Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ulisikia kutoka kwa nani?

Elites wanapatikana vipi kupitia ujasusi?

Huo mfumo wa ujasusi unaowapata Elites unawekwa na nani?
Nilisikia wanapatikana kupitia ujasusi.

Na wewe ndio mtaalamu wa ujasusi.

Nifundishe kidogo huwa mnapatikanaje?
 
Hao Apple wanapotea steve jobs aliondoka na apple yake sahv apple hawana mpya hawana ubunifu. Mimi nimetumia iphone zote matoleo yote na mpaka sasa natumia latest. Iphone walikua zamani sahv limebaki jina ndomana ukifuatilia mauzo yao yanashuka daily.

Hakuna iphone itakayokuja fikia sales za iphone 6 na iphone SE hakuna kipindi hicho ukizungumzia iphone kweli iphone.
I phone now wanakimbizana na mikamera hadi unajiuliza Hawa wanataka niwe camera man unakuta wanakuja kuweka kitu ambacho watajinasibu nacho ukija kuchunguza unakuta Kuna simu ilikuwa na hivyo vitu couple of years ago wenyewe ndo wanaitroduce Sasa walichofanikiwa kutushika maskio tu
 
Nimetambua kwamba West pamoja ba bwana yao US intel yao inagwaya ikifika kwa Putin.

Yaani hadi raha. Kwanza US na wake zake wanabwabwaja kila siku, wanakuwa na makongamano zaidi ya elfu moja kwa wiki, mataifa yale yale, watu wale wale ila miungano tofauti wakitafuta kumdhibiti mwamba ila wapi!.

Marshal Vladimir Putin wala hana muda wa kuongea sana, yeye anawaangalia tu kwa mbaaaaali huku kipchapo kikisambazwa kutokea kila upande. Ukraine anaimega kadiri muda unavyokwenda, na uchumi wa US na EU inapigwa mabomu ya kimya kimya.

Taifa likiwa na kiongozi mwenye maono, maamuzi na jasiri ni raha sana.

Siku hizi media za Magharibi na Marekani zimebaki kuchambua maendeleo ya vita kama akina Alex Lwambano wanavyochambua mchezo wa mpira wa miguu pale redio klausi.

Marekani na West wanaongea weeeee, mikwara waliyoanza nayo utadhani kweli Urusi safari hii ndo imekwisha. Kumbe Putin alishalifikiria na kuipigi hesabu zote. Kila wakipachika hiki, wanakutana na kitasa tu, silaha wametuma Ukraine mpaka wamechoka maana zinaunguzwa kama makaratasi.

Nina imani kubwa sana na Mwamba Vladimir Putin.

Anagawa kipigo kitakatifu na ninapenda sana kuona hivyo. Nina amani na furaha kubwa moyoni.

Viva Marshal Vladimir Putin.
Nawe mwandishi umeandika kwa utulivu sana Hadi NAMI nimepata raha moyoni.
Umeandika "ukweli mtamu".
Maana humu Kuna msemo husema "ukweli mchungu".
Sasa wewe kwa upande wangu umeandika ukweli mtamu ingawa najua Kuna watu watauona ni ukweli mchungu.
Urusi imeiamsha Dunia.
Urusi Sasa hivi inaungwa mkono hadharani na sirini.
Maana Kuna nchi zikiondkana zinaunga mkona hadharani zitavurugwa na Marekani.
Ila Urusi akimaliza op kwa ushindi basi nchi zinazounga mkono sirini zitajitokeza na kuunga mkono hadharani.na huo ndio utakua mweshi wa uonevu wa Marekani hiyo ndio kile kinachoitwa "balance of power "
 
Unaitazama na kuilewa dunia, Geopolitics mifumo yake kirahisi sana kama mtoto mdogo anayefikiri kisukari kinatokana tu na kunywa chai yenye sukari nyingi.

Geopolitics ni ngumu kuliko Physics au Math, sio sawa na mahesabu ya moja ukijumlisha moja tu inakuwa mbili.
Nawe mwandishi umeandika kwa utulivu sana Hadi NAMI nimepata raha moyoni.
Umeandika "ukweli mtamu".
Maana humu Kuna msemo husema "ukweli mchungu".
Sasa wewe kwa upande wangu umeandika ukweli mtamu ingawa najua Kuna watu watauona ni ukweli mchungu.
Urusi imeiamsha Dunia.
Urusi Sasa hivi inaungwa mkono hadharani na sirini.
Maana Kuna nchi zikiondkana zinaunga mkona hadharani zitavurugwa na Marekani.
Ila Urusi akimaliza op kwa ushindi basi nchi zinazounga mkono sirini zitajitokeza na kuunga mkono hadharani.na huo ndio utakua mweshi wa uonevu wa Marekani hiyo ndio kile kinachoitwa "balance of power "
 
IMG_20220703_122401_483.jpg


💢 Yesterday afternoon, Russian forces broke through the Ukrainian defensive line at Zolotarevka north of the Lisichansk Oil Refinery.

