Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nasikia Ukraine amerusha makombora ya ballistic kwenda urusi yametua Belgorod na kuua watatu nasubiri majibu.
 
Bunge Je!?
Kura za Urais mara nyingi huko Ulaya na Marekani uamuliwa na "elites", hivyo na Ufaransa haijapona katika hilo. Kura za wawakilishi ndizo hutoa mwelekeo halisi wa siasa na matamanio ya wananchi wa nchi hizo! BBC wanasema hivi juu ya uchaguzi wa Ufaransa.
- - -

French elections: Macron loses majority as French vote fragments​

  • By Paul Kirby
  • In Paris
19 June 2022
Updated 20 June 2022

T
French President Emmanuel Macron greets supporters as he arrives to vote in the second round of French parliamentary elections, at a polling station in Le Touquet-Paris-Plage, France, June 19, 2022

IMAGE SOURCE,REUTERS
Image caption,
President Macron has fallen well short of winning the 289 he needed to keep control of the Assembly
Less than two months after he was re-elected president, Emmanuel Macron has lost control of the French National Assembly following a strong performance by a left alliance and the far right.
He had called on voters to deliver a solid majority.
But his centrist coalition lost dozens of seats in an election that has left French politics fragmented.
The prime minister he had only recently appointed, Elisabeth Borne, said the situation was unprecedented.
====
Tuendelee na mjadala huu wa operation denazification and demilitarization huko Ukraine.
Mkuu, mfumo wa Ufaransa ni tofauti kidogo. Maana hata kura za bunge hazionyeshi mawazo ya wananchi moja kwa moja kutokana na mfumo wao. Kwenye uchaguzi wa rais wananchi wanapewa mwishoni uchaguzi kati ya wagombea wawili tu waliotoka kwa kura nyingi katika awamu ya kwanza. Hapa Macron alishinda salama.
Katika uchaguzi wa bunge mfumo ni tata kidogo. Awamu ya kwanza vyama vingi hugombea viti vya majimbo ya uchaguzi tu unapohitaji asilimia 50 kwa ushindi. Awamu ya pili wagombea waliopata angalau asilimia 12.5 wanaweza kurudi. Mwenye kura nyingi zaidi anachaguliwa.
Jinsi ilivyo katika mifumo hii, ushindi unawezakana katika jimbo moja hata kama mshindi anapokea chini ya asilimia 30 za kura, kama vyama 4 vina nguvu katika jimbo hilo.
Kwa hiyo ukitaka picha ya maoni ya wananchi inafaa zaidi uangalie asilimia za kitaifa (ingawa ni tofauti na idadi ya wabunge):
Vyama vinavyotaka kupunguza ushirikiano katika Umoja wa Ulaya na NATO (wawakilishi kadhaa -si wote- wanataka kuondoka) ni Front National ya LePen na France Insurmise ya Melenchon. Kwa pamoja walipata asilimia 25 za kura nchini, si zaidi. Bungeni walipata viti zaidi kutokana na mfumo wa kura.

Hata hivyo, wabunge wanaosimama upande wa EU na NATO ni zaidi ya nusu ya wabunge wa Ufaransa: hasa Chama cha Macron, Chama cha Republicaine, na pia wabunge walioingia katika ushirikiano wa vyama pamoja na Melenchon.
 
Mkuu, mfumo wa Ufaransa ni tofauti kidogo. Maana hata kura za bunge hazionyeshi mawazo ya wananchi moja kwa moja kutokana na mfumo wao. Kwenye uchaguzi wa rais wananchi wanapewa mwishoni uchaguzi kati ya wagombea wawili tu waliotoka kwa kura nyingi katika awamu ya kwanza. Hapa Macron alishinda salama.
Katika uchaguzi wa bunge mfumo ni tata kidogo. Awamu ya kwanza vyama vingi hugombea viti vya majimbo ya uchaguzi tu unapohitaji asilimia 50 kwa ushindi. Awamu ya pili vyama wagombea waliopata angalau asilimia 12.5 wanaweza kurudi. Mwenye kura nyingi zaidi anachaguliwa.
Jinsi ilivyo katika mifumo hii, ushindi unawezakana katika jombo moja hata kama mshindi anapokea chini ya asilimia 30 za kura, kama vyama 4 vina nguvu katika jimbo hilo.
Kwa hiyo ukitaka picha ya maoni ya wananchi inafaa zaidi uangalie asilimia za kitaifa (ingawa ni tofauti na idadi ya wabunge):
Vyama vinavyotaka kupunguza ushirikiano katika Umoja wa Ulaya na NATO (wawakilishi kadhaa -si wote- wanataka kuondoka) ni Front National ya LePen na France Insurmise ya Melenchon. Kwa pamoja walipata asilimia 25 za kura nchini, si zaidi. Bungeni walipata viti zaidi kutokana na mfumo wa kura.

