Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ndoto za.mchana ,baada ya mwezi huu Urusi out of Ukraine
Sawa mkuu usijali, kama malengo yote ya Urusi yakitimia ndani ya huu mwezi basi mwezi ujao itaondoka ila kama yatakuwa bado hayajatimia basi itaendelea kuwepo mpaka pale itakapoona yenyewe imetosha na malengo yamefikiwa.

Kwahiyo Mkuu nakushauri uendelee kunywa maji mengi ili moyo uelee usije patwaa na stress plus pressure bure, JF bado tunakuhitaji mkuu UPOPO
 
juzi mlipoambiwa Marekani ndiyo nchi ya kwanza duniani kwa uzalishaji mkubwa wa Gesi mkabakia midogo wazi.
Mkuu kuwa mzalishaji mkubwa sio tatizo, tatizo nikuwa hicho mnachozalisha kinatosha kwa matumiz yenu?.

Mfano, wewe nimfanyakazi unalipwa mshahara wa milion mbili kama net pay , lakini unafamilia ya watu kumi wanaokutegemea Kwa Kila kitu, jirani yako nimfanyakazi kazi pia analipwa mshahara wa mil 1 net pay lakini anafamilia ya watu wawili wanaomtegemea Kwa Kila kitu, utaona utofauti hapo yupi yupo financial stable kati ya hao wafanyakazi wawili. Yule anaelipwa mshahara mkubwa lakini anawategemezi wengi, au yule anaelipwa mshahara wakawaida lakini anawategemezi wachache.

Akili mkichwa boss.
 
Wakuu source zangu hazina taarifa za matumaini
=======
The Ukrainian military has received less training in recent weeks, making it difficult for them to use the new weapons systems in combat against the Russian armed forces. This is reported by Foreign Poliсu, citing officials from Ukraine.

The publication notes that in Kyiv they complain that they were not provided with some of the elements necessary for the use of weapons. For example, they did not receive fire control systems from the United States. At the same time, American and European officials say they are deliberately slowing down the introduction of the HIMARS artillery system, because the Ukrainian military needs to be trained to use it.
Kuna kila dalili lile kundi la wanajeshi waliokuwa wanapewa mafunzo toka 2014 limemalizwa sasa wanaokoteza marcenary na kuwafundisha Kwa muda mfupi
 
kujiunga na NATO hakijakuwa ujinga kwa mtu makini. na ndiyo maana tunaona Poland na Sweeden wamejiunga majuzi. Naona Putin his days are numbered, warusi wenzake wanakaribia kumgeuka.
NATO walimdanganya mwenzao ona sasa anararuliwa alafu wao nchi zao ziko salama
IMG_20220704_101423_883.jpg
 
Nitashangaa sana kama mrusi ataendelea kupigana vita hii kwa miaka 2, kama itakuwa hivyo jamaa atadhoofu sana kiuchumi.

Vita inatumia akiba yako yoote !! na mbaya zaidi unagombana na mtu anayepewa ma billion ya dolari kwa siku, lazima utachoka tu.
 
Britain plans to confiscate frozen Russian assets and transfer them to Ukraine.

According to The Guardian, this proposal was made today by British Foreign Secretary Liz Truss at a conference in Switzerland.

According to Truss, this initiative will probably require changes in the country's legislation. “I support this concept. We are considering it very carefully, ”the publication quotes her.

Earlier, plans to confiscate and transfer seized Russian assets to Ukraine were announced in the US Department of Justice.

Also, G7 members intend to explore options for providing support to Kyiv, including using the frozen assets of the Russian Federation.
20220502_010825 (1) (1) (1) (1).png
 
Volodin @vv_volodin, in response to the idea of the mayor of Lappeenranta to place a NATO base on the border with the Russian Federation, recalled that in the event of the outbreak of hostilities, strikes are made primarily on the enemy’s military infrastructure.

“In his opinion, this will create a sense of security. Wrong. Placing NATO bases will not protect either Finland or Sweden. Vice versa. It will jeopardize the residents of cities where the military infrastructure will be located, ”the State Duma speaker wrote in the Telegram channel.

This idea, we recall, was made by Kimmo Järvu, the mayor of the city of Lappeenranta. The distance from it to Russian Vyborg is less than 100 km.

20220502_010825 (1) (1) (1) (1).png
 
Nitashangaa sana kama mrusi ataendelea kupigana vita hii kwa miaka 2, kama itakuwa hivyo jamaa atadhoofu sana kiuchumi.