You can see how the situation has evolved over a few days.

All we see in different spots here, are Ukrainian forces surrounded, pushed back, and in collapse.

Now Russians are advancing on Belogorovka, the same settlement that they tried to take in early May 2022 with substantial equipment losses.

@NewResistance
 
Bunge Je!?
Kura za Urais mara nyingi huko Ulaya na Marekani uamuliwa na "elites", hivyo na Ufaransa haijapona katika hilo. Kura za wawakilishi ndizo hutoa mwelekeo halisi wa siasa na matamanio ya wananchi wa nchi hizo! BBC wanasema hivi juu ya uchaguzi wa Ufaransa.
- - -

French elections: Macron loses majority as French vote fragments​

  • By Paul Kirby
  • In Paris
19 June 2022
Updated 20 June 2022


T
French President Emmanuel Macron greets supporters as he arrives to vote in the second round of French parliamentary elections, at a polling station in Le Touquet-Paris-Plage, France, June 19, 2022

IMAGE SOURCE,REUTERS
Image caption,
President Macron has fallen well short of winning the 289 he needed to keep control of the Assembly
Less than two months after he was re-elected president, Emmanuel Macron has lost control of the French National Assembly following a strong performance by a left alliance and the far right.
He had called on voters to deliver a solid majority.
But his centrist coalition lost dozens of seats in an election that has left French politics fragmented.
The prime minister he had only recently appointed, Elisabeth Borne, said the situation was unprecedented.
====
Tuendelee na mjadala huu wa operation denazification and demilitarization huko Ukraine.

Da ila pro Russia aisee mko vizuri.
Mna uwezo sana wa kuzima hoja dhaifu, propaganda na upotoshaji wote wa pro NATO kwa hoja na ushahidi.
Aisee pro NATO wenye akili wamejikalia pembeni aisee wanaatazama kwa mbali TU.

Big up sana Ndugu TUJITEGEMEE uko vizuri aisee.
 
Free Media??? Haupo serious!!!
===
Wameifunga "Info War" na kwa Kuzuia isitoe taarifa zake kwenye mitandao ya kijamii, wameizuia RT na Sputnik News zilizokuwa zinatoka alternative opinions kwa walaji wa habari huko Ulaya na Marekani...mifano ipo mingi!

Eti "human right",
Wamewafunga waandamanaji wa kupinga ghiriba zilizomuweka Joe madaraka zaidi ya miezi kadhaa bila kuwafikisha mahakamani kinyume cha katiba yao na Sheria!

Najua huwezi kusema ni sababu zipi zinafanya liwepo vuguvugu la Black Lives Matters huko Marekani !
===
Turudi kwenye mjadala wa operation denazification and demilitarization huko Ukraine.
👏👏👏👏👏👏👏👏👏
 
MoD Russia:
⚡️ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine (July 3, 2022)

📑 Part 1 (read Part 2)
📑 Part 1 (read Part 3)

▫️ The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation in Ukraine.

▫️ Successful offensive of Central group of troops commanded by Colonel General Aleksandr Lapin have resulted in establishing contol in Verkhnekamenka, Zolotaryovka, Belogorovka, reaching Seversky Donets river and having cordoned Lisichansk in coordination with Southern group of troops commanded by General of the Army Sergey Surovikin.

▪️ Ukrainian group of troops has been completely isolated in this pocket. 38 Ukrainian servicemen, whose major part constitute local residents forcibly mobilised by the Armed Forces of Ukraine (AFU), have surrendered in this area just over the past 48 hours.

▫️ Russian troops and units of the Lugansk People's Republic are fighting near Lisichansk and defeating the isolated enemy. Novodruzhevsk, Maloryazantsevo and Belaya Gora located near Lisichansk had been liberated over the past day.

▪️ The enemy suffers considerable losses on all fronts.
54th Mechanised Brigade of the AFU has lost over 60 per cent of personnel and equipment near Maryinka (Donetsk People's Republic) during several days. The rest of the personnel is demoralised and refuse to fulfil combat tasks.

💥✈️ High-precision attacks launched by Aerospace Forces near the eastern part of Kharkov has resulted in the elimination of provisional base of 127th Separate Territorial Defence Brigade.

💥 The attack has resulted in the elimination of over 100 Ukrainian servicemen and 15 units of equipment.

💥 Up to 120 'soldiers of fortune' have been eliminated by an attack launched by Russian Aerospace Forces at a base of foreign mercenaries.

💥 A unit of 5th Separate Assault Regiment from 1st Separate Brigade of the President of Ukraine has been eliminated near Spornoye (Donetsk People's Republic). 18 Ukrainian militants have been eliminated, 2 of them have surrendered, and the rest have escaped.