Hata hivyo, wabunge wanaosimama upande wa EU na NATO ni zaidi ya nusu ya wabunge wa Ufaransa: hasa Chama cha Macron, Chama cha Republicaine, na pia wabunge walioingia katika ushirikiano wa vyama pamoja na Melenchon.
 
⭕️ وزیر دفاع روسیه از آزادسازی کامل لوهانسک خبر داد

🔰 سرگئی شویگو، وزیر دفاع روسیه، ولادیمیر پوتین رئیس جمهور این کشور را از آزادسازی کامل جمهوری خلق لوهانسک مطلع کرد.

⭕️The Minister of Defense of Russia announced the complete liberation of Luhansk

🔰Russian Defense Minister Sergei Shoigu informed President Vladimir Putin about the complete liberation of the Luhansk People's Republic.

🆔بروکر جهانی ZTE-Forex
 
Hii vita itamfanya mrusi
View attachment 2279685
The German tabloid Bild published a critical story about the supply of German equipment to Ukraine.

On June 21, Germany delivered PzH 2000 to Ukraine. In fact, these are one of the most expensive and high-tech self-propelled howitzers in the world.

Footage appeared confirming that in the Donbass, the Russian military for the first time knocked out a super-powerful PzH 2000 with the help of the German Panzerfaust, which the separatists received as a trophy from the Armed Forces of Ukraine.

Now Olaf Scholz considers it necessary to increase the military budget at least 2 times. Under Angela Merkel, we recall, the defense budget of Germany was 43 billion euros. Germany is not at war with anyone and no one threatens her: in fact, the Germans pay for weapons for Ukraine, but in the end it ends up in the hands of the Russians.

The knocked-out PzH 2000 howitzer is already being studied by Russian military experts. Germany is losing money and technology, are German politicians definitely working for the good of Germany? How much more will you have to pay for Ukraine, what will be the price for Germany?
agundue madhaifu na teknojia nyingi za NATO
 
Ndio maana Macroni ameshinda Urais na mpinzani aliyekuwa na sera za kinyume na NATO akashindwa.
Yes, Le pen ameshindwa uraisi na tunakubali[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

Lakini chama chake kimegain vingi kwa sababu ya msimamo wao.

1) kupata viti vingi vya ubunge hivyo kumfanya macron kutounda serikari ya peke yake bila upinzani.

2)kuaminika kwa chama Chao kutoka 10% mpaka 40% kwa Wafaransa.

3) Maamuzi mengi ya serikari ya ufaransa yatahitaji baraka ya chama Cha kina Le pen ili maamuzi sahihi ya nchi yapite.

4) Kuongeza ushawishi kwa vyama vingine vya kisiasa. Mfano Republican ambacho ndio kilikuwa muhimili wa Macron, Sasa wanashirikiana na Chama Le pen.

5) Mazungumzo ya sasa kati ya Le pen na . macron.
Le pen amesema wazi yatazingatia Maslahi ya Wafaransa na Chama Chao na sio vinginevyo.
 
Shida nimoja tuuu
Munaandika mambo makubwa sana sio kwamba munaemuandikia sio mkubwa ama hataelewa hapana
Shida nikwamba wanajitoa sana ufahamu mpaka wanakuaje cjui
Hua naona sana Galip Vrl na wengine wanamtia sana jamaa darasa ila anakaza NDONGA
sio mbaya mpeni tu elimu asiponufaika yeye watanufaika wajao
RUSSIA TAIFA TEULE!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magimbi, mahindi, viazi mbatata, kisamvu, mafuta ya kula, petroli/dizeli vinapatikana kwa urahisi hata ukiwa kilaza kama sio mvivu ila iPhone, gari, mtambo wa solar, CT Scan, sindano ya kukudunga, na Chanjo za TB, Polio na ndui vinakuhitaji uwe smart sana kuvipata/kuviunda.
Kuna watu wanasifia iPhone, Apple sijui wakivikosa watakufa wanasahau umuhimu wa gchakula
 
Back
Top Bottom