Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu naona uko mbali sana na maisha halisi. Katika nchi tunazojadili, wananchi wana haki kujadili mawazo yao, kuthibitisha na kuondoa serikali.
Media zao zina kasoro nyingi lakini zina uhuru kukosoa serikali.
Je unatambua uhuru huo katika nchi gani ?
Mbona unashindwa ku-present mawazo yako vizuri?Kama ni msomi,you need to go back to school.Kama ningekuwa your lecturer I would give you 30%!
 
IMG_20220703_092402_659.jpg

[emoji845]Share with all your friends in Russia[emoji845]

The total estimated losses of the Russian army for today.

#StopPutin #StopRussia

======
Yet we keep loosing cities everyday, Wakuu nataka kuleft hii source, wanapiga sana Propaganda.
 
Mbona unashindwa ku-present mawazo yako vizuri?Kama ni msomi,you need to go back to school.Kama ningekuwa your lecturer I would give you 30%!
Mkuu naona hupendi kujadili yale ambayo mimi napenda kuangalia. Kwa hiyo ninashukuru kwa 30% zako . Tafadhali tumalize gumzo.
 
Woote sasa tutaicheza hii ngoma....... Mpaka sie watu wa bara letu la giza tuanze kuzisaka hizo currency za hugo mwamba, ila ni bora tumepewa option ya kununua ili tuje kuziba huu upungufu wa ngano

Kwa upande wangu sioni kama ni adhabu hii Dunia ni ya ushindani mwenye nguvu mpishe.

Hata sisi hapa tukitaka watalii,madini,mazao na huduma zilipiwe kwa shilingi inawezekana ni kuwa na POWER havisemwi kwa mdomo.

Otherwise niwajibu sio ombi au makubaliano ni mchezo wa kubadili sarafu au kufata matakwa kila anapochanua mwenye NGUVU.
 

Lukashenko Says Ukraine Fired Missiles At Belarus​


Belarusian President Alexander Lukashenko on Saturday said his army had shot down missiles fired into their territory from Ukraine and vowed to respond "instantly" to any enemy strike.
"We are being provoked," Lukashenko was quoted as saying by state news agency Belta. "I must tell you that around three days ago, maybe more, they also tried to strike military targets in Belarus from Ukraine.
"Thank God, our Pantsir anti-air systems intercepted all the missiles fired by the Ukrainian forces."
Ukraine last week said missiles fired from Belarus had struck a border region inside its territory.
Lukashenko on Saturday denied his country was seeking to intervene in the conflict between Russia and Ukraine, but issued a warning aimed at Kiev and its Western allies.
"As I said more than a year ago, we do not intend to fight in Ukraine," he said
"We will only fight in one case. If you... enter our land, if you kill our people, then we will respond," he added, warning that Belarus would reply "instantly" to an enemy strike on its soil.
Long-term Kremlin ally Belarus has supported Russia's military operation in Ukraine since February 24 by acting as a rear base for Moscow's forces.
Russian President Vladimir Putin announced last week that Moscow would deliver Iskander-M missiles capable of carrying nuclear weapons to Belarus "in the coming months".
"Less than a month ago, I ordered our armed forces to put in our sights the decision centers in Western capitals," Lukashenko said on Saturday, citing the missiles promised by Putin and the Belarusian rocket-launcher Polonez.
 
Russia imeongeza bidhaa zinazopaswa kulipiwa kwa rubo,

Nafaka zote Sasa kulipiwa kwa rubo[emoji4][emoji116]View attachment 2279628

Sent using Jamii Forums mobile app

Unaporusha jiwe gizani unaweza mpiga hata mtoto wako bila kujua,,, ni vyema umpelekee mtu Jiwe lake....

Putin naona anawapelekea watu Mawe yao,,, na hapa ameshika pabaya sana.... Ameminya pumbu... Lazima Wanaume wakae....

Acha tuendelee kusubiri,,,, Wazee wa NATO muda utawafundisha... Kati ya Propaganda(makelele) na Action(Vitendo) nini kina nguvu.... Putin anafundisha hilo.
 

Lukashenko Says Ukraine Fired Missiles At Belarus​


Belarusian President Alexander Lukashenko on Saturday said his army had shot down missiles fired into their territory from Ukraine and vowed to respond "instantly" to any enemy strike.
"We are being provoked," Lukashenko was quoted as saying by state news agency Belta. "I must tell you that around three days ago, maybe more, they also tried to strike military targets in Belarus from Ukraine.
"Thank God, our Pantsir anti-air systems intercepted all the missiles fired by the Ukrainian forces."
Ukraine last week said missiles fired from Belarus had struck a border region inside its territory.
Lukashenko on Saturday denied his country was seeking to intervene in the conflict between Russia and Ukraine, but issued a warning aimed at Kiev and its Western allies.
"As I said more than a year ago, we do not intend to fight in Ukraine," he said
"We will only fight in one case. If you... enter our land, if you kill our people, then we will respond," he added, warning that Belarus would reply "instantly" to an enemy strike on its soil.
Long-term Kremlin ally Belarus has supported Russia's military operation in Ukraine since February 24 by acting as a rear base for Moscow's forces.
Russian President Vladimir Putin announced last week that Moscow would deliver Iskander-M missiles capable of carrying nuclear weapons to Belarus "in the coming months".
"Less than a month ago, I ordered our armed forces to put in our sights the decision centers in Western capitals," Lukashenko said on Saturday, citing the missiles promised by Putin and the Belarusian rocket-launcher Polonez.
lengo hapo ni moja ni Baralus kugawana Western Ukuraini na Mrusi, hapo kinacho tafutwa ni "pretext cause" au kisingizio cha kuingia kwenye vita awe upande wa Urusi.
Sidhani kama Ukuraini itabaki na eneo la kujifanya iwe tishio tena kwa Urusi itabakiza tu jina, na huenda ikawa landlocked bila bahari, nina wakika baada ya Donibas Region lazima Urusi aipige odesa ndo hapa atamalizia oparation yake Ukuraini bye bye Nato imekuponza vibaya.
 