#MoD #Russia #Ukraine
@mod_russia_en

⚡️ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine (July 3, 2022)

📑 Part 2 (read Part 1)
📑 Part 2 (read Part 3)

▫️ Russian Federation Armed Forces continue launching attacks at military facilities located in Ukraine.

💥 High-precision attacks launched by Russian Aerospace Forces have resulted in the elimination of 10 command posts near Spornoye (Donetsk People's Republic), Lepetikha (Nikolayev region), Zelenodolsk (Dnepropetrovsk region), 7 munitions depots near Konstantinovka, Bakhmut (Donetsk People's Republic), Malaya Shesternya (Kherson region), Visunsk, Nikolayevka and Polyana (Nikolayev region), as well as AFU manpower and military equipment in 15 areas.

💥 Within the counter-battery warfare, high-precision attacks launched by Russian Aerospace Forces have resulted in the neutralisation of 3 artillery and 5 mortar plattoons near Verkhnekamenskoye (Donetsk People's Republic), Belogorovka, Maloryazantsevo, Zolotaryovka (Lugansk People's Republic).

💥✈️ Operational-tactical and army aviation, missile troops and artillery have neutralised: 32 AFU command posts, 1 munitions depot, as well as manpower and military equipment in 287 areas.

💥 Russian air defence means have shot down 2 Su-25 of Ukrainian Air Force near Dibrovnoye (Kharkov region) and Kvitnevo (Nikolayev region).

💥 10 Ukrainian unmanned aerial vehicles have been shot down near Novoye (Zaporozhye region), Volnovakha, Donetsk (Donetsk People's Republic), Dmitrovka, Izyum, Berezovka and Kupyansk (Kharkov region).

▫️ 8 MRLS projectiles have been intercepted, including 4 laucnhed by HIMARS near Stakhanov (Lugansk People's Republic) and 4 launched by Uragan near Popasnaya (Lugansk People's Republic) and Kamenka (Kharkov region) and near the city of Donetsk.

📊 In total, 229 airplanes and 134 helicopters, 1,440 unmanned aerial vehicles, 353 air defence missile systems, 3,893 tanks and other armored combat vehicles, 704 combat vehicles equipped with multiple rocket-launching systems, 3,078 field artillery cannons and mortars, as well as 3,979 units of special military equipment have been destroyed during the special military operation.

#MoD #Russia #Ukraine
@mod_russia_en

⚡️ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine (July 3, 2022)

📑 Part 3 (read Part 1)
📑 Part 3 (read Part 2)

▫️ Tonight, from 03.00 AM to 03.30 AM (Moscow time), the Kiev regime launched an intentional attack by Tochka-U ballistic missiles with cluster munitions and Tu-143 Reys unmanned aerial vehicles at the residential areas of Belgorod and Kursk that have no military facilities.

❗️ I emphasise that this missile attack had been intentionally planned and was launched at civilian population of Russian cities.

▫️ Russian air defence means have destroyed all the 3 Tochka-U ballistic missiles launched by Ukrainian nationalist at Belgorod. Fragments of one of the destroyed Ukrainian missiles fell down at a residential buildings in the city.

▫️ In addition, Russian air defence means have destroyed 2 Ukrainian Tu-143 Reys unmanned aerial vehicles charged with explosives while approaching Kursk.

#MoD #Russia #Ukraine
@mod_russia_en

#MoD #Russia #Ukraine
@mod_russia_en
 
Belarus wanajeshi wanatia Saini kugoma kuingia vitan na UkrainiView attachment 2279735
Endeleeni kujipa matumaini hewa
Mida sio mingi saaana komedian anaenda kupigwa mande
Hao wasiotaka kuenda vitani wangekua hata mamodo basi kuliko kuchagua kazi ya ujeda
Huu mwaka huu western wamepatikana mnooo maana PUT IN kawa OUT SMART

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuzingirwa kwa Mariupol:miezi miwili na Nusu

Kuzingirwa kwa Severodonetsk: karibu mwezi

Ila kuzingirwa kwa Lyschansk: siku kumi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Halafu wanakimbilia seversk kwa waliojaribu kuchomoka kabla hawajazingira,
wakati ni kilomita 17 toka Lyschansk,
Lakini pia majeshi ya Urusi yanaweza kuwashambulia kutokea Lyman.

Hapa usalama wao ni kurudi nyuma mpaka Mji wa Dnipro ili majeshi ya Ukraine yaweze kupata supply Toka kiev au kharkiv.

Mtihani upo kwa majeshi ya Urusi, baadae wakiiteka Seversk,

Itabidi wachague kuipiga kati ya Bakhmut au Sloviansk au yote kwa pamoja ila mji wa Kramatorsk utabaki salama kwa muda mpaka hapo hiyo miji miwili itakapo anguka.
Aisee unavyoongea utadhani upo Ukraine yaani ni mwendo wa ukipita hapa utatokea kule na ukipitia huko utafika pale hatari.
sikuwezi mkuu
 
Back
Top Bottom