile kulenga habari jinsi wanavyoona,
They should go to the streets.Kiongozi asiyefaa anaweza kuondolewa by Peoples' Power,ni ujinga tu uliokithiri.So wasubiri wafe!!!!!!????
 
Hivi hawa jamaa wanafaidika nini na huu ujinga?

Hii ni biashara na sisi ndio soko lao ila namshukuru Mungu kwa kutupa jirani mwema RUSSIA anaetupambania sisi sote.

Sitaki hata kuvimention ni ushetani mtupu tunawapenda kaka,baba,mjomba,vijana wa kiume wabaki na uhalisia wao ili kuendeleza kizazi kwa njia ya asili.

Mungu ibariki RUSSIA Mungu ibariki Africa.
 
Hawezi sababu vyuma vya maana hana yani urusi kamshika pabaya sababu anaweza akamzimia system zake tu nchi ikaenda gizani ghafla kisha akampiga kata funua za maana pasipo hata kutumia nyuklia 😂😂😂!

Liuthania atakula kipigo na msaada atakaopewa ni silaha tu.
Huu mkwara waliutoa miaka 11 imepita sasa, No Action Just Blah blah tu...

Penta.png
 
View attachment 2278975
🇺🇸 Russian hackers took down the entire network of the US Federal Tax Service, it has not yet been restored.

Payments, declarations, tax reports were submitted through the site, now everything is happening in a slow, "paper" mode. ⚔️

Hii ni BREAKING NEWS

inatangazwaga usiku wa manane heeeeeeeeeee yaaani RUSSIA wamefanya MAPINDUZI ya VITA hilo halina ubishi haaaaaa haaaaaa.

A+ A+ A+ hawana mpinzani Yoda najua ubongo upo ila ni mahaba.

Una nini cha kutuambia.
 
Menginevyo jedwali inaingiza pia zile SU25 kutoka Bulgaria z
Jedwali (Nina imani unamaanisha la kule Wikipedia) lipo wazi. Karibu Kila idadi ya ndege iliyotajwa imewekewa chanzo cha habari hiyo, kwenye jedwali sijaona chanzo kinachoeleza kuwa Kuna ndege zimetoka Bulgaria na kufika Ukraine April. Kwanza kwa ndege zilizotoka nchi za Ulaya kwenye jedwali hilo, sehemu ya remarks wamesema "the undisclosed countries" kuonyesha hawataki kusema Silaha hizo zimetoka wapi.

Hii nimekujibu kabla ya kuingia kwenye makabrasha yangu...maana napenda kuweka ushahidi mara nyingi.
 
Back
Top Bottom