📹 Russian Defence Ministry shows footage of Western MD Tor-M1 tactical air defence system crews in combat action within special military operation

▫️Tor-M1 systems are capable of neutralising all types of aerial vehicles within its ranges of altitude and distance.

#MoD #Russia #Ukraine
@mod_russia_en

 
💢 Ukrainian statisticians calculated the chances of harm or death to a conscripted Kievan sent to the Donbass:

▪️Return alive and unharmed - 30%
▪️Captivity - 10%
▪️Injury - 40%
▪️Death (immediately or in hospital from wounds) - 20%

@NewResistance
 
Ukraine ilikuwa inaitishia vipi Urusi?
lengo hapo ni moja ni Baralus kugawana Western Ukuraini na Mrusi, hapo kinacho tafutwa ni "pretext cause" au kisingizio cha kuingia kwenye vita awe upande wa Urusi.
Sidhani kama Ukuraini itabaki na eneo la kujifanya iwe tishio tena kwa Urusi itabakiza tu jina, na huenda ikawa landlocked bila bahari, nina wakika baada ya Donibas Region lazima Urusi aipige odesa ndo hapa atamalizia oparation yake Ukuraini bye bye Nato imekuponza vibaya.
 
Ndio maana Macroni ameshinda Urais na mpinzani aliyekuwa na sera za kinyume na NATO akashindwa.
Mkuu, kwa bahati mbaya hueleweki. Nani aende barabarani kwa kusudi gani?

Nilieleza hapo juu ni dhahiri viongozi wa EU wanafuata matakwa ya idadi kubwa ya wananchi wao. Katika mfumo wao wa kisiasa wanategemea kura ya wananchi wao si rahisi kwenda kinyume kabisa.

Inaonekana mashambulio ya Urusi dhidi ya Ukraine yamesababisha hofu na hasira kati ya mataifa ya Ulaya na kuwahamasisha washikamane zaidi, pamoja na kusaidia Ukraine.

Hapo naona viongozi wanafuata, ambayo inaeleza mabadiliko ya ghafla katika mwelekeo wa viongozi wa nchi kama Uswidi, Finland na Ujerumani.
 
View attachment 2279686
[emoji845]Share with all your friends in Russia[emoji845]

The total estimated losses of the Russian army for today.

#StopPutin #StopRussia

======
Yet we keep loosing cities everyday, Wakuu nataka kuleft hii source, wanapiga sana Propaganda.
Kaa Kaa kwanza! Na kama hiyo source inatoa ruhusa ya kutoa maoni, wakosoe kuwa mnazidisha uongo!!!
 
View attachment 2279686
[emoji845]Share with all your friends in Russia[emoji845]

The total estimated losses of the Russian army for today.

#StopPutin #StopRussia

======
Yet we keep loosing cities everyday, Wakuu nataka kuleft hii source, wanapiga sana Propaganda.



Maamuzi mazuri Sana, Ukraine wanatoa takwimu tu,alafu wanazidi kurudisha nyuma,Juzi tu wamepoteza severodentsk,sasa hivi kuna tetesi kuwa lysichask inakaribia kuanguaka.
 
Ndio maana Macroni ameshinda Urais na mpinzani aliyekuwa na sera za kinyume na NATO akashindwa.
Bunge Je!?
Kura za Urais mara nyingi huko Ulaya na Marekani uamuliwa na "elites", hivyo na Ufaransa haijapona katika hilo. Kura za wawakilishi ndizo hutoa mwelekeo halisi wa siasa na matamanio ya wananchi wa nchi hizo! BBC wanasema hivi juu ya uchaguzi wa Ufaransa.
- - -

French elections: Macron loses majority as French vote fragments​

  • By Paul Kirby
  • In Paris
19 June 2022
Updated 20 June 2022


T
French President Emmanuel Macron greets supporters as he arrives to vote in the second round of French parliamentary elections, at a polling station in Le Touquet-Paris-Plage, France, June 19, 2022

IMAGE SOURCE,REUTERS
Image caption,
President Macron has fallen well short of winning the 289 he needed to keep control of the Assembly
Less than two months after he was re-elected president, Emmanuel Macron has lost control of the French National Assembly following a strong performance by a left alliance and the far right.
He had called on voters to deliver a solid majority.
But his centrist coalition lost dozens of seats in an election that has left French politics fragmented.
The prime minister he had only recently appointed, Elisabeth Borne, said the situation was unprecedented.
====
Tuendelee na mjadala huu wa operation denazification and demilitarization huko Ukraine.
 
Back
Top Bottom