TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
Tunashukuru sana!Pongezi kwa pro russia wote hapa jukwaani kwa mchango mkubwa mnaoonyesha kupangua hoja dhaifu.
Tunashukuru sana!Pongezi kwa pro russia wote hapa jukwaani kwa mchango mkubwa mnaoonyesha kupangua hoja dhaifu.
Mji mzima ulichukuliwa usiku mkuuHabari njema sana hizi
Juu hapo nlimwambia mtu mpaka kufikia katikati ya week ijayo natumaini kubwa sana kwamba hilo litakua eneo huru nasalama sana chini ya RUSSIA
RUSSIA TAIFA TEULE
Sent using Jamii Forums mobile app
Japan anaenda kupoteza dollar billion 15 kwa kiherehere chake 😂😂😂 ofcourse ni unfriendly nation alieshabikia sanctions towards Russia. Pigo baya sanaputin anakwenda kuwachinja wajapan na waingereza wanaomiliki hisa kwenye sakhalin-2. kampuni itamilikiwa na wazawa pekee wakiwemo gazprom
Vladmir lenin[emoji4][emoji4][emoji4]Zipo mkuu lete address yako utumiwe
Mkuu zimepotezeaje hizo $bil 15Japan anaenda kupoteza dollar billion 15 kwa kiherehere chake 😂😂😂 ofcourse ni unfriendly nation alieshabikia sanctions towards Russia. Pigo baya sana
Russia imeongeza bidhaa zinazopaswa kulipiwa kwa rubo,
Nafaka zote Sasa kulipiwa kwa rubo[emoji4][emoji116]View attachment 2279628
Sent using Jamii Forums mobile app
Imeshachukuliwa mkuu tangu usikuHapana si vile. Kwanza ujifunze kuandika majina ya Kirusi na Kiukraine. Mji unaitwa Lysichansk
pili haikuanguka (wala kutekeleza wala kuruka wala kulala).
Lysichansk bado inatetewa na jeshi la Ukraine. Ingawa kwa matatizo, hatujui watafaulu kutetea kwa muda gani.
Usichafushe jukwaa hii na propaganda ya Kadyrov.
Woote sasa tutaicheza hii ngoma....... Mpaka sie watu wa bara letu la giza tuanze kuzisaka hizo currency za huyo mwamba, ila ni bora tumepewa option ya kununua ili tuje kuziba huu upungufu wa nganoRussia imeongeza bidhaa zinazopaswa kulipiwa kwa rubo,
Nafaka zote Sasa kulipiwa kwa rubo[emoji4][emoji116]View attachment 2279628
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamefukuzwa that's why wamefanya evacuation. Ukraine ilifanya coordinated directed attack na Urusi pale ikawahi kuondoka hadi ikaacha baadhi ya silaha kisha baadae ikatuma ndege kuja kudondosha mabomu kuziharibu. Bisheni nilete video Bwana UtamJe wamefukuzwa kama ulivyo sema au wameondoka wenyewe maana wewe kuna post ulisema Russia wamefurushwa
Bi Mkubwa ana la kujifunza hapaRussia imeongeza bidhaa zinazopaswa kulipiwa kwa rubo,
Nafaka zote Sasa kulipiwa kwa rubo[emoji4][emoji116]View attachment 2279628
Sent using Jamii Forums mobile app
Thamani ya uwekezaji wake hapoMkuu zimepotezeaje hizo $bil 15
Mkuu naona uko mbali sana na maisha halisi. Katika nchi tunazojadili, wananchi wana haki kujadili mawazo yao, kuthibitisha na kuondoa serikali.Kusudi linaeleweka mkuu.Ni kuzitoa madarakani serikali dhalimu za nchi za Ulaya na Marekani.Nani afanye hiyo kazi,wanao-amini wanakandamizwa,kuonewa na kuuliwa kwa njia mbali mbali.Nani aorganize,watu wapo, ila tatizo ni wananchi wenyewe kutambua kwamba wana hitaji ukombozi.Watu wengi hawajui kwamba ni watumwa,wanauliwa na wanahitaji kutolewa kwenye makucha ya watesi wao na wauaji.Shida ni kutokujitambua.People are simply Zombies.
Mkuu sielewi swali lako. Nimeweka link, Kila mtu anaweza kuangalia jedwali. Katika historia yake anaweza kuona jinsi gani lilipata uhariri. Anaweza kulinganisha kama jedwali linatumia data za vyanzo vyake sawa. Ukiona vyanzo si sahihi , tafadhali lete data na vyanzo.Vipi kuhusu tanbiki 57?
Labda, lichote lile jedwali Zima ulilete hapa wanaJF nao waone kwa mapana yake kinachojadiliwa, na utuhakikishie hujaenda kufanya editing kwenye jedwali.