Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ahsante sana fellow Pro-Russia Mfilisiti [emoji120][emoji120] kwa kututambua Kama alivyofanya Putin kwa kikosi kilicho kamilisha kuikamata Donbas.

Niwaombe sana tuendelee kuwa vumilia Pro-NATO na kuwa elimisha.
Tuendelee kuwa competence based educator kwa info zetuView attachment 2281032
Hongera Sana hiki cheti fanya bendera ya Russia iwepo au colours zile za Russia itapendeza Zaid
 
Siku hiyo Urusi itakosea njia iguse kataifa kamoja ka NATO kama vile kajirani kake hapo Latvia ndio itaelewa nini maana ya kipigo cha mataifa 30, kwnza humo kwenye hayo mataifa ya NATO kunayo machache supapawa yenye uwezo ya kuiliza Urusi yenyewe bila muungano, maana ameonyesha udhaifu mkubwa sana kushindwa na haka kataifa kadogo....

where-are-ukraine-&-russia.jpg
Kaa chini likumbushe fuvu lako lililokosa mwelekeo kwenye mteremko, Ujiwahi kabla hujaangukia pua.

🔸Hii ni US(Left) vs Vietnam (Circled) mlipotumia milongo miwili buuuuuure.

20984.png


🔸Again, this is Afghanistan. Mlikojikusanya na wahenga wenzenu wa NATO, mkatoka patupu. NATO vs Afghanistan (Circled)

20985.png


Mwenzenu alipowaambia kua Ukubwa wa nchi kieneo hauna mahusiano hapo alikuwa anaelewa anacho kizungumza.

Pro-NATO igeni mfano wa Grand Master. Ongeeni kwa step with deep understanding ya vile vinavyotoka vichwani mwenu.

In case ulikuwa hujui, hizi mapping tunaziweza saaana tu mdau. We si una download za watu? Huku ikihitajika Illustration tunakuandalia Chap chap dk zero tu 😆😆😆
 
[emoji1255] Almost the entire elite took their family and belongings to Europe, realizing that it was too dangerous in Ukraine. Also, top politicians and officials took their sons away so that they would not fight - trenches, porridge and "boilers" were left for the simple poor People.

They have nothing to lose.

There are a lot of such parking lots in Europe and even Turkey. Our elite has been robbing the country for 30 years, so they can afford "luhari-cars".
 
[emoji1255] The problem of the Armed Forces of Ukraine is the lack of aviation. Here is another downed plane.

Soon we will face the complete absence of aviation, as such, which will further weaken the forces of the Armed Forces of Ukraine to counter the Russians, who continue to put pressure.
 
[emoji631] US President Joe Biden plans to ease restrictions on imports of goods from China to curb inflation, which were introduced under his predecessor, Donald Trump. The Wall Street Journal writes about it.

The White House may announce as early as this week the suspension of duties on imports from China of certain products, including consumer goods, including clothing and school supplies.

In addition, the Biden administration intends to launch a program under which importers will be able to apply for exemption from tariffs.

According to WSJ sources, Biden has repeatedly delayed announcing the easing of restrictions on trade with China due to controversy regarding the move both within the White House and among business representatives, as well as lawmakers.
 
Hapa kwetu Tanzania walio wengi wananunua Umeme katika rate ya 26kwh kwa Tsh 10k. Hii bei nikiwa wrong mta-nisahihisha japo kwa Meter nayotumia nagharamika kama hivyo.

Maana ake ni kua kwa bei yetu ya 10k kwa 26kwh (kilo watts hour) itanigharimu kama Tsh 385k ili nipate umeme wa 1,000kwh ambayo ndio 1 Mega-Watt Hour.

Kama wao wanalipia 790Euro per MWH Sie hapa tunalipia 155Euro per MWH (nifahamike kua nime-convert 385,000 Tsh to Euro). Fedha zote hizo ukiziweka kwenye pesa ya Tanzania. Ni kua kwa the same amount of electricity, that's 1Mega-watt Hour. Sisi tunalipia Tsh 385,000/- wao wanalipia Tsh 1,960,000/-. Hii ni mara 5 zaidi kiliko sisi.

Nimeamua kuisherehesha hii post kwa kusudi moja tu. Kuna dhana potofu watu weusi tuko nayo, most of us utasikia tunasema ooh Europe wanalipa mishahara mikubwa n.k. lakini hatuangalii expense kulinganisha na mishahara yao.