Vita inatumia akiba yako yoote !! na mbaya zaidi unagombana na mtu anayepewa ma billion ya dolari kwa siku, lazima utachoka tu.
Rasilimali zilizopo Russia ni nyingi sana na dunia inazihitaji sana gesi pekee ni trilioni za kutosha kwa mwezi achana na mafuta na vitu vingine kuidhoofisha ile nchi sio jambo jepesi Russia inalipwa pesa nyingi sana kwa mwezi na hizo nchi zinazo ipatia Ukraine misaada
 
MK254 , nilikwambia utakimbia hili jukwaa ukabisha,njoo huku sasa.

Jukwaa ningelikimbia kama mngeiteka Kiev, ila sasa mpo tu kwenye yale yale, hamna kikubwa, kuteka tumiji twa huko sijui wapi kama Katavi.
Huto tumiji tumewapa shida sana nyie watu, aibu sana.
 
Nitashangaa sana kama mrusi ataendelea kupigana vita hii kwa miaka 2, kama itakuwa hivyo jamaa atadhoofu sana kiuchumi.

Vita inatumia akiba yako yoote !! na mbaya zaidi unagombana na mtu anayepewa ma billion ya dolari kwa siku, lazima utachoka tu.
Hii kauli toka vita inaanza mnaisema mlisema hawezi kupigana vita kwa mwezi, mara miezi 2 sasa naona mmefikia miaka 2
 
juzi mlipoambiwa Marekani ndiyo nchi ya kwanza duniani kwa uzalishaji mkubwa wa Gesi mkabakia midogo wazi.
Mkuu unapotoa hoja mbele za watu wenye akili jaribu kuficha ujinga wako.
Nani hafahamu kama USA ndo largest producer wa natural gas duniani?

Je nikweli hujui kuwa producer mkubwa wa kitu flani haimanishi kuwa wewe ndo unamiliki hicho kitu kwa asilimia kubwa?

Nikweli hujui kuwa suala la Production ni industrial technology oriented na siyo Quantity oriented?

Nikweli hujui USA mwenyewe ana import natural gas kutoka nje licha ya kuwa mzalishaji namba moja?
Nikweli hujui tofauti kati ya Reserves na Production?
Kwa kukusaidia tu nikuwa; the U.S. won't be able to replace the volume of gas that Europe imports from Russia

Sasa nakuongezea na hii,
USA ndo anaongoza hata kwa uzalishaji wingi wa mafuta duniani, lakini hana uwezo wa ku supply mafuta kwa nchi za ulaya kwasababu demand nchini mwake nikubwa ukilinganisha na supply. pia reserves yake ya mafuta ni ndogo kuliko hata ya kuwait [emoji1142]

TUJE KWA URUSI[emoji635].
Urusi ni second largest producer wa mafuta na gas duniani baada ya USA, ila ana reserves kubwa ya Mafuta (No6 kidunia) na Gasi asilia (no 1 kidunia) dhidi ya USA ambae kwa mafuta niwa 9 na 4 kwa reserves ya gesi duniani.
Hivo basi alicho nacho Urusi, anachozalisha na anacho supply ndo kinamfanya awe juu ya USA na ndo maana anaweza kusupply mafuta na gas kwa bara zima la ulaya na sehemu zingine duniani bila kuathili demand nchini mwake.

Mwisho: Ukipata muda Kasome vizuri "LAW OF DEMAND AND SUPPLY" ndo utaelewa kwanini USA hawezi kum replace Russia kwenye oil na gesi licha ya kuwa the top producer of oil and natural gas in the world.
 
Kitendo cha Russia kulipua maofisa 50 na magenerali kwa pamoja haya ndio matokeo yake.

1. Vita imezidi kuwa nyepesi kwa sababu idadi ya wanaojua operation ziendaje wamekufa .

2. Mipango ya kuleta changamoto za kumzuia baada na kabla ya kupokea vifaa imekua hafifu vita inazidi kuwa nyepesi kwa sababu maafisa 50 wamekufa wengi wa kuzuia operation katika ngazi tofauti.

3. kitendo cha maofisa muhimu waliojipanga kuendelea kuikabili urusi kufa imepelekea waliobaki wapige bomu hadi mpakani kwa sababu hawajui kitakacho wakuta kwa kukosa usimamizi( isipokuwa kwa mtazamo wangu hili naona ukraine hawajafanya )

KWA upande mwingine huenda ni plan ya urusi ili kujipa ridhaa ya kuendelea na vita kwa sababu zifuatazo :~

urusi imetambua kwamba NATO wameongeza wanajeshi laki 300,000 mpakani mwa ukraine . Hivyo akaona aje na mikakati mipya ndioo maana kuna taarifa ilitoka PUTIN kaenda kremlin ghafla .

BAADA ya hapo tuliona ...snake island iliachiwa bila sababu ya msingi .Tumekaa kidogo mpaka wa russia ukapigwa na bomu ....

tujitafakali yafuatayo .. la kwanza tuelewe ukraine wamesogezwa umbali mrefu sana kutoka donesk, luhansky, mariupol na kwa sasa lyshansky imekombolewa (nakosea majina ila point yngu itaelewka) .

wakati tunajua ukraine hana makombora ya kufika moja kwa moja russia hata kama yapo kwa nini lipigwe shambulio moja .Je? hii howtzer kaipatia wapi na kapiga akiwa wapi wakati tunajua wamesogezwa mbali ? mbona ukraine hio habari hawaelewi kama wameifanya kwa lengo lipi au kwa sababu ya maofisa wa operation kufa.

Tafakuri yangu naona russia kuna image mpya anaitafuta ya kuendelea kuipiga ukraine kwa kuonyesha kwamba ametoka snake island,ameruhusu chakula kiuzwe lakini hawafadhiliki wameamua kupiga mpakani hivyo itaonyesha ana kila sababu ya kujilinda kwa sababu hakuna usalama asipovamia na atakua kwenye malengo yake zaidi ndani ya operation.


Hembu tusubiri maana hii wiki imekua na matokeo sana na vikao kwa EU lakini kremlin imetulia kwa sababu operation zimeenda salama na wamekuwa wakijibu tuhuma mbalimbali.


Matumaini yangu kuna jambo jipya bado hatujui ambalo litatokea NATO NA KREMLIN WANAJUA tujipe muda kuona zaidi yajayo kuliko kukadilia hata kama ni mambo ya msingi.


Urraaaaaaaaaaaaa [emoji635]
 
Mtapata shinda mno kumringanisha Mrusi na US.. kwa sababu kuu zifuatazo
1. Mrusi ni mchoyo wa kila kitu na ndiyo maana ni mataifa machache sana duniani yanaongea kurusi, hakuna nchi yoyote Africa inaongea Kirusi ama kutumia lugha hiyo kufundishia.
2. Pesa zake nyingi anatumia kutengeneza vifaa vya kivita rather than helping other developing countries ku bust chumi zao pamoja na mambo ya kukuza demokrasia hasa Africa.
3. Mrusi si muumini wa demokrasia, yeye anaamini u-dikteta - anapenda mataifa yanayotawaliwa kidikteta.
4. Hana influence yoyote Africa, Ulaya na America - labda kwao Asia tena si nchi zote zinamkubali.
5. Hana bajeti yoyote Africa, tena hapa Tanzania bila US watu wangekuwa wanakufa hovyo majumbani kwa ngoma... Asante US kwa misaada yenu hasa huu wa USAID Tanzania; Tanzania PEPFAR | MHRP

Bado natafuta huu wa https://www.russiaid.gov/Tanzania... google inagoma.

Sasa huyu kumsabikia ni lazima na wewe uwe na kasumba kama za kwake.
 
Every second German is afraid of freezing in the coming winter due to reduced gas supplies and rising inflation in the EU.

This is reported by Bild, citing INSA survey data.

75% of respondents called the price increase a heavy or very heavy burden, 50% reported a deterioration in their economic situation.

Inflation in the EU in June peaked for the first time since the introduction of the single currency 20 years ago, the newspaper said, which cites data from Eurostat.

Earlier, the German economy minister warned that Germany is in for a difficult time, especially in winter, and that some sectors of the country's economy could stop for a long time due to gas shortages.

20220502_010825 (1) (1) (1) (1).png
 
About 90% of Germans have begun to cut their spending.

This is reported by Bild am Sonntag, citing a study by Insa.

According to the survey, German citizens save the most on clothing, vacations, going to bars, gasoline, food, water consumption and subscriptions to media products.

Residents have to change their habits due to high inflation and skyrocketing energy prices as a result of anti-Russian sanctions.

Earlier, the German authorities asked citizens to wash less often and lower the temperature in their homes.
20220502_010825 (1) (1) (1) (1).png
 
Every second German is afraid of freezing in the coming winter due to reduced gas supplies and rising inflation in the EU.

This is reported by Bild, citing INSA survey data.

75% of respondents called the price increase a heavy or very heavy burden, 50% reported a deterioration in their economic situation.

Inflation in the EU in June peaked for the first time since the introduction of the single currency 20 years ago, the newspaper said, which cites data from Eurostat.

Earlier, the German economy minister warned that Germany is in for a difficult time, especially in winter, and that some sectors of the country's economy could stop for a long time due to gas shortages.

View attachment 2280626
wameshakubali liwalo na liwe kuliko kumpigia magoti dikteta; wacha gesi inayompa jeuri imdodee.
 
Back
Top Bottom