Hiyo kichwa ya FUSO inahitaji msasa wa ziada...
Largest Producer
Largest Consumer
Largest Reserve
Term 3 tofauti zenye implications tatu tofauti.
Mr Tyang una zalisha gunia 7 za Mchele kwa mwaka... (Production)
Mr Tyang una tumia gunia 9 za mchele kwa mwaka... (Consummation)
Mr Tyang una akiba ya
"Mpunga" Gunia 1,000 kwenye Godown yako (Reserves)
Vs
Qibsyl ana zalisha gunia 7 za mchele kwa mwaka... (Production)
Qibsyl ana tumia gunia 1 la mchele kwa mwaka... (Consummation)
Qibsyl ana akiba ya
'Mpunga' Gunia 75,000 kwenye Godown lake. (Reserves)
Hizo Data Pro-Russia tu wenye akili timamu ndio wanaoweza kung'amua zina maana gani.
1.
Mr Tyang anazalisha kingi kuliko
Qibsyl lakini ana deficit kutokana na matumizi makubwa kuliko uzalishaji, Hivyo
Qibsyl anabaki na akiba nyingi baada ya matumizi hivyo kufanya biashara zaidi.
That's Russia vs USA, kama vipi Pro-WEST watoe data za Russia kufanya Imports ya Gas kama anavyofanya US kutoka mataifa mengine. Russia in term of Gas anafanya Exports tu.
2.
Mr Tyang ana reserves ndogo kulinganisha na
Qibsyl, kwa rate yake ya uzalishaji mchele ukilinganisha na akiba ya mpunga aliyonayo haina maisha marefu ukilinganisha na akiba aliyonayo
Qibsyl
Hii ipo kwa Russia na US katika Reserves, Russia anaweza kuongeza uzalishaji mda wowote kama demand itaongezeka, na uwezo wa kufanya hivyo anao kwasababu store kuna mzigo wa kutosha.
Hayo ni kwa uchache tu, Pro-West hata hesabu hamjui, ku-analyze mambo hamjui. Of course ndio maana mnalilia saaaaana msaada wa ARV kwasababu uwezo wa kutumia mafuvu yenu hamna.
Kuna nchi zaidi ya 200 dunian, yet wanawaambia almost over 30% of natural resources ziko Russia hamjiongezi?
Kauli ya Hitler enzi zake aliposema ukitaka kuitawala dunia, Itawale Russia mnafikiri alikuwa analenga wapi?
Kama United Shit of America in
Qibsyl voice inao uwezo wa kufidia Gap la Russia, huko kwao bei inapanda to all time high kwasababu gani? US anae haha kwenda Venezuela mara Iran kwa mataifa aliyoyapa vikwazo visivyo halali kutafuta wese, kutafuta Gas. Kama anayo ya kutosha huko anatafuta nini?
Je mshawahi kusikia Russia kaenda Saudia Arabia kuomba Gas? Alishawahi kwenda Iran kuomba Oil? Alishawahi kwenda kwa Malkia kuomba Feltilizers? Alishawahi kwenda China kuomba Ngano? Alishawahi kuja Tanzania kuomba Chuma au Makaa ya Mawe?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna Post zingine ukizisoma za Pro-West kama unakunywa maji unaeza "Pahaliwa"... At least
Grand Master hana unafiki wa wenzie, Nyeusi anaita Nyeusi na Kijani anaita Kijani.