Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

MK254,

Mbona Marekani alipigana na jirani yake Mexico katika vita maarufu ijulikanayo kwa jina la "Mexican American War (1846-1848)" akaishia kuambulia tumiji vya Texas, Nevada, Utah, New Mexico, Arizona, Colorado, Oklahoma, Kansas na Calfonia?

Au unadhani hatujui?

Sasa huko kwa 1800 ndio mumekwenda kujiliwaza, enzi hizo Marekani hakua huyu supa pawa kiongozi wa dunia.
 
Labda NATO ishushwe toka mbinguni ila hii ilojaa mashoga? Hii NATO dhaifu inayoogopa kwenda front kupambana na Russia? Uyo US kakutana na Russia Syria, Venezuela au umesahau uyo shoga yako alikimbia?? Na sasa anakalishwa hapa Ukraine hakuna anachoweza kwenye vita.

Kubali NATO ni dhaifu

Humo NATO kuna mataifa ambayo hayahitaji muungano kama wakitaka kumchakaza Urusi, pona yake kwa sasa ni manyuklia tu.
 
Nimekwambia taja hiyo nchi ya NATO inayoweza kuikalisha Urusi. Nikusaidie mfano mmoja,kwenye ww2 kama sijakosea,Urusi iliipiga Ujerumani,mwanachama wa NATO kindakindaki, mbabe wa NATO ni USA,lakini imepigana 20years, Afghanistan na wachunga mbuzi ikashindwa, Vietnam,Somalia kote imeshindwa. Ukraine imepata kila Aina ya misaada kutoka NATO unayoitaja hapa lakini bado zote zimeshindwa na Urusi.

Urusi kwenye WW2 asingeweza Ujerumani, ni vile huyo Ujerumani aliparamiwa na wote, hususan pale Marekani aliingia kwenye vita.
 
🗓 Top News Today

🇷🇺 The Minister of Defence of the Russian Federation holds a conference call with the leadership of the Armed Forces, where the current results of the special military operation were summarised.

▫️ They also discussed the spring conscription, the development of new weapons and the work of the military construction complex.

❗️ The enemy is suffering significant losses in all directions. High-precision weapons of the Russian Aerospace Forces have eliminated up to 150 Ukrainian servicemen and 12 pieces of military equipment of the 93rd mechanized brigade of AFU in Kharkov.

⚠️ Ukrainian armed formations, by using chemical industry facilities to house their units and military equipment, are deliberately creating conditions for man-made accidents that could affect thousands of civilians.

⚠️ According to reliable information, militants of nationalist groups are preparing a provocation with the use of toxic substances in Nikolaevka, Donetsk People's Republic. For this purpose, the Ukrainian neo-Nazis brought tanks with liquid chlorine (over 6,000 litres) to the pumping and filtration station of the Slavyansk TPP, which they had mined and planned to blow up when units of Russian troops and formations of the Donetsk People's Republic approach.

📹 The Ministry of Defence has published footage of railway specialists from the Western Military District in the special military operation area.

🚛 Over the day, the population of the Donetsk and Lugansk people's republics and Kharkov and Zaporozhye regions received 509 tonnes of basic necessities and foodstuffs. More than 22,000 people have been evacuated to Russia from dangerous areas of Ukraine and the Donbas republics.

#MoD #Russia #Ukraine
@mod_russia_en
 

🇷🇺🇺🇦 Fresh catch of the guys from the "Brave" group - the fighters took possession of the enemy's warehouse with a batch of 125-mm high-explosive fragmentation shells and propellant charges for them.
 
Raia wa Canada waibananisha serikali yao kuhusu kujiingiza kwenye vita vya Ukraine. Wampiga maswali tata naibu waziri mkuu wao kuhusu Canada kujitia kuingia vitani na Urusi pasi na ridhaa ya waCanada, waonya kuwa serikali yao inahatarisha Canada kufutwa kwenye uso wa dunia na Urusi kwa kupigwa bomu hatari la nyuklia la Sarmat-2

SmartSelect_20220706-072721_Chrome.jpg
SmartSelect_20220706-072542_Twitter.jpg
SmartSelect_20220706-072652_Twitter.jpg
 
Urusi kwenye WW2 asingeweza Ujerumani, ni vile huyo Ujerumani aliparamiwa na wote, hususan pale Marekani aliingia kwenye vita.


Vipi kuhusu NATO inayoparamia Urusi kwa kutuma mercenaries,pesa, intelligence,vikwazo silaha, propaganda n.k? Mbona hawajaishinda Urusi kama Ujerumani ilivyoparamiwa na kushindwa?
 
