Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Huo [emoji115]ndo uwezo wako ndugu. Basi twende hivyohivyo.
Kwanza hao huwa ni majasusi...wa urusi moja wapo ya kanuni ya majasusi ni kulikana taifa lako ,kuukana uzalendo wa taifa lako ,kuikana dini yako nk hizo ni mojawapo ya njia za majasusi kujipenyeza ..wapo majasusi wamepenyezwa kwenye makundi ya kidini kwa kuzikana dini zao za zamani ...hivyo huyo MK254 bado ni mtoto mdogo kujua haya mambo
 
Kama pesa yake ya dollar inakukera sana, hesabu kiasi cha Coca-Cola, Pepsi, iPhones, Whiskey, Converse, computer, magari, silaha, ndege n.k vinavyouzwa kutoka kwake kuja kwako. Hesabu idadi ya watalii kutoka kwake halafu vibadilishe katika Tshs au Ruble.
Uchawi wa uchumi mkubwa wa marekani upo katika kitu kimoja tu ...nacho ni dola kuwa ndiyo pesa ya dunia basi ...hivyo hicho kitu kinaanza kupigwa vita polepole ..kama nchi za asia zikiunda pesa yao na kulazimisha manunuzi kwa hiyo pesa basi uchumi wa usa [emoji631] utapolomoka kwa kasi ya kimondo.
 
Akosee njia aguse kataifa kamoja huko NATO kunayo hata kajirani kake hapo Latvia, au asubiri Finland aingie NATO, amekua akimchokoza sana huyo Finland, sasa aingie NATO kisha athubutu kuendelea na huo uchokozi.
NATO kuna mibabe ambayo moja tu imetosha kumkalisha Urusi, ukizingatia ameshindwa na kainchi kadogo Ukraine.
Nimekwambia taja hiyo nchi ya NATO inayoweza kuikalisha Urusi. Nikusaidie mfano mmoja,kwenye ww2 kama sijakosea,Urusi iliipiga Ujerumani,mwanachama wa NATO kindakindaki, mbabe wa NATO ni USA,lakini imepigana 20years, Afghanistan na wachunga mbuzi ikashindwa, Vietnam,Somalia kote imeshindwa. Ukraine imepata kila Aina ya misaada kutoka NATO unayoitaja hapa lakini bado zote zimeshindwa na Urusi.
 
Eleweni NATO inapoenda vitani sio kwamba majeshi yote yanaenda huko. Operation ya Libya muda wote wa miezi 7 ilitumia jumla ya wanajeshi 8,000 tu na hakukuwa na "boots on the ground" za NATO Libya. NATO walikuwa wanashambulia kwa ndege na manowari tu ndege zozote za Gaddafi zilizokuwa zinarukua kushambulia waandamanaji au mitambo ambayo ingetumika kurusha makombora kwao. Mambo mengine yote ya ardhini yalifanywa na Walibya wenyewe, hakukuwa hata na mwanajeshi mmoja wa NATO katika ardhi ya Libya wakati Gaddafi anaondolewa.

Putini ameivamia Ukraine na Wanajeshi zaidi ya 100,000 na ametumia zana zote za kijeshi kasoro labda za Nyuklia. Bado huoni tofauti??
Kama walichikua 7 months kupigana na nchi ya teknolojia ya Zamani,jeshi dhaifu, uchumi duni. Nchi iliyokuwa na waasi WA ndani,je vp kuhusu Urusi? Si watanyooshwa Tu.
 
USSR ilijiunga upande wa Uingereza na Ufaransa katika vita vya pili vya dunia baada ya kukorofishana na MaNazi wa Ujerumani ya Hitler na makubaliano kati yao, (Molotov-Ribbentrop Pact) ya August 24, 1939 kuvunjika.

USSR ya Stalin walishirikiana na Mnazi Hitler kuivamia Poland mwaka 1939, baadaye Hitler akawageukia USSR tena.
Nimekwambia taja hiyo nchi ya NATO inayoweza kuikalisha Urusi. Nikusaidie mfano mmoja,kwenye ww2 kama sijakosea,Urusi iliipiga Ujerumani,mwanachama wa NATO kindakindaki, mbabe wa NATO ni USA,lakini imepigana 20years, Afghanistan na wachunga mbuzi ikashindwa, Vietnam,Somalia kote imeshindwa. Ukraine imepata kila Aina ya misaada kutoka NATO unayoitaja hapa lakini bado zote zimeshindwa na Urusi.
 
USSR ilijiunga upande wa Uingereza na Ufaransa katika vita vya pili vya dunia baada ya kukorofishana na MaNazi wa Ujerumani ya Hitler na makubaliano kati yao, (Molotov-Ribbentrop Pact) ya August 24, 1939 kuvunjika.

USSR ya Stalin walishirikiana na Mnazi Hitler kuivamia Poland mwaka 1939, baadaye Hitler akawageukia USSR tena.
Baada ya Hitler kuwageukia nn kilitokea kwa Ujerumani?
 
IMG_20220705_114011_257.jpg
A Western journalist from the Politico publication confirmed two of our insiders.
  • Demoralization is growing in the Armed Forces of Ukraine, which the authorities hide
  • the losses of the APU are huge

According to gossip, the Office of the President was very unhappy with such a publication. Now they want to accuse a Western journalist of working for the Kremlin. Some functionaries suggest adding it to the "peacemaker".
 
Gaddafi alikuwa mteja mkubwa wa silaha na zana za kijeshi za Russia, katika utawala wake Mauzo ya silaha ya Russia karibia 10% yalikuwa yakienda Libya peke yake.
Kama walichikua 7 months kupigana na nchi ya teknolojia ya Zamani,jeshi dhaifu, uchumi duni. Nchi iliyokuwa na waasi WA ndani,je vp kuhusu Urusi? Si watanyooshwa Tu.
 
Vietnam ilikua nchi ya mbali sana, Ukraine na Urusi ni hapo jirani tena huto tumiji ameambulia ni ile tu kwamba wakazi wa huko asilimia kubwa wanaongea Kirusi hivyo wana undugu.

MK254,

Mbona Marekani alipigana na jirani yake Mexico katika vita maarufu ijulikanayo kwa jina la "Mexican American War (1846-1848)" akaishia kuambulia tumiji vya Texas, Nevada, Utah, New Mexico, Arizona, Colorado, Oklahoma, Kansas na Calfonia?

Au unadhani hatujui?
 
[emoji1255] Our source in the OP said that the Office of the President instructed the Main Intelligence Directorate to intensify work on “pinpoint terror” in the Kherson and Zaporozhye regions, moreover, attacks on Russian officials in the region are necessary.

Against the backdrop of the defeat in Lisichansk, informational narratives are important for Bankova, which will be relayed to the West, that there is a guerrilla war in the areas occupied by the Russian army.
 
Back
Top Bottom