NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
The British Army said its Twitter and YouTube accounts had been hacked.
MANATO wajinga mnooo
Vyombo vya NATO vina pagawa tu.
Russia baba lao
We utakuwa zile fuso za toleo la kwanza zilizokuwa hazina uwiano wa bodi na ringi za tairi. Zilikuwa zinavunja sana ringi. Always uko kinyume na uhalisia mkuu! Shida nini?Nitashangaa sana kama mrusi ataendelea kupigana vita hii kwa miaka 2, kama itakuwa hivyo jamaa atadhoofu sana kiuchumi.
Vita inatumia akiba yako yoote !! na mbaya zaidi unagombana na mtu anayepewa ma billion ya dolari kwa siku, lazima utachoka tu.
kaka ongea kirusi basi ili nikuelewe 🙂🙂We utakuwa zile fuso za toleo la kwanza zilizokuwa hazina uwiano wa bodi na ringi za tairi. Zilikuwa zinavunja sana ringi. Always uko kinyume na uhalisia mkuu! Shida nini?
Hujui kuwa China na India wanachukua mzigo wa kutosha Kwa Sasa kuliko uliokuwa ukichukuliwa na EU?wameshakubali liwalo na liwe kuliko kumpigia magoti dikteta; wacha gesi inayompa jeuri imdodee.
afu mchina alivyo machinga, hakawii kuanza kutuuzia na sisi wa bei chee !!Hujui kuwa China na India wanachukua mzigo wa kutosha Kwa Sasa kuliko uliokuwa ukichukuliwa na EU?
избранная нация дьяволаRUSSIA TAIFA TEULE
juzi mlipoambiwa Marekani ndiyo nchi ya kwanza duniani kwa uzalishaji mkubwa wa Gesi mkabakia midomo wazi.
hapa tunaongelea reserve ama tunaongelea production ?Na nani anaongoza kwa kuwa na reserve kubwa ya gas?
Tunaongelea kuanguka kwa LISICHANSKhapa tunaongelea reserve ama tunaongelea production ?
речь о резерве или речь о добыче?
Mkuu Acha Utoto basi kwenye vitu serious kama hivi2. Pesa zake nyingi anatumia kutengeneza vifaa vya kivita rather than helping other developing countries ku bust chumi zao pamoja na mambo ya kukuza demokrasia hasa Africa.
4. Hana influence yoyote Africa, Ulaya na America - labda kwao Asia tena si nchi zote zinamkubali.
Kweli silaha za Nato ni dhaifu pamoja na makombora mazito ya HIMARS Lakin Ukraine imechemka huko lisishanky ha ha ha HIMARS ndo silaha ya ardhini inayotegemewa sana na marekani
kipi ambacho nimesema urongo hapo?Mkuu Acha Utoto basi kwenye vitu serious kama hivi
Nawahurumia wazazi waliokusomesha