Leo ni mwendo wa kukupiga spana tu, mpaka akili ikukae sawa, Naenda kujibu hoja yako ya kwanza mpaka ya mwisho kwa mlinganisho wa Russia Vs USA.

1."Mrusi ni mchoyo wa kila kitu na ndo maana ni mataifa machache yanayo ongea Kirusi" FUSO
☆JIBU: Urusi ni miongoni mwa mataifa machache duniani yanayotumia lugha yake asilia kama lugha ya taifa, hata sisi Tanzania tupo kwenye list hii kwa kigezo cha kiswahili chetu, lakini Mpaka muda huu USA anatumia lugha ya muingereza (english) kama lugha yake ya taifa. Hivo basi hoja yako ni dhaifu kwasababu Russia ana lugha yake asilia ila USA hana zaidi ya kutumia lugha ya malikia kwa kuivisha jina la kihuni American english.

2. "Pesa zake nyingi anatumia kutengenezea silaha badala ya kusaidia nchi zinazo endelea" FUSO
☆JIBU: Mosi, kila nchi inatumia pesa kulingana na vipaumbele vyake, let say Urusi inatumia pesa zake nyingi kwenye silaha halafu USA inatumia pesa nyingi kwenye kampen ya kueneza Ushoga duniani(kupanga nikuchagua)
Pili, Nchi huru siyo lazima isaidiwe, maana ya kuwa huru nikujitegemea na kuendesha uchumi wako mwenyewe. Aliekuwa Rais wa USA D.Trump aliwahi kusema, "kuendelea kuzisaidia pesa nchi za Africa zilizo dai uhuru wa kujitegemea ni ujinga, kama nchi haziwezi kujitegemea zenyewe bila misaada basi zitawaliwe tena na wanao zisaidia mpaka zitakapo acha kuwa tegemezi" Trump. Hivo basi kwa fact hiyo ya Trump, Hoja yako hii pia ni dhaifu.

3. "Mrusi siyo muumini wa domokrasia ni dictatorship"
JIBU; mosi, Ni ujinga mtupu kufikiri mfumo wa democracy ndo mfumo pekee unaotakiwa kuendesha serikali za nchi zote duniani, kuna mifumo zaidi ya 15 ya kuendesha nchi na kila nchi huamua itumie mfumo upi kulingana na nature yake. mfano, China-Socialism, UK- Kingdomship na French-Democracy.
Pili, Mfumo unaotumika kuendesha serikali ya Russia siyo dictatorship bali ni Federal democratic state.
Tatu, USA unae dai anatumia pure democracy itakuwa hujui hata aina ya democracy anayotumia USA, Raia wa USA kura yake haina nguvu yeyote katika uchaguzi wa Rais je hiyo ndo maana ya democracy? Hoja yako hii pia haina mashiko.

4. "Urusi haina influence yeyote Africa, Ulaya na America" FUSO
JIBU; Mosi, Inaonekana hujui hata maana ya neno "Influence" kitendo cha Uchumi wa nchi za Ulaya kutemea uwepo wa Urusi hiyo siyo Influence? Russia mpaka leo hii ndo influencer mkubwa wa bara la ulaya bila Urusi ulaya nisawa na Afrika tu.
Pili, Kwenye bara la America ukiwatoa N.America (USA na Canada) the rest of Americans (Especially Southern part) wote wapo upande wa Urusi, mfano, Brazil, Argentina na nk.
Tatu; Kama Putin asingekuwa na Influences kwa bara la Africa nchi za Afrika zingebaki neutral kwenye kura ya kuiondoa Urusi kwenye baraza la usalama UN? Au Zelensky angeishia kusikilizwa hotuba yake kwa AU na Viongozi wanne tu kati ya viongozi zaidi ya 50 wa nchi za Africa au Mwenyekiti wa AU angeenda Urusi kuongea na Putin?
HOJA YAKO HII PIA HAINA MASHIKO.

5. "Hana bajeti yeyote kwa nchi za Afrika" FUSO
JIBU: Mosi, Kwani nani alikwambia afrika nisehemu ya Urusi hadi ihusike kwenye bajeti ya Urusi? Nitajie nchi za Afrika ambazo ni makoloni ya Urusi hadi aya include kwenye bajet yake.
Pili; Nchi karibia zote afrika ziliomba uhuru na zikaupata maana yake ziliomba zijitawale na kujiendesha zenyewe sasa bajeti ya Urusi inakuja vipi tena kwa mataifa huru?
Narudia tena kauli ya Trump "Kama nchi za Afrika zimeshindwa kujiendesha bila kutegemea misaada yetu basi zitawaliwe tena"

I STAND WITH RUSSIA [emoji635]
Mshushie huyo ma iskander huyo!
 

RUSSIA, CHINA, IRAN, VENEZUELA WAR GAMES MID AUGUST.Target-​

USA
(Normally, this story would be COVERT INTEL for subscribers only, but this is too important)


In Mid-August, Russia, China, Iran, and ten other nations will join Venezuela in "War Games" off the US from Latin America . . . and the Caribbean.
This is just a little too coincidental given the depletion of our Ammunition and Weapons supplies sent to Ukraine, and the draining of our Strategic Petroleum Reserve which now has only 27 days of oil left in it.
Its the perfect setup for an Invader to attack us, here, in the USA.
It's almost as though the U.S. is being intentionally weakened by our own government, to make us ripe to be invaded and taken over.
The information about this enormous "war game" fits just a little too neatly into a pattern of events that seem all designed to lead the USA to a fall.
I do not yet have the exact date for this war game BUT . . .
The nations involved will "pre-position forward-deployed military assets in Latin America and in the Caribbean." So they are already moving troops into place.
Maybe I'm paranoid, but maybe I can see the writing on the wall as plain as day.
Have ammunition and be mentally prepared to engage any invading enemy.
 
Mkubwa anawajibika kwa ukubwa wake ingawaje anaumia[emoji41][emoji41][emoji41]
Mkubwa hafanyi ujinga wa hivi mkuu,watoto wanashiba kwanza ndio uwape wengine.Upo msemo wa Kingereza usemao,"charity starts at home." Wewe inaelekea you are suffering from kitu kinachoitwa "Mass Formation Psychosis" Kama walivyo wengi.
 
Mtapata shinda mno kumringanisha Mrusi na US.. kwa sababu kuu zifuatazo
1. Mrusi ni mchoyo wa kila kitu na ndiyo maana ni mataifa machache sana duniani yanaongea kurusi, hakuna nchi yoyote Africa inaongea Kirusi ama kutumia lugha hiyo kufundishia.
2. Pesa zake nyingi anatumia kutengeneza vifaa vya kivita rather than helping other developing countries ku bust chumi zao pamoja na mambo ya kukuza demokrasia hasa Africa.
3. Mrusi si muumini wa demokrasia, yeye anaamini u-dikteta - anapenda mataifa yanayotawaliwa kidikteta.
4. Hana influence yoyote Africa, Ulaya na America - labda kwao Asia tena si nchi zote zinamkubali.
5. Hana bajeti yoyote Africa, tena hapa Tanzania bila US watu wangekuwa wanakufa hovyo majumbani kwa ngoma... Asante US kwa misaada yenu hasa huu wa USAID Tanzania; Tanzania PEPFAR | MHRP

Bado natafuta huu wa https://www.russiaid.gov/Tanzania... google inagoma.

Sasa huyu kumsabikia ni lazima na wewe uwe na kasumba kama za kwake.
Wazee wa msaada tafuteni nanyie za kwenu ***** walipa kodi wa huko wateseke kisa ninyi
 
'Psychosis' inamaana gani???
Mass Formation Psychosis inatokea by design.It is a psychological problem inayoikumba jamii,na the whole of humanity is now suffering from this problem.Ni kwamba attention gets focused by a certain group,in humanitys' case the NWO to a series of events just like in hypnosis, so they literally become hypnotized and can be led anywhere.Case ya Covid-19 was a typical example.People did literally everything they were told despite it being wrong logically,rationally and scientifically without questioning!

Hawa waovu wametumia mbinu gani kufanikisha uovu wao huu?Ni kupitia kwenye chanjo na baadae computers,TV, simu na vifaa vingine.Yes simu,hasa Smart Phones.Covid-19 vaccine na na chanjo nyingine zitakazofuata kama watakuwa hawajatumaliza,itakuwa rapping up.Mungu atusaidie sana.

On the other hand Psychosis is a severe mental disorder in which thought and emotions are so impaired that contact is lost with external reality.This is also by design.

Tofauti ya mass formation psychosis na psychosis ni nini.Ni kitu kile kile ila kama jina lilivyo,"Mass Formation Psychosis," hapa unaozungumzia watu wengi,na inaonyesha pia kwamba hicho kitu kimefanywa kwa makusudi,"formed."
 
Back
Top Bottom