Tunashangaa sana number, nimeona Mr Tyang na Galip Vrl wamezungumzia kuhusu analysis. Hapa pia huwa kuna tatizo. Europe mtu anaweza kulipwa Euro 1,500 per month, hii ipo around 4Millions za kibongo. Zinaonekana nyingi on Paper ila ukizipeleka kwenye matumizi ni chache mno kwa mazingira yale.

Huezi kupanga chumba cha Tsh 40k, ambazo ni Euro 16 kule kwao. But nje ya Dar kwa hapa Tanzania, Tsh 40k unapata chumba safi mno.

Hii issue ni pana kwani hata concept ya GDP unaweza kuijumuisha pia.

Mfano,
Mimi leo nikilima shamba, kila chakula nikawa najitegemea. Mahindi nalima, Mpunga nalima, Mchicha nalima, Almost kila kitu nakifanya mwenyewe.

Hapa nitanufaika lakini Hizi shughuli zote hazitakuwa reflected kwenye pato la taifa since hakutakuwa na Movement of "Cash" wala Shughuli kutoka kwa kundi moja kwenda kundi lingine.

Mfano wa kwanza huo, wa pili. Imagine katika mazingira kama haya. Mchicha nanunua kwa John, Karanga kwa Ayubu, Mahindi kwa Mabula, Mchele kwa Mwamposa, Mafuta kwa Mangi, Ndizi kwa Rutashobya. Hapa kunakuwa na Movement kubwa ya Cash, kunakuwa na shughuli nyingi. Hizi zote zinakuwa reflected kwenye hii kitu tunaita GDP. Pato la Taifa. So GDP inapea.

Hii mifano miwili sikidhamiria kuileta kwenye reply ya kaka mkubwa hapa. Imenibidi niitoe kwani yafanana na kile nilichokua nataka kukisema kupitia reply yake.

Mifano hiyo miwili inaweza kuwapa majibu katika nyanja hizi.
[emoji842]Kwanini Nchi kama Russia, Kwanini Nchi kama Singapore au South Korea.

[emoji842]Kwanini Mkoa kama Dar es Salaam, na Kwanini Mkoa kama Mbeya, Ruvuma n.k

[emoji842]Of course itawapa majibu kwanini tulisema yule anayejiita Yoda tulimwambia hajui kitu upande huu alipokuwa analinganisha Pato la Taifa GDP na Thamani ya Kampuni Sokoni (Market Cap.)

Dar, kitunguu unanua, Mchicha unanunua, Muhogo wa kutafuna unanunua, Maji Visima hakuna mnanunua kwa kifupi Most katika vitu unahitaji ni kazi za watu. So mzunguko wa fedha na wingi wa shughuli ambazo ndio Uchumi wenyewe ni mkubwa, So there we go, unaambiwa kua Dar ina 17% of Tanzania GDP.

Mind you Uchumi sio Pesa, Uchumi ni shughuli za kibinadam ambazo of course ni issue zinazohusiana na fedha. Lakini Uchumi kama Uchumi sio how much you have bank au mfukoni.

Again ukichimba deep, utakuta all these stuffs zina mahusiano kiasi na flan na Culture, I mean life style ya watu. Anyway tuishie hapa nisije kuwachosha bure issues zenyewe ziko out of topic.
Kama mwamba Mfilisiti hahakupatia cheti chako niandamane MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1099] The European Union has already allocated 6.2 billion euros to Ukraine, and more assistance will be provided in the medium and long term. This was stated at a conference in Switzerland by the head of the European Commission, Ursula von der Leyen.

She also added that the EU offered Ukraine to create an international platform for the restoration of the country after the end of the war.

At the same conference, Prime Minister Denys Shmyhal said that $750 billion is needed to restore Ukraine, and the main source of funding, in his opinion, should be the confiscated assets of the Russian Federation.
 
[emoji1255] The Ukrainian society rightly reacted with criticism to the idea of the authorities to make Ukrainian women liable for military service. Back at the end of 2021, Zelensky and other prominent figures of our state “came in” from the Ukrainians: they say, you will also send your wives to the front.

Naturally, they began to fuss at Bankova, promising either to shorten the list of professions that fall under the law on conscription of Ukrainians, or to make other indulgences. In just a few months (from October 1, 2022), many women in Ukraine will become liable for military service.

Moreover, if this completely "scared" Ukrainians in the "peaceful 2021", then in the "military 2022" it may well lead to unrest in society. And there are prerequisites for this.

Thus, the Ministry of Defense claims that so far there is no need for the mobilization of women who will be registered with the military, while the National Security and Defense Council notes that women can be recruited for military service only under a contract and on a voluntary basis.

At the same time, the authorities may deem it necessary to abandon the principle of voluntary service of women and decide to call them up, they will have to go into military service. Moreover, Ukrainian women liable for military service will have to take part in military training, which can last up to 3 months.

Moreover, non-attendance of fees entails a fine and liability, up to criminal. And this is in wartime, when the financial condition of Ukrainians really begins to "sing romances."

Thus, women who do not apply to the military registration and enlistment offices in due time face fines from 510 hryvnia to 11,900 hryvnia (avoidance of military fees).
It is also worth noting that the authorities have not yet decided whether there will be restrictions on the exit of women liable for military service from Ukraine.

For example, Viktor Andrusiv, an adviser to the head of the Ministry of Internal Affairs, ironically suggested that there should be no restrictions if the deputies of the Verkhovna Rada use their "brain" to make such decisions.
 
Ongeza pia Iran, Somalia & North Korea
Mjeremani na Mjapan wale ni wanaume kabisaa.

Wanapenda ugomvi na vita kuliko kula wakiamua hutoboi... Wana akili Wana silaha, Wana pesa Wana ujasiri na roho ya ukatili.

Ndio maana Mmarekani anawaheshimu saana he can't mess with them maana anawajua wakiamua... Lazma wakutoe kamasi.

Good things wamekuwa na staha siku hizi wanayaangalia mataifa Duniani wanaona Hawa bado hawajielewi.
Akili zao wanazijua wenyewe huko vitani .
 
[emoji1255] Tax revenues to the state budget continue to fall. According to People's Deputy Yaroslav Zheleznyak, in June they amounted to UAH 45 billion, while in May they were UAH 73 billion.

Tax revenues covered only 19.4% of government spending in June. And the main reasons are:

[*]Lack of business physical ability to pay taxes in advance;
[*]Export blocking;
[*]A feature of this tax period.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aisee nimejaribu kitete NATO nikagundua natetea genge la wahalifu.
Nimeshindwa mwana,narudi nyumbani kwa maskini wemzetu akina Urusi na China.
karibu mimi nilikuwa siambiliki kuhusu pro NATO na nikadiliki kuziita S400,500,550 za wa russi kuwa ni machuma chuma[emoji16] lakini akili zangu ziliponijia nikajua kuwa uku nilpo siyo nkarudi mwenyewe pro russia mpaka nimeota kitambi kwa furaha ninayoipata ninapoona pro nato wakipigwa spana kwa pamoja tuseme Uraaaaaaaaaaa[emoji3455]
 
Kama una maaanisha mahusiano ya karibu ya kisisa, uchumi na kijeshi kati ya US na Ulaya ni kuolewa basi na Belarus wameolewa na Russia, Russia pia wanalamiza kuioa Ukraine.

Lakini pia hata Pro Russia wengi hapa, zaidi ya asilimia 90 mkiambiwa mchague kuolewa na US au Russia, karibia wote mtachagua kuolewa na US.
Japan na Germany Ni wake za USA kwa Sasa na USA anajichagulia tu leo anumuweka yupi doggy kesho Nani apigwe Popo kanyea mbingu style.Hamna kitu Tena pale
 
Leo ni mwendo wa kukupiga spana tu, mpaka akili ikukae sawa, Naenda kujibu hoja yako ya kwanza mpaka ya mwisho kwa mlinganisho wa Russia Vs USA.

1."Mrusi ni mchoyo wa kila kitu na ndo maana ni mataifa machache yanayo ongea Kirusi" FUSO
☆JIBU: Urusi ni miongoni mwa mataifa machache duniani yanayotumia lugha yake asilia kama lugha ya taifa, hata sisi Tanzania tupo kwenye list hii kwa kigezo cha kiswahili chetu, lakini Mpaka muda huu USA anatumia lugha ya muingereza (english) kama lugha yake ya taifa. Hivo basi hoja yako ni dhaifu kwasababu Russia ana lugha yake asilia ila USA hana zaidi ya kutumia lugha ya malikia kwa kuivisha jina la kihuni American english.

2. "Pesa zake nyingi anatumia kutengenezea silaha badala ya kusaidia nchi zinazo endelea" FUSO
☆JIBU: Mosi, kila nchi inatumia pesa kulingana na vipaumbele vyake, let say Urusi inatumia pesa zake nyingi kwenye silaha halafu USA inatumia pesa nyingi kwenye kampen ya kueneza Ushoga duniani(kupanga nikuchagua)
Pili, Nchi huru siyo lazima isaidiwe, maana ya kuwa huru nikujitegemea na kuendesha uchumi wako mwenyewe. Aliekuwa Rais wa USA D.Trump aliwahi kusema, "kuendelea kuzisaidia pesa nchi za Africa zilizo dai uhuru wa kujitegemea ni ujinga, kama nchi haziwezi kujitegemea zenyewe bila misaada basi zitawaliwe tena na wanao zisaidia mpaka zitakapo acha kuwa tegemezi" Trump. Hivo basi kwa fact hiyo ya Trump, Hoja yako hii pia ni dhaifu.

3. "Mrusi siyo muumini wa domokrasia ni dictatorship"
JIBU; mosi, Ni ujinga mtupu kufikiri mfumo wa democracy ndo mfumo pekee unaotakiwa kuendesha serikali za nchi zote duniani, kuna mifumo zaidi ya 15 ya kuendesha nchi na kila nchi huamua itumie mfumo upi kulingana na nature yake. mfano, China-Socialism, UK- Kingdomship na French-Democracy.
Pili, Mfumo unaotumika kuendesha serikali ya Russia siyo dictatorship bali ni Federal democratic state.
Tatu, USA unae dai anatumia pure democracy itakuwa hujui hata aina ya democracy anayotumia USA, Raia wa USA kura yake haina nguvu yeyote katika uchaguzi wa Rais je hiyo ndo maana ya democracy? Hoja yako hii pia haina mashiko.

4. "Urusi haina influence yeyote Africa, Ulaya na America" FUSO
JIBU; Mosi, Inaonekana hujui hata maana ya neno "Influence" kitendo cha Uchumi wa nchi za Ulaya kutemea uwepo wa Urusi hiyo siyo Influence? Russia mpaka leo hii ndo influencer mkubwa wa bara la ulaya bila Urusi ulaya nisawa na Afrika tu.
Pili, Kwenye bara la America ukiwatoa N.America (USA na Canada) the rest of Americans (Especially Southern part) wote wapo upande wa Urusi, mfano, Brazil, Argentina na nk.
Tatu; Kama Putin asingekuwa na Influences kwa bara la Africa nchi za Afrika zingebaki neutral kwenye kura ya kuiondoa Urusi kwenye baraza la usalama UN? Au Zelensky angeishia kusikilizwa hotuba yake kwa AU na Viongozi wanne tu kati ya viongozi zaidi ya 50 wa nchi za Africa au Mwenyekiti wa AU angeenda Urusi kuongea na Putin?
HOJA YAKO HII PIA HAINA MASHIKO.

5. "Hana bajeti yeyote kwa nchi za Afrika" FUSO
JIBU: Mosi, Kwani nani alikwambia afrika nisehemu ya Urusi hadi ihusike kwenye bajeti ya Urusi? Nitajie nchi za Afrika ambazo ni makoloni ya Urusi hadi aya include kwenye bajet yake.
Pili; Nchi karibia zote afrika ziliomba uhuru na zikaupata maana yake ziliomba zijitawale na kujiendesha zenyewe sasa bajeti ya Urusi inakuja vipi tena kwa mataifa huru?
Narudia tena kauli ya Trump "Kama nchi za Afrika zimeshindwa kujiendesha bila kutegemea misaada yetu basi zitawaliwe tena"

I STAND WITH RUSSIA [emoji635]
Dah Mkuu umetema nondo mpaka nimetamani ungekuwa jirani tumwagilie moyo😂😂😂

Mtu anayeitendea haki elimu yake na ubongo hawezi kuwa shabiki wa USA/NATO
 
Back
Top Bottom