Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

View attachment 2279686
[emoji845]Share with all your friends in Russia[emoji845]

The total estimated losses of the Russian army for today.

#StopPutin #StopRussia

======
Yet we keep loosing cities everyday, Wakuu nataka kuleft hii source, wanapiga sana Propaganda.
Cheats!! If true, why Ukraine don't drive out Russia from even 1% potential areas under total control of Russian army?

Next time you need to have reasonable mind balance of anything before exposing it.

This is not even propaganda but completely exposing lies of NATO
 
Ulaya na Marekani zitabaki kama zililivyo miaka 200 na zaidi ijayo. Utaendelea kuona democracy, human rights, separation of powers, rule of law, Liberal economies, due process na free media Ulaya na US kwa maisha yako yote.

Utaendelea kuona Warusi, Waafrika, na Waarabu wakikimbilia kuishi na kuficha utajiri wao Ulaya na US.

Utamaliza kuandika conspiracy zote na utakufa utaenda kuzimu na chuki zako ukiyaacha mambo hayo yametamalaki Ulaya na US na kwingine kwingi duniani hata nchini kwako ikiwezekana.
Kusudi linaeleweka mkuu.Ni kuzitoa madarakani serikali dhalimu za nchi za Ulaya na Marekani.Nani afanye hiyo kazi,wanao-amini wanakandamizwa,kuonewa na kuuliwa kwa njia mbali mbali.Nani aorganize,watu wapo, ila tatizo ni wananchi wenyewe kutambua kwamba wana hitaji ukombozi.Watu wengi hawajui kwamba ni watumwa,wanauliwa na wanahitaji kutolewa kwenye makucha ya watesi wao na wauaji.Shida ni kutokujitambua.People are simply Zombies.
 
Kaa Kaa kwanza! Na kama hiyo source inatoa ruhusa ya kutoa maoni, wakosoe kuwa mnazidisha uongo!!!
Hakuna sehemu ya maoni mkuu, jana usiku walitoa taarifa Lischansk ipo under Ukrainian Control kumbe imechukuliwa. Wanatwambia tusambaze hiyo Poster field hali ngumu inafahamika. Tunamdanganya nani kwa faida zipi
 
free media Ulaya na US kwa maisha yako yote.
Free Media??? Haupo serious!!!
===
Wameifunga "Info War" na kwa Kuzuia isitoe taarifa zake kwenye mitandao ya kijamii, wameizuia RT na Sputnik News zilizokuwa zinatoa alternative opinions kwa walaji wa habari huko Ulaya na Marekani...mifano ipo mingi!

Eti "human right",
Wamewafunga waandamanaji wa kupinga ghiriba zilizomuweka Joe madaraka zaidi ya miezi kadhaa bila kuwafikisha mahakamani kinyume cha katiba yao na Sheria!

Najua huwezi kusema ni sababu zipi zinafanya liwepo vuguvugu la Black Lives Matters huko Marekani !
===
Turudi kwenye mjadala wa operation denazification and demilitarization huko Ukraine.
 
lengo hapo ni moja ni Baralus kugawana Western Ukuraini na Mrusi, hapo kinacho tafutwa ni "pretext cause" au kisingizio cha kuingia kwenye vita awe upande wa Urusi.
Sidhani kama Ukuraini itabaki na eneo la kujifanya iwe tishio tena kwa Urusi itabakiza tu jina, na huenda ikawa landlocked bila bahari, nina wakika baada ya Donibas Region lazima Urusi aipige odesa ndo hapa atamalizia oparation yake Ukuraini bye bye Nato imekuponza vibaya.

Unaweza kukuta Mbelarusi anajipiga kofi ili apate sababu ya kuingia Ukraine ivii inaingia akili kwelii 😂😂😂 Ukraine wanavyolalamika kushambuliwa,morali ya wanajeshi imeshuka, casualties ni kubwa alafu aweze kunyanyua mkono upande mwingine.

NB:-

Nimekumbuka Hitler alivyojishambulia na kumsingizia Poland na akamvamia.

Hawa Ukraine wasipokaa sawa kila jirani atajimegea waache wakaze shingo.
 
Belarus wanajeshi wanatia Saini kugoma kuingia vitan na Ukraini
IMG_20220703_110514.jpg
 
"Elites" ni watu gani? Nitajie mifano ya watu wanne ambao ni Elites huko Ufaransa na US.

Nchi gani nyingine duniani uliwahi kuona Rais aliye madarakani analalamika kuibiwa kura na mpinzani huku chama chake kikipinga madai yake? Nitajie nchi moja ya namna hiyo.
Bunge Je!?
Kura za Urais mara nyingi huko Ulaya na Marekani uamuliwa na "elites", hivyo na Ufaransa haijapona katika hilo. Kura za wawakilishi ndizo hutoa mwelekeo halisi wa siasa na matamanio ya wananchi wa nchi hizo! BBC wanasema hivi juu ya uchaguzi wa Ufaransa.
- - -

French elections: Macron loses majority as French vote fragments​

  • By Paul Kirby
  • In Paris
19 June 2022
Updated 20 June 2022


T
French President Emmanuel Macron greets supporters as he arrives to vote in the second round of French parliamentary elections, at a polling station in Le Touquet-Paris-Plage, France, June 19, 2022

IMAGE SOURCE,REUTERS
Image caption,
President Macron has fallen well short of winning the 289 he needed to keep control of the Assembly
Less than two months after he was re-elected president, Emmanuel Macron has lost control of the French National Assembly following a strong performance by a left alliance and the far right.
He had called on voters to deliver a solid majority.
But his centrist coalition lost dozens of seats in an election that has left French politics fragmented.
The prime minister he had only recently appointed, Elisabeth Borne, said the situation was unprecedented.
====
Tuendelee na mjadala huu wa operation denazification and demilitarization huko Ukraine.
 
Dunia ya sasa,malighafi na chakula ni muhimu kuliko dollar. Hii ya nafaka kwa ruble,itaihusu dunia nzima. Wale waliotarajia ruble kuanguaka,watasubiri Sana.
Hakika[emoji4][emoji106]
Na sisi tulipaswa kufanya Hivi kwa bidhaaz zetu zote tunazoexport, Tsh ingekua mbali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Woote sasa tutaicheza hii ngoma....... Mpaka sie watu wa bara letu la giza tuanze kuzisaka hizo currency za huyo mwamba, ila ni bora tumepewa option ya kununua ili tuje kuziba huu upungufu wa ngano
Na sisi tulipaswa kufanya hivyo kwa tanzanite.

Inasikitisha Sana eti ndani ya Tanzania,tanzanite inauzwa kwa dollar.

Iko wapi thamanu ya pesa yetu